Recent content by mwambosa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya kutumia simu zisizopokea new software updates au security updates?

    Jibu rahisi ni kwamba, technology inabadilika. Simu ni hardware kwa hiyo ikishatengenezwa baasi huwezi kuiupgrade tena. Ila software kila siku zinakua updated na madeveloper. Kwa hiyo new software kuanzia kwenye Operating system haziwezi kuingia kwenye kwenye old phone architecture. Kwa hiyo ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

    Mbona ujenzi wa reli Sgr Mwanza unaendelea kwa kasi bila kujali mvua?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Chukua Honda Cross road, upumzishe akili wakati unaendelea kutafuta gari mdogo mdogo inayokula mafuta kidogo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Tusiamini cnn kwamba hakukua na mauaji ya raia??
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Swali zuri! Shoo mbovu inahusiana vipi na hali ya shemeji yake?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jitahid kupitia ujumbe huu hauta jutia muda wako ewe mpambanaji katika maisha

    Acha kuwahadaa watu bana. Wengi wameshaibiwa mno na haya mambo kwa sababu tu walimini lugha tamu kama hizi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jitahid kupitia ujumbe huu hauta jutia muda wako ewe mpambanaji katika maisha

    Unatoa ada upewe mkopo!! Kwa ninj wasinioe mkopo afu ile hela yao wakakata hukohuko
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

    Ili usimpoteze. Kama unaona anakupenda usitafute sababu ya kuachana nae kaka. Mimi nilikua nae anaelia na kunena kwa lugha madhabahuni. Anaamka usiku saa tisa kusali kila siku, mpaka nikawa nahisi mimi ndie nnae mkwamisha safari ya kuiona mbingu😁😁. Nikitaka kucheat nilikua nahisi ananiona...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

    Kwa experience yangu, nilihitimisha hivyo 😂😂 ila experience zimetofautiana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

    Ukienda kwenye pdfdrive.com unakipata buree kabida
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

    Mimi kwa experience yangu naona kama hakuna mwaminifu, ila viwango vinatofautiana. Hapa kwenye kucheat nawainclude ambao wao hawacheat kwa kufanya mapenzi, ila wanakua na watu ambao wanawaita wachangamsha simu. Yaani wewe ukiwa busy, mwingine anatake over, kuongea nae ujinga ujinga, kutaniana...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

    Mwanamke anaekupenda ni mwaminifu mpaka siku umeshika simu yake. Lakini ambae hakupendi Redflags huwa zinaonekana kwa macho
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu niwe na nyumba ndogo (mchepuko), ndoa yangu ina amani sasa

    Huo ndio ukweli! Na ukweli mwingine ndoa ya mke mmoja inamatatizo mengi sana kuliko wakiwa wake zaidi ya mmoja
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wengi wetu humu JF tunaunga unga sana ni basi tu maandishi yanatufanya tuonekane wamoto na sio kitu kibaya maana tunakuja kupunguza stress humu

    Umechelewa sana kujua kiongozi! Hata kwenye social media nyingine, wanaondesha maisha ya watu wengine ni watu wahovyo sana ni vile hawaonekani. Unakuta mtu ana acc yake ya instagram ya ushauri wandoa. Yeye mwenyewe hajahi kuonekana online na wala hajaweka contacts zake. Lakini watu...
Back
Top Bottom