Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Robert Schiavelli (42) amefikishwa kizimbani mjini new york kwa tuhuma za kuchafua hali ya amani na utulivu kwa kucheka kwa sauti kubwa.
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Robert Schiavelli (42) amefikishwa kizimbani mjini new york kwa tuhuma za kuchafua...
mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na matokeo yangu nilipata DIV IV ya 28.
nna D za Civics,kiswahili,geog,history,chemistry na nna C ya english. nimeshindwa kujiunga na chuo kusomea kozi kwasababu sina hela kabisa na hata nyumbani hela ngumu sana.
natafuta kazi yoyote ambayo ni halali...
mimi nilimaliza form 4 mwaka jana na nlipata division 4 ya 31.. nlipata D 4 katika masomo ya History,civics,kiswahil na english.. sasa kaka/dada zangu naombeni ushauri wenu nkasomee kozi gani kulingana na hayo matokeo maana mi bado sijielewi... kwa msaada zaidi unaweza kuntajia na vyuo vya...
Mambo wana JF?
Mi nna mpenzi wng ambae kwakeli nilimpenda sana. Ila tatizo la uyo demu ni kwamba ye ni mtu wa dini sana kiasi cha kwamba nkimwambia tusex anakataa anasema 2subiri mpk ndoa.
Sasa cha ajabu uyo demu ht nkimwambia anikiss anadai hajazoea na hawezi kufny ivyo ila hajui kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.