Najichukia kwa hili tatizo langu la ngozi, nimekosa mwenza

Hauna sababu ya kujichukia. Unahitaji watu positive wakuzunguke. Badilisha hata circle ya marafiki zako. Hebu kaa uandike mambo mazuri yote kuhusu wewe. Una roho nzuri, unahudumia wagonjwa na yatima, unafanya kazi kwa bidii, unaheshimu wakubwa una imani ya dini. Yaani jitafute ujione ulivyo wa thamani. Hata kutabasamu tu jamani?

snowhite hebu njoo nisaidie.
nitaachaje kujichukia akati vyote ulivotaja vinanihusu,post yangu ya nyuma nimeeleza jinsi nilivyo
 
Nitafute nikusaidie. Inaonekana uko mzuri sana na watu wakaona wakuharibu kwa kukuroga hilo gonjwa ili uzuri wako upoteee. Mie sio mganga wa jadi ila naamini kuna mkono wa mtu hapo na njia ya kurogoa uchawi huo nnafahamu. Kama bado una tatizo naomba tuwasiliane.
 
Hauna sababu ya kujichukia. Unahitaji watu positive wakuzunguke. Badilisha hata circle ya marafiki zako. Hebu kaa uandike mambo mazuri yote kuhusu wewe. Una roho nzuri, unahudumia wagonjwa na yatima, unafanya kazi kwa bidii, unaheshimu wakubwa una imani ya dini. Yaani jitafute ujione ulivyo wa thamani. Hata kutabasamu tu jamani?

snowhite hebu njoo nisaidie.
nitajitahidi
 
sikiliza sweet love!
UTHAMANI WAKO NA NAFASI YAKO YA KUPATA MWENZI HAVINA MAHUSIANO NA NGOZI YAKO!
IIIIIIILA KUNA MAHUSIANO NA KUKOSA KWAKO KUJIKUBALI NA KUJIPENDA ULIVYO!
nimesoma hata post yako ya kutafuta mchumba,KWANNI UMETANGULIZA YALE ULIYOANDIKA?
huna mambo ambayo ukifanya na ulivyo unamshukuru MUNGU?
unaaamini thamani ya uhai wako inajazwa na mwonekano wa ngozi!

WEWE NI HUYO ALIYEPO NDANI,sio nje sio ngozi!sio mwonekano!

hebu angalia kwenye yale yakupayo furaha na umshukuru MUNGU KWAYO!jifunze kuhesabu ulichobarki na namna vile wanadamu wengine wanafaidika na uwepo wako kwenye maisha yao!BE PROUD OF THAT!ona unavyogusa maisha ya wengine!furahia kuwa dada kWA wadogo zako,binti kwa mama yako,rafiki kwa rafiki zako!WANAKUPENDA!fact is hakuna HATA MMOJA ANAYEKUMBUKA MWONEKANO WA NGOZI YAKO!vivyo hivyo kwa mwenzi unayemtafuta(hili nalo linatakiwa mjadala)
ngoja nikanywe chai kwanza narudi,WE UMEKUNYWA?
 
asante sana,me nimeshakunywa,nakusubiri urudi
 
am a girl kwanza pole pili ushawahi jaribu retin A, pesorl gel au epiderm mie pia nilikua na tatizo la chunus ila naonyesha dalili ya kushinda vita, pili kuhusu mume kamfuate boy wako mmoja au aliyekutoa bikira akuoe atleast una uhakika alishawahi kukupenda anaweza kukupenda tena.
 
Pole ndugu, uko na skin allergy yan ngozi yako haitaki ipate mkwaruzo wowote inareact so fast. Unaweza Google dawa za kuondoa makovu au check video YouTube. Ila kikubwa epuka kujikuna au kujikwaruza'kwaruza.
Mtoto WA ndugu yangu anashida kama yako madaktari wameshauri asitahiriwe coz akikatwa tu ngozi kupona kwake ni kazi au hata akipona atabaki na kovu
 
Pole ndugu, uko na skin allergy yan ngozi yako haitaki ipate mkwaruzo wowote inareact so fast. Unaweza Google dawa za kuondoa makovu au check video YouTube. Ila kikubwa epuka kujikuna au kujikwaruza'kwaruza.
nitajitahidi asante
 
asante sana,me nimeshakunywa,nakusubiri urudi
meshibajeee!
Sa skia!
ACHANA NA KUJITAZAMA UNAANGUKA KATIKA NINI ,TAZAMA U BORA KATIKA NINI!
ITAKUSAIDI KUONA ULIVYO WA THAMANI NA KUUVAA UTHAMANI HUO!
LAKINI ITAKUSAIDIA PIA HATA KUTAFUTA MATIBABU WITH A POSITIVE MIND,KWA IMANI KUWA HIYO SIO LAANA!

kwa kuanzia
hebu badili mfumo wako wa ulaji
kula zaidi mboga za majani maji kwa wingi,amtunda
punguza au acha kabisa matumizi ya nyama nyekundu hususan ya ng'ombe.
pumzika muda mrefu
lala mapema
fanya mazoezi
achana na kutafuta kimbilio la kula kila unachokiona kufidia upweke wako!
halaaaafu kingine hebu tafuta hobbies na uziishi
angalia movie
ongea umbea wa insta(enh story za ally kiba na jet yake na zenyewe zinasogeza siku)
jifunze mapishi mapya
anzisha kajiproject hapo home,maua,fuga kuku,paka (UKIONA VIUMBE WENGINE WANAKUA NA KUFURAHI KWA AJILI YAKO IT WILL GIVE UR LIFE A TOTAL MEANING OF EXISTENCE NA KUTEGEMEANA )
furahia marafiki ulio nao,tumia vipawa vyao kuwa na furaha!
nenda uangalie movies(mlimani city kuna kichupa cha hatar Dec 02 ,yani ijumaa hii!)kama upo dar nenda asee
saidia wengine kufurahi,utaona kuwa maisha yako yana thamani kwa wengine kwa vile watakavokuthamini!

HIVI UKIMIX NA MSAADA WA KITABIBU KAMA KUCHECK DAMU,NA KUPATA DAWA NA KUZITUMIA!
aseeeeee utaona maisha yalivyo jambo jema na a kheri WITH OR WITHOUT NGOZI YA KUTELEZA KAMA UNAOGEA MAYONAISE!
sawa?
HEBU FANYA HII uje unipe feedback by pasaka mwakani!
 
am a girl kwanza pole pili ushawahi jaribu retin A, pesorl gel au epiderm mie pia nilikua na tatizo la chunus ila naonyesha dalili ya kushinda vita, pili kuhusu mume kamfuate boy wako mmoja au aliyekutoa bikira akuoe atleast una uhakika alishawahi kukupenda anaweza kukupenda tena.
not guaranteed!
FACT IS AKATAE KUOLEWA KWA HURUMA!
atateseka maisha!
ANADESERVE KUPATA MUME ANAYEMSTAHILI!SIO WA KUMUOA OUT OF SYMPATHY AU KUKOSA CHAGUO YYE AWE SECOND AU LAST OPTION!
BIG NEHIIIII!
 
AF WEEEE !
of cuz wewe ni msichana!
HUHITAJI KUPROVE THAT TO ANYONE THAT U ARE A GIRL!

EDIT ID YAKO!
majina hutubeba tulivyo mioyoni!
KATAA HUUU UNYONGE!
 
Back
Top Bottom