Recent content by mwamagunda

  1. M

    Wabunge wa CHADEMA waundiwa zengwe la kuwachafua na kuwadhalilisha

    Dawa yake ni KUIMARISHA TAASISI (CHADEMA) na SIYO Mtu mmoja mmoja! Wananchi tuamke na angalau kuunga mkono upandae wa pili wa SIASA! Kamwe huu siyo UASI! Hivi leo hakuna uzalendo (hasa kwa wenye madaraka), tegemeo pekee la wanyonge ni umoja! Hima tuimarishe Taasisi nyingine nje ya CCM ili hata...
  2. M

    What if your a loanless victim

    Pole ndugu ya Kauzu B! Shida ya Nchi hii ni kuwa kila mwenye kulia anashika kichwa chake! Na hapa ndipo wanapopata nguvu wale mabaladhuri ambao wanaendelea kutunyonya! Umoja wetu (wanyonge) ndiyo silaha pekee tulobaki nayo! Japo safari ni ndefu sana! Hata hivyo huu si wakati wa kukata tamaa...
  3. M

    Kikwete aitambua serikali ya mpito Libya?

    Hata kama haitambui ana mbadala!? Kwa utaratibu wetu wa kuwasubiri 'wakubwa' waanze kusema ndipo na sisi tusema tutazidi kupata shida! Wale ambao tumewafanya kuwa wasemaji wetu wanapochelewa kusema, tunashindwa kujibu maswali ya wale 'wenye kimbele mbele!'
  4. M

    Equivalent hoii mwaka huu

    Halmashauri zina mafungu ya kuwasomesha watumishi wao, ni kweli! Hata hivyo watumishi wanaohitaji kujiendeleza kimasomo ni wengi sana na ni katika ngazi tofauti tofauti. Wapo wanaojiendeleza katika ngazi ya shahada, ambao hawana 'sifa' za kupata mkopo wa Bodi. Zaidi ya hao, wapo wale ambao...
  5. M

    TCU hatimaye Yatema

    Ndg wanajamii, Kuna tetesi kuwa eti Serikali walisitisha kutoa matokeo ya mchakato wa usajili ili kuwajumuisha watoto wa 'Vigogo' waliokuwa wakisoma 'Cambridge'. Binafsi inanisikitisha sana; 1. Kwa nini hili halikufanyika mapema ili taratibu za uombaji ziweke wazi kuwa matokeo yatatoka kipindi...
  6. M

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    Katika msafara wa mamba na kenge wamo! Hiyo ndiyo siasa ya ukombozi. Wananchi wa Arusha Kuweni Imara katika Hili pia, uchaguzi utakaporejewa msiwaunge mkono wanafiki hao!
  7. M

    Diwani CHADEMA arejea CCM

    Katika vita vya ukombozi hapakosekani waasi. Aachwe aende huko alikotoka
  8. M

    Usajili wa vyuo vikuu (muhas, imtu) mwaka 2011/2012

    Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua kama usajili huo umeshafanyika na matokeo kutangazwa. Ikiwa jibu ni ndiyo, Je, nawezaje kuipata habari hiyo?
  9. M

    Mapokeo ya Umma kwa Mijadala Bungeni Wiki Hii LIVE on Star TV this Morning

    Tatizo kubwa hapa ni ukale wa mawazo ya viongozi wetu. Bado wanaamini kuwa mtu kuwa kiongozi maana yake ana akili kuwazidi wote anaowaongoza, hali ambayo si sahihi hata kidogo (na ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo kama taifa). Kazi ya kiongozi wa leo ni kukusanya mawazo ya wale anowaongoza, na...
  10. M

    I love this Doctor

    Very challenging, very good!
  11. M

    Tovuti/ e mail ya chadema

    Nahitaji kuwasiliana na CHADEMA kama chama, siyo mtu binafsi. Ningependa kuwaambia jambo, lakini sina namna ya kuwapata moja kwa moja. Naomba yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivyo!
  12. M

    Mbunge wa CCM aomba arudishiwe madawati aliyotoa shuleni

    Hii ni kawaida yao. Kila watoacho kabla, wakati na hata baada ya uchaguzi huwa ni hongo na si misaada kama wasemavyo! Aende mahakamani ili akaumbuke vizuri! Je, wale makuwadi wa rangi za kijani na njano, mnayaona hayo? Au babo mnataka tuendelee kuyaona maziwa kuwa ni meusi na mkaa mweupe...
  13. M

    Thamani ya ukweli hapa nchini

    Nipo kazini kwa muda mrefu kidogo hivi sasa! Wakati naanza kazi nilikuwa na matumaini makubwa ya kutoa mchango mkubwa katika utoaji wa huduma katika eneo langu la kazi, lakini naweza kusema hali halisi inanikatisha tamaa, japo bado sijakata tamaa bado! Katika utumishi wa serikali hivi sasa...
Back
Top Bottom