Recent content by Mwambepo

  1. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kumshinikiza Gavana Ndulu aachie ngazi BOT

    Ulieandika huu Uzi uwahi milembe!!!
  2. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Sherehe za uhuru leo zimebana matumizi kwa kiasi kikubwa kama ifuatavyo

    Ndio maana hazikuwa nzur kama za zaman,,,duh
  3. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Dada yangu anatishia kujiua, nishaurini tafadhari

    Wew uko wap?? Upo mbali nae?? Kama ndivo Fanya hima uende mahala alipo kwa usalama wa mtoto,,afu yy angalia jins ya kurud nae mahali unapoish kwa usalama wake!! Ningejua alipo ningekutunzia mtoto kwan yy ana kosa had ahukumiwe kifo??? Fanya hima dada uhai hauuzwi Dukan,,,wambie hao majiran...
  4. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Nimepiga vigelegele na kushangilia baada ya mume wangu mtarajiwa kupunguzwa kazini! Oh halleluyah!

    Hahahaha haha,,, wew dada Mungu anakuona ki ukweli
  5. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Dangote ajiandaa kuongea na Rais Magufuli

    Haaaaaaaaa
  6. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Najichukia kwa hili tatizo langu la ngozi, nimekosa mwenza

    Nitumie namba yako
  7. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Asante Magufuli kumfunza mdogo wangu Ujasiriamali

    Haaaaaa hongera zake ila nmecheka balaaaaaa
  8. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Broo wakati mwingine n heri lawama kuliko hasara!!! Mungu mwenyew anaetulinda na kutuligania kila siku ametuweka waz tuish nao kwa akili,ndio maana tuna Mungu baba,sio Mungu mama!!! Anyway ushaur wangu n komaa na ujenz achana nae wala usimpige!! Kama yuko bsy muacha ubsy ukiisha ataanza yy...
  9. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Nimemsamehe na kumuoa lakini sina amani

    Amina kaka
  10. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Nimemsamehe na kumuoa lakini sina amani

    Kwa hapo hakuna namna, kubaliana na hali halisi. Yameshatokea hayabadiliki! Hadi kukaamua kumuoa ina maana ulishamsamehe. Sasa hayo mengine ni shetani tu anakupima! Muombe Mungu na samehe toka moyoni.
  11. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania Ndoa chungu, ndugu wamezidi, nishauri nifanyeje?

    Haaaaaa hapana dada hiyo its too much!!! Hapo machokifanya n sawa na huruma za mshumaaaa!!! K ukweli wote familia zetu n tegemez lakin mmeo anaendekeza!!! Watu kumi uwaleee wew!?? Hapana akuonee na huruma na wew una wazaz!! Sikushaur ufanye nn ila ukiona mzigo mzito achana nao utakuua siku c...
  12. Mwambepo

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Dah pumzika kwa Aman Mzee wa kas na viwango,,,tutakukumbuka kwa Mengi saaana!!! Mungu alitoa Mungu amekutwaa,,jina lake libarikiwe
Back
Top Bottom