Mkuu naomba nikujibu japo kwa ufupi sana kama ifuatavyo;-
1-Kwanza kabisa napenda kuwauliza inavyosikika wapenz wanasema kuwa hatuta achana kwenye shida,miteremko na mabonde huwa mna maana gani hasa?,
Mkuu napenda kushrikiana na we katka haya majib yako,cheating inaleta meng xana kwenye mapenz ni kwel chet inaweza kukaa kweny usaliti,sasa usalit ukitokea kuna mitafaruku itatokea ambayo inaenda kweny shida na matitizo makubwa katka jamii nahc cheating ivumiliwe as mamb yanaikumba ndoatna pawepo na jithada za namna ya kusolve,kwan tusipofanya hvyo hatutaweza tafta soln maana katka mapenz mabond,milima na mengne hutafutiwa soln kwasbb wameona n tatizo kwao
Kwanza unapo amua kuyasema haya unamaanisha ndani ya maisha kuna mikiki mikiki mingi na kwa kawaida huwa mikiki ya taabu huwa ndio inafanya watu kutengana,na hii si kwa wanandoa ni kwa jamii nzima;ukiwa kwenye shida hata mafafiki watjitenga na wewe,kama unakumbuka hata biblia inaeleza wakati yesu anapelekeshwa na wayahudi petro alimkana yesu yapata mara tatu.
Lakini tambua kwamba haya ni maneno ya kuashiria mkataba flani,kwamba ntakupenda kwenye shida na raha.hivyo humaanisha kutoachana wala kusartina kwa hali yoyote ile na mkataba huu upo kii-imani
Hivi ikitokea mwenz wako ana cheat hiyo huwa haipo kwenye upande wa shda,mabonde au milima katika mahusiano yenu??
Binafsi nasema kucheat haiko kwenye shida na raha,kuchet ni kutokua mwaminifu kwa mwenzi wako,kwakua mtu anaweza kuchiti na akawa na wewe kwenye shida na raha,japo siungi mkono wapendanao wacheat lakini nasema "'kucheat" ni swala lingine na "kwenye shida na raha" ni swala lingine yaani kimoja kinaweza kufanyika bila kingine.
2-Pia wajamen napata wakati mgumu sana kuelewa upofu wa mapenz kama ambavyo nimekuwa nikickia,toka nikiwa mdogo.
Ninacho ona mimi mapenz mazur n yale yanayolet msamiat tunapendana!,na si vngnevyo ndo maana nimesistiza kuhusu ku reason sana kabla hujaingia kwa love
Upofu wa mapenzi,kwa mtazamo wngu ni pale unapompenda mtu kiasi kwamba huoni hata ksoro yake hata moja japo zipo kasoro,mfano unakuta unampenda mwizi,kikojozi,nk watu wana kushanga kumpenda mtu mabaye anatabia za kushangaza lakini wewe unampenda na kuamini ipo siku utambadilisha,yaani huoni kasoro wala taabu kuwa naye hata kama atakua mlevi hadi kufikia kuachia haja kubwa bado utambeba na kumsafisha,kifupi kipofu wa mapenzi hufanyikisha ile ya " kwenye shida na raha
"
3-Naona kuna watu hata humu wanafurahia mapenzi,je? hawa ndo waliumbwa kwaajil ya mapenzi,na kama yes,kwanin we kila mwaka unachezea vbut na kama hapana kwa nini wewe na umpendaye msiweze?
Hapo mkuu nimekuelewa mapema sana kweny h thread,hapa umenpa mwanga nadhan na wengne watazame kuhusu hili.
Kimsingi kama ulifata mwenendo sahihi wa kumpata mwenza wako utaafurahia mapenzi,unawezaje kuachwa leo kesho ukawa tayar umeingia kwenye mahusiano mengine?...lazima utakutana na vibut kila uchwapo,ukifata misingi sahihi ya kumpata na kumchagua mwenza wako ukadumu katika misingi sahihi kama mwanaumpendaye si ajabu ukadumu katik kufurahia mapenzi
4-Hiv umekuwa ukijiuliza mara ngapi kabla hujaanza mahusiono na huyo unaedhan kwamb unampenda?,
Hapa cjakubaliana nawe bt kujiuliza n lazma tujue why we need love?,unaweza fanya mapenz kwa mazoea hapo ndo tnaangukia kweny pasua kichwa,pia unapojiuliza lazma uzngatie sifa unazotaka na wewe unasifa zipi,na baada ya kumpata mnatakiwa mjenge tabia moja kutoka kweny tabia zenu!
Kujiuliza mara nyingi haimanishi kwamba ndio jawabu sahihi la kuwa uchaguzi ulio ufanya ni sahihi,la hasha.jiulize umemshirikisha Mungu awe mchaguzi wa mwenza anayee kufaa?je,wewe umejiandaa kutomkwaza mwenzi wako kwa hali yoyote ile?unaweza kumpenda mtu labda anakuvutia lakini haimaanishi kuwa ni lazima uwe naye,anakuvutia kwa sura ndiyo,lakini mwenendo wake na tabia haviendani na maadili;itakupasa uishie kula kwa macho tu
5-Halafu kuna ugumu gani mtu kujua kama anapendwa na yeye akathubutu kupenda kwa dhati?
Kujua kuwa unapendwa si tatizo wala hkuna ugumu,swala ni je,upendo huu napendwa kwaajili ya nini?kwa nini ananipenda? Ukishajua hayo basi itakupa nafasi ya wewe kuamua kupenda pia;utakuta unapendwa labda kw sababu ya mali ulizo nazo,zikiisha upendo haupo tena,utakuta mtu unapendwa kwaajili ya kazi nzuri uliyo nayo ukifukuzwa kazi upendo hakuna tena,utakuta mtu unapendwa kwaajili ya sura nzuri uliyo nayo ukipata ajari na kuwa na meno nje upendo hakuna tena.
Namalizia kwa kusema hv jiulize what u need kutoka kwa mpenz pande zote yani ndan na nje yake!!!
Na mimi namalizia kwa kusema,jiulize huyo uliye na umempata kwa kufata misingi sahihi ya kimaadili ya kimungi?je,wewe umejitakasa machoni pa Mungu kuhakikisha kuwa Mungu ajione kuwa anadeni kwako kuhakikisha anakupa mwenza aliyesahihi?
Au unaye huyo uliye nye kwa kigezo cha sura ya mauzo,kazi aliyo nayo,mali alizo nazo,ama unaye kwa kuwafurhisha watu furani hususani wzazi,au unaye kwa mlengo wa kufanyikisha mipango yako na baadaye ikifanikikiwa ama ikishindikana kufanikiwa muanze timbwili?
Nadhani nimejitahidi kujibu kwa kadri ya uelewa wangu,nakaribisha maswali mengine tena