Anapenda kujichanganya na wanaume.... Ushauri plz!

Hujiamini tu, kwani wanamme sio watu?

Kuna saa unajikuta uko mwanamke mmoja kati ya wanamme 30, so ashindwe ishi?

Kumegwa hata kama anakaa na masista atamegwa tu.
 
Una bahati sana, mwanamke anayekaa sana na wanaume huwa anawafahamu zaidi wanaume. Atajua mahitaji yako, furaha yako na hata kero zako kiurahisi. Binafsi na enjoy sana mtu wa namna hii.

Nakubaliana na wewe jamaa ana bahati sana!
 
Sioni sababu ndio akae nao, mimi kwetu tumezaliwa 10 na 9 wote ni wanaume wakike peke yangu na kwetu kulikua hakwishi wanaume rafiki wa kaka zangu lakini haikua sababu ya mie kukaanao na ukikaa baribu yao utaipata habari yako.

hata mi nakubaliana na wewe asilimia 100.
 
Hujiamini tu, kwani wanamme sio watu?

Kuna saa unajikuta uko mwanamke mmoja kati ya wanamme 30, so ashindwe ishi?

Kumegwa hata kama anakaa na masista atamegwa tu.

duh! Hata kama lakini demu wa hvyo anaonekana ni cha wote.
 
Si tatizo sana! Lakini kama hakuna jambo baya! Wanawake wa namna hiyo siku hizi ni wengi na ukijaribu kuwa uliza wana sababu za msingi za kufanya hivyo!

Ila kwa sababu ali kuahidi kuacha ni vizuri ukajaribu kuongea nae tena kuhusu ahadi yake.
Pia jaribu kupunguza wivu!

thanx kwa ushauri wako but mimi wivu wangu huwa unakuja automatically nikimuona na wanaume.
 
Una bahati sana, mwanamke anayekaa sana na wanaume huwa anawafahamu zaidi wanaume. Atajua mahitaji yako, furaha yako na hata kero zako kiurahisi. Binafsi na enjoy sana mtu wa namna hii.

mh! Kwani we ushawahi kuwa na mtu wa aina hiyo.
 
Unaweza muuliza urafiki na wanaume ulianzaje? Alianza lini?

Nasema hivyo kwa sababu wale wanaesema oooh mimi rafiki zangu wanaume kwa kuwa wanawake wambeya waogope sana kwa kuwa hawana uzoefu wa kukaa na watoto wa kiume. Mtu huwezi kuibuka tu na kusema kuanzia leo urafiki na wanawake wenzangu sitaki wamekuwa mambea sana...una ugumu wa kukaa na wanaume????

Ndio maana nasema sina problem na Tom Boys kwani wanauzoefu na wanaume..either kwa sababu ya mazingira toka utotoni au wana hormones za kiume.

kikujibu ameamua ukubwani eti sijuhi wanawake wambea huyo anaweza kuacha hivyo aache mara moja! Kwa Tom Boys hawana sababu maalumu why wanakuwa na marafiki wa kiume...wanajikuta tu wanavutiwa na company ya wanaume kwani nao wana mambo ya kiume. Na hata ukimwambia aache unamwonea kwani hawezi.
 
ndugu yangu mtoa mada ngoja nikwambie kitu fulan, huyo binti atakuwa wala hajaathiriwa na makuzi ama malezi bali mazingira. yawezekana kabisa akawa ameshashuhudia kadhia za marafiki wa kike ambazo ni uchoyo, umbea, kijicho na wivu wa kishenzi pia kutetana. Binafsi mimi hapa mara kwa mara nimekuwa sipend kampani ya wadada kama ya wakaka na sababu kubwa nilizo ziona ni hizi hapa

- wakaka wakikupenda wanakupenda kiukweli, watakuonya watakusaidia na watashirikiana na wewe as their sister pasi hata kutaka maishu ya ngono. ni kampan ambayo utaipata at any time incase of anyproblem. hasa wakati wa matatizo makubwa kama misiba. hawa ni watu ambao watakufunga turubai,watafanya usafi,watachimba kaburi bilakinyongona tena watafanya kwa moyo sana ikiwa ni mshakaji wao.

- wakaka watakuthamini sana, na thamani yao huenda mbali kama vile atakapo kuwa anataka kuoa ama kwenda shule akushirikisha pasi kinyongo.

sasa kwa huyu binti just make sure kwamba wewe hakuibii muda wako ila kama that is during her time siyo mbaya. MCHUNGUZE KATIKA HAYA je ana haiba ya kike? yaani siyo mropokaji hasa wa matusi, siyo mpayukaji, akaapo hukaa kike yaani siyo swala la duka la mzungu li wazi. pia muangalie kama kwa kampani hiyo anashinddwa kumeet her female obligations.
 
mfanyie 'background check'; it is possible katika makuzi yake ametokea ku-interact zaidi na wavulana kuliko wasichana wenzake, which might not necessarily be a bad thing

well said,wengine huwa wanafikia hatua ya kuwaita wanawake wenzao wanafiki.
 
Sasa gfsonwin unataka wakaka wa kukupenda wa kazi gani wakati kama ni mpenzi tayari unaye? Huoni kuwa hapo unampa wakati mgumu baba nanii???

ndugu yangu mtoa mada ngoja nikwambie kitu fulan, huyo binti atakuwa wala hajaathiriwa na makuzi ama malezi bali mazingira. yawezekana kabisa akawa ameshashuhudia kadhia za marafiki wa kike ambazo ni uchoyo, umbea, kijicho na wivu wa kishenzi pia kutetana. Binafsi mimi hapa mara kwa mara nimekuwa sipend kampani ya wadada kama ya wakaka na sababu kubwa nilizo ziona ni hizi hapa

- wakaka wakikupenda wanakupenda kiukweli, watakuonya watakusaidia na watashirikiana na wewe as their sister pasi hata kutaka maishu ya ngono. ni kampan ambayo utaipata at any time incase of anyproblem. hasa wakati wa matatizo makubwa kama misiba. hawa ni watu ambao watakufunga turubai,watafanya usafi,watachimba kaburi bilakinyongona tena watafanya kwa moyo sana ikiwa ni mshakaji wao.

- wakaka watakuthamini sana, na thamani yao huenda mbali kama vile atakapo kuwa anataka kuoa ama kwenda shule akushirikisha pasi kinyongo.

sasa kwa huyu binti just make sure kwamba wewe hakuibii muda wako ila kama that is during her time siyo mbaya. MCHUNGUZE KATIKA HAYA je ana haiba ya kike? yaani siyo mropokaji hasa wa matusi, siyo mpayukaji, akaapo hukaa kike yaani siyo swala la duka la mzungu li wazi. pia muangalie kama kwa kampani hiyo anashinddwa kumeet her female obligations.
 
Mfano mimi mume wangu siwezi ku mention mara mbili mbili jina la mwanaume mwingine bila kupigwa maswali...na wala sioni shida...wivu lazima jamani. Hata mimi kwa kweli sivumilii kusikia jina la dada fulani halikauki mdomoni kwa mume wangu. Kwa ufupi hatuna urafiki na jinsia nyingine for the sake of our love.
 
Binafsi sidhani kama ni tatizo sana..
Kikubwa mazingira wanayokusanyikia ndio yanaweza kuleta maswali..mfano,vijiweni, baa, mpirani etc
Kwa ninaowafahamu wengi..they are just friends!!
 
Sasa gfsonwin unataka wakaka wa kukupenda wa kazi gani wakati kama ni mpenzi tayari unaye. Huoni kuwa hapo unampa wakati mgumu baba nanii???

hawa ma dear huwa mara nyngi sana nawaita wadogo zangu ambao kimsingi mr huwajua siko nao kwa stail ile ya kwenda kukaa nao vijiwen hapana but they do visit home na huwa nawatuma na huwa wako free hata kuja kula hapa home kwangu. siwe kuwa na marafiki close sana wa kiume hapa atachukia manake kuna siku niliwah kumsifia rafiki yake alikasirika sana so i learnt to be on his side.

wajua wanaume wana wivu sana kuliko hata sisi akina mama na pia wako sefish sana kuliko sisi manake ni rahisi sana kwa mwanaume kuona kama mtu baki anakaufurahia na kukaufaidi kuliko yeye jambo ambalo si kweli.
 
Mfano mimi mume wangu siwezi ku mention mara mbili mbili jina la mwanaume mwingine bila kupigwa maswali...na wala sioni shida...wivu lazima jamani. Hata mimi kwa kweli sivumilii kusikia jina la dada fulani halikauki mdomoni kwa mume wangu. Kwa ufupi hatuna urafiki na jinsia nyingine for the sake of our love.

Nadhani hapa inategemea..
Kwa sisi wanaume inaletaga maswali pale mkeo au gf anapokuwa anatolea mifano ya kusifia kitu kwa kutumia cases za wanaume wengine hata kama ni marafikizako..
 
Usipochukua Hatua sijui! Kuna mmoja alikuwa anasema yeye kazoea hivyo tu kwa ajili ya story, to be honest, alikuja kumegwa na mmoja wao. Cha ajabu, hata alipokuwa akienda kwa boyfriend wake one day, on the way alikuwa anaongozana na huyo huyo. Alipoulizwa, majibu yalikuwa Oh strory!
 
hawa ma dear huwa mara nyngi sana nawaita wadogo zangu ambao kimsingi mr huwajua siko nao kwa stail ile ya kwenda kukaa nao vijiwen hapana but they do visit home na huwa nawatuma na huwa wako free hata kuja kula hapa home kwangu. siwe kuwa na marafiki close sana wa kiume hapa atachukia manake kuna siku niliwah kumsifia rafiki yake alikasirika sana so i learnt to be on his side.

wajua wanaume wana wivu sana kuliko hata sisi akina mama na pia wako sefish sana kuliko sisi manake ni rahisi sana kwa mwanaume kuona kama mtu baki anakaufurahia na kukaufaidi kuliko yeye jambo ambalo si kweli.

Kuna mshkaji wangu alikuja kwangu analalamika kuwa mkewe anamsifia sana John Mnyika..
ofcoz nilishangaa..but the guy was serious..
hata nilipomuambia kuwa Mnyika was a public figure..the guy still wasn't happy!
 
Yaani ww umeniona naweka miguu juu ya meza ushaanza kunisimanga! Kha!

Its nice to be a tom-boy. Unajua hat_tricks zote za wanaume na hawakusumbui! Hata relationships hazikutesi. Fussy galz are not very good friends bana!

Sifa ulizozitaja sio za tom-boys. Unaweza kuvaa mini-skirts na high heels, have stylish hair and still be a tom-boy at heart! Kumanua na kupiga mbinja sio necessary tabia za tom-boys. Kuna 'sexy' tom-boys.lol
The Boss, binti anayetokea BK analelewa kutambua kuwa ni mwiko kukaa na wanaume hata kama ni kaka zake. Lol. Mwanamke analelewa kuwa na tabia za kike...siyo kuweka mguu juu ya meza. Sitanii mama yetu alikuwa mkali sana kwa hilo...ingawa baada ya kukua ndio nikajua ni mfumo dume...ila imenifanya niwe na tabia za kike ambazo sioni kama ni mbaya kwani sijawahi kumkwaza nimpendaye.

Unaweza kucheka lakini mimi mfano siwezi kupiga mluzi kwani toka nikiwa mdogo niliambiwa ni mwiko...ingawa nimezaliwa na kukulia Dar.

Sina watoto wa kike ila ningekuwa nao nadhani ningewalea kama nilivyolelewa mimi, hakuna kumanua manua mtoto wa kike unajikusanya wakati wa kukaa...na mengi mengineyo.
 
SnowBall tatizo mtu akiwa rafiki yako ni lazima utakuwa unamkubali na kumuongelea inatokea tu kama hajali bila kupanga. Na the fact kuwa unakaa na huyo rafiki muda mwingi unakuwa unajua mambo yake mengi tuu. Sasa ndio uanza kuleta stori ya John kaagiza Vogue...jamaa anajua kuzichanga...mbona patachimbika.Lol.

Yalimkuta rafiki yangu. Mume wake ana urafiki uliopitiliza na mdada mmoja wote tunamjua vizuri (mimi na rafiki yangu) ina fact ni mshikaji wetu kwa mbaaali.

Huyo mume wa rafiki yangu kuna siku aliongea neno ambalo rafiki yangu hatakaa asaau...maana alikuja kushare na mimi na kwa kweli she was more than dissapointed.

Mumewe alimwambia eti "hivi wewe wife mbona hujifunzi kutafuta ela kama fulani"

Afu sasa huyo 'fulani' si tunamjua nje ndani...na siyo sisi tu ni kwamba anajulikana na wengi kuwa ni bad news. Yeye yuko tayari kuvua chupi wakati wowote as long as kuna tenda anayofukuzia. Rafiki yangu akaniuliza NK huyu mume wangu ana maana gani kunambia niwe kama fulani? Nilibaki kimya. Akaendelea kutiririka..anataka nianze kujiachia kwa wanaume ili nifanikiwe kama rafiki yake.

Kwanza watu wanasema huyo dada na huyu mume wa rafiki yangu wana urafiki zaidi ya wa kawaida...wakizidiwa wa do kama kawa.
Nadhani hapa inategemea..
Kwa sisi wanaume inaletaga maswali pale mkeo au gf anapokuwa anatolea mifano ya kusifia kitu kwa kutumia cases za wanaume wengine hata kama ni marafikizako..
 
Back
Top Bottom