Natafuta simulizi ya Eugene Maganga kuhusu uhaini

Natafuta simulizi ya Eugene Maganga kuhusu uhaini

Mwana va Mutwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2009
Posts
460
Reaction score
57
Wakuu,

Kama kuna mwenye kuweza kuwa na ile simulizi ya kapteni mstaafu Eugene Maganga kuhusu mpango wa kuipindua serikali ya Tanzania msaada tafadhali.

Au kama kuna anaejua kama iliwahi kuwekwa humu anielekeze thread husika.

Natanguliza shukrani.
 
utapewa story nyingi sana, tena nyingine ni maelezo ya wahusika kabisa, lakini nakuhakikishia ni PROPAGANDA tupu, ukweli wa kilichotokea ni SIRI, hakukua na mtu aliyelewa na kuropoka mpango huo.
 
Back
Top Bottom