Wabunge wa CHADEMA waundiwa zengwe la kuwachafua na kuwadhalilisha

WHEN I FOUGHT FOR REVOLUTION I HAD 82 MEN. IF I HAD TO DO IT AGAIN I WILL NEED 10 OR 15 MEN. NOTHING IS IMPOSSIBLE IF YOU HAVE ABSOLUTE FAITH AND PLAN OF ACTION..! {fidel castro}
 

ni tundu lissu , godbless lema , freeman mbowe ( kub) mkakati huo unafadhiliwa na watu wa usalama wa taifa na baadhi y wahariri wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na umma , ambavyo hivi karibuni vimekuwa vikifanya kazi ya ccm , imetakiwa itumike kila njia kurudisha harakati za chadema nyuma kabla ya 2013 na huku wakisema kwamba ni lazima waiangamize chadema kwa kuangamiza wabunge wake machachari . ( kikao kimeka girrafe hotel dar .

wanajisumbua. Watanzania sasa hivi wanajua kila kitu na hawadanganyiki. Kadri ya ubaya wanaoufanya dhidi ya cdm ndio inatuma ujumbe kwa wazalendo wa nchi hii kuwa ukombozi ni sasa. Waache waendelee na fitina zao lkn 'ppl pwr' itaibuka washindi.
 
Na waundiwe tu tuone nani ataiacha CHADEMA, chama chenye falsafa na comitment ya kweli..........CCM down to hell, CHADEMA up to the blessed and snowed mount Kilimanjaro
Mimi najishangaa kwasasa,maana imani yangu ni kuwa CDM haiwezi kuzimwa kwa lolote kwa sasa.....
 
Kweli sikio la kufa halisikii dawa. CCM na huo mpango wake ni wakijinga kabisa na utasababisha CDM Ifahamike kila kona ya nchi. CCM haifai hata kutupwa chooni,kwani uchafu wa chooni ni BORA ukilinganisha na CCM
 
kama hii habari ni ya kweli basi Kitengo cha Intelijensia cha Chadema kinafanya kazi nzuri, Bravooo
 
hivi chadema itachukua miezi mingapi kuandaa vijana maana wao wanatuua na bado wanapanga kuwababikia viongozi wetu kesi za ajabu mbaya zaidi ni hawa wanao jiita eti usalama wa taifa..wameshi kuia wanyama kutorosho wamebaki kumfata fata lema, tuna wafahamu siku wakifanikiwa tutamfata lema huko gerezani msifikilie hatuwajui mnajidai kujichanganya na sisi kwenye mikutano iko siku tutawatoboa na bisibisi mbwa nyie

ni usalama wa wanasiasa.
Hapa Geita, wamelinda wanasiasa dhidi ya watanzania waliokuwa wanadai chao, lakini wameshindwa kuzuia usalama wa watanzania watatu, wazazi wetu, waliotuhumiwa kuwa wachai. wamepigwa mapanga mpaka kufa kwa siku moja tu. wajinga sana, wananiudhi sana hawa wana usalamai
 
Nilidhali utamtaja zito, mbona uliowataja tayari ni wachafu? Ana usafi gani lema? Anausafi gani lisu? Mbowe? Au huwajui? Lema si mwizi wa magari yule, mvuta bangi na unga kwa hiyo ni kupakaziwa? Lisu unga na network ya mashaka
 
Vipi dogo, umeshamaliza supplementary zako za IT na DS?

Ha ha haaa.

Supplementary kweli zinakutesa kichwa cha nazi wewe. Unadhani akili ya kujiita kuku itaweza vipi kujinusuru na sup?

Hizo ni athari za kunywa mataputapu katika umri mdogo ndo unakuja kuropoka mbele ya wakubwa zako.
 
Makamnda hicho ni confimatory test ya nguvu ya CDM, msijali ccm is a dying horse and they said "A dying horse has strong kick"
 
acha upumbavu hii thread ina husiana nini na hayo unayo yauliza hapa...
Juzi nilimsikia mar. baba wa Taifa akisema Upumbavu ni kipaji kama ilivyo ufupi, urefu n.k Sasa kuna watu humub JF wana vipaji vya upumbavu ukiwagunda wala usihangaike nao kabisa.
 
Nionavyo mimi ,Ni hatari sana kuua upinzani wa vyama kwa sasa, kwani kwa hali tuliyofikia ni dhahiri kuwa cdm kinatumika na wananchi kama expression ya wananchi dhidi ya utawala uliopo.
idadi ya watu wanaouchukia utawala uliopo inaweza kuwa kubwa kuliko wanachama wa vyama vya siasa .

Movement ya Mageuzi ikianza bila chama ni mbaya kuliko ccm wanavyodhani.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Dawa yake ni KUIMARISHA TAASISI (CHADEMA) na SIYO Mtu mmoja mmoja! Wananchi tuamke na angalau kuunga mkono upandae wa pili wa SIASA! Kamwe huu siyo UASI!

Hivi leo hakuna uzalendo (hasa kwa wenye madaraka), tegemeo pekee la wanyonge ni umoja! Hima tuimarishe Taasisi nyingine nje ya CCM ili hata kama watabaki madarakani (CCM), pawe na taasisi nyingine inayotishia kuingia madarakani wakati wowote! Hii ndiyo njia pekee na muafaka ya kuwalazimisha kuwajibika! Kinyume na hapo tumekwisha!

LAKINI, huu siyo muda wa kukata tamaa, wameanza kulegea! Hizi hoja za AMANI ya nchi na UDINI ni dalili tosha za mwanzo wa mwisho wao! Hizi ni dalili za kufirisika kisiasa, kama alivyowahi kusema mzalendo na moja wa nchi hii (BABA wa TAIFA)

Kwa heri kwa leo!
 
Kwa maoni yangu viongozi wote wenye nguvu chadema wawe makini hapa kuna serikali inayopanga kumaliza wapinzani kwa njia yeyote hata kutumia mauaji kama yanayotokea igunga au hata sumu ,mafisadi nao wamo kwenye hiyo mipango
 
Kama ni kweli kwamba TISS wanatumika ni hatari,kwa sababu nilijua kuwa sifa kuu ya kuwa mfanyakazi wa TISS ni

1.Kuwa ni mzalendo wa kweli ikiwezekana kuliko Raisi wa Nchi

2.Kuwa akili timamu na yenye upeo wa juu wa kuweza kuchanganua mambo.
3.Kuwa msiri hasa pale inapobidi kuwa msiri kwa masilahi ya Nchi.
4.Kutokuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kwani magamba hamwangalii alama za nyakati? Kwa sasa mmechokwa iliyobaki mjichimbie kaburi
 
Ni Tundu Lissu , Godbless Lema , Freeman Mbowe ( KUB) mkakati huo unafadhiliwa na watu wa usalama wa taifa na baadhi y wahariri wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na umma , ambavyo hivi karibuni vimekuwa vikifanya kazi ya CCM , imetakiwa itumike kila njia kurudisha harakati za Chadema nyuma kabla ya 2013 na huku wakisema kwamba ni lazima waiangamize Chadema kwa kuangamiza wabunge wake machachari . ( kikao kimeka Girrafe Hotel Dar .
Kwaiyo bila hawa watatu chama kinakufa?
 
hivi chadema itachukua miezi mingapi kuandaa vijana maana wao wanatuua na bado wanapanga kuwababikia viongozi wetu kesi za ajabu mbaya zaidi ni hawa wanao jiita eti usalama wa taifa..wameshi kuia wanyama kutorosho wamebaki kumfata fata lema, tuna wafahamu siku wakifanikiwa tutamfata lema huko gerezani msifikilie hatuwajui mnajidai kujichanganya na sisi kwenye mikutano iko siku tutawatoboa na bisibisi mbwa nyie
Wewe bila shaka utakuwa ni Lema, naona una akili za kijambazi jambazi
 
Nionavyo mimi ,Ni hatari sana kuua upinzani wa vyama kwa sasa, kwani kwa hali tuliyofikia ni dhahiri kuwa cdm kinatumika na wananchi kama expression ya wananchi dhidi ya utawala uliopo.
idadi ya watu wanaouchukia utawala uliopo inaweza kuwa kubwa kuliko wanachama wa vyama vya siasa .

Movement ya Mageuzi ikianza bila chama ni mbaya kuliko ccm wanavyodhani.

Hakika hapa ndipo mzigo mbaya wa chuki dhidi ya Serikali ya CCM ulipo lala na unayosema mlipuko wake ni hatari mbaya kuliko bomu kwa kuwa utakuwa ni mlipuko wa ghafla,nilipata kusema kama Serikali inategemea kuwa kutakuwa na mwasisi wa mlipuko huo hakika sivyo mlipuko wake utaibuka kwa tendo au tukio moja tu uknown lakini likawa ndio sababu ya mpasuko wa mageuzi wa Taifa dhidi ya Watawala na Wale wanaoitwa matajiri mafisadi.
 
Back
Top Bottom