Recent content by mwambona jr

  1. mwambona jr

    Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

    Huwa wanasema nabii hasifiki kwao je unataka kusema United Nations hawajawaona hao wewe uliowaona wanahekima na diplomasia ya juu kumzidi kikwete au unataka kutuaminisha kuwa huo ni uteuzi wa mchongo labda kama mimi na wewe tunamuelewa Kikwete katika nyanja tofauti ila He is the best sio kwa...
  2. mwambona jr

    Juma Nature ndio best storyteller wa muda wote Bongo. Wasanii wachanga mnao-rap jifunzeni kwa Juma Nature

    Hujaisikia mac muga mwana na karim wewe nenda kazisikilize uje uandike upya
  3. mwambona jr

    Naomba msaada wa kurecover data kwenye partition ya pc yangu

    Nillikuwa nafanya shughuli zangu kwenye pc yangu kwa bahati mbaya nimeiformat partition yenye taarifa zangu binafsi Gb 150 naomba msaada wa kurecover naombeni msaada jinsi gani niweze kupata japo zile za muhimu zaidi nitangulize shukrani zangu za dhati asanteni
  4. mwambona jr

    MAREKANI: Seneta asema suluhu ya mabadiliko ya hali ya hewa ni kuoa na kupata Watoto

    anaakili sana yaan anawaza mbali sio wanaoua mawazili kwa family planning na kutuletea magroup admin
  5. mwambona jr

    Naomba msaada wa kisheria.

    Ghafla mke wake amekuja ndo maana kashindwa kumalizia thread hii maana kaulizwa unachart jamaa kaamua kuituma nusu hivyo hivyo
  6. mwambona jr

    Microsoft office 2019 imetoka. Msaada jinsi ya kuipata

    Ukishaidownload hiyo bit torrent either kwenye simu au pc then ukiifungua hiyo link niliyokuwekea hapo utaclick hiyo magnetic download hiyo bit torrent itakuchulia kila kitu utabaki wew kutumia [emoji1] [emoji1]
  7. mwambona jr

    Microsoft office 2019 imetoka. Msaada jinsi ya kuipata

    Download bittorrent au u torrent then tumia hii link kuichua Download Microsoft Office Pro Plus 2019 v16.0.10325.20118 (x86/x64) + Crack [CracksNow] Torrent | 1337x
  8. mwambona jr

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ________________________
  9. mwambona jr

    Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

    Kabla hujapost najua ulikunywa uji wa magimbi ili ungee maneno yasiyo na kichwa bali miguuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mwambona jr

    TAKUKURU waanze kufuatilia hii michango holela kupitia kampeni za media

    Kuna haja kubwa ya kutakiwa kumpima mtoa maada ni kwa kiasi gani amechanganyikiwa na makonda disease maana anasema alilolijua pia maombi yanahitajika kwako
Back
Top Bottom