Mbunge wa CCM aomba arudishiwe madawati aliyotoa shuleni

Kama anadai arudishiwe kwa kuwa hakuchaguliwa nafikiri TAKUKURU watakuwa wameisha mtembelea kwa rushwa. Hii rushwa bila kupingwa kwa kuwa alihitaji undeserved favour on return of his contribution. This is corruption in kind full stop!
 
Tanzania Daima + Habari za CCM = Pumba

Tazama source ya Lokissa sio Tanzania Daima bali Nipashe, hapo unasemaje. Lakini hata mimi habari hiyo niliiona ITV anawaita mbunge na madiwani kwamba ni wezi na majambazi, kweli kachanganyikiwa huyu jamaa..
 
Atume vijana wake waende kuokota hayo madawati ktk kila shule iliyopokea,pengine yanameandikwa v matayo

hii ilikuwa operesheni nipe kura nikupe madawati
 
Wanamagamba mnaona madudu ya viongozi mwanza masha alitoa vitasa vya mirango kwenye ofisi ya mbunge, mpesya ccm mbeya alitoa mapazia na picha ya rais kwenye ofisi baada ya kushindwa ubunge huyu kilaza mwingine mathayo!!
 
Hii ni kawaida yao. Kila watoacho kabla, wakati na hata baada ya uchaguzi huwa ni hongo na si misaada kama wasemavyo! Aende mahakamani ili akaumbuke vizuri!
Je, wale makuwadi wa rangi za kijani na njano, mnayaona hayo? Au babo mnataka tuendelee kuyaona maziwa kuwa ni meusi na mkaa mweupe? Shauri yenu!
 
Aaaha haa! Jamani Mathayo amesahau mwenyekiti wake alisema "ukitaka kula lazima ukubali kuliwa" pole Mathayo nazani M/kiti alishamaliza.
 
Hiyo inaonekana mheshimiwa MATHAYO alikuwa kimaslai zaidi,wananchi nao wakidai posho na mishahara aliyokuwa akiipata bungeni?kwasababu wao ndiyo walimpeleka mjengoni.Huyu anadhihirisha wazi CCM wapo kimaslai
 
hata nimrod mkono alitishia kuzichukua shule alizojenga,kwakua serikali imeshindwa kuzihudumia
 
Kama mtindo ni kudaiana bas hatari, hata vyandarua mahospitaln wataenda kudai na dawa walizotoa. Too low!
 
Inasemekana mshahara wa mbunge pamoja na marupurupu yake kwa kipindi cha miaka mitano ni takriban shillingi 400 milioni.
Kama hivyo ni kweli basi huyo punguani afanye hesabu ya kawaida apunguze milioni 18 za madawati zinazobaki azisalimishe kwenye jimbo zisaidie maendeleo ya wanajimbo Mathayo kwa mtazamo wako wa two way traffic inakubidi ufanye hivyo.
Shame on you.
 
Kama walikubaliana na wananchi kwamba anawapa madawati ili wamchague ubunge kwa kipindi cha pili ni haki yake aludishiwe madawati hayo. Kama hakuna makubaliano hayo, bali alitoa kwa moyo wake kama kiongozi wao hana haki ya kuyadai madawati hayo tena , eti kwa sababu hawakumchagua " kienda kwa mganga huwa hakirudi"
 
biashara yake ya ujambazi na magendo imedolola nini. Maana kudai hata madawati ni kama huyu jamaa ana mtindio wa ubongo. Bora arudi kwenye ujambazi wake au magendo kule mpakani.
 
Kama walikubaliana na wananchi kwamba anawapa madawati ili wamchague ubunge kwa kipindi cha pili ni haki yake aludishiwe madawati hayo. Kama hakuna makubaliano hayo, bali alitoa kwa moyo wake kama kiongozi wao hana haki ya kuyadai madawati hayo tena , eti kwa sababu hawakumchagua " kienda kwa mganga huwa hakirudi"

Kama kulikuwa na makubaliano yoyote yale yaliyolenga kuwa-influence wananchi economically kumchagua regardless of his capacity to be their leader, you can't distinguish it with those who distribute envelops with money inside in return of votes. That is corruption and he should be prosecuted like Mwakalebela et al. The only contract which is legal between people in the constituents and their MPs is working together for the benefit of the constituents. Anything contributed or donated for the benefit of the constituent remains to be belongs to the constituents regardless of whether they re-elect you or not. This MP sounds like an idiot who is not patriotic enough to his constituent rather a self serving. This reminds me those same people who decided to take furnitures from MPs offices after they were defeated.
 
Kanunua simu kampa dem walipoachanaa, kamnyang'anya.
nadhani alimua kufuata wimbo huu wa taarabu ni tahira
 
Hii habari niliiona ila kuna watu wana nishangaza sana hapa JF, wao ni kupinga kila kitu ili mradi anaye tajwa anajulikana kuwa na kadi ya kijani! Mi sioni kwanini baadhi ya wachangiaji wanajaribu kuona kama huu upumbavu wa Mathayo ukiongelewa basi ni CCM inaongelewa! kwa mantiki hii ndio maana CCM imevunda na sasa inanuka haiwezekani mtu mmoja akifanya upumbavu wake badala ya wana CCM na viongozi wa chama kumkemea wanadiriki kumtetea na kuupuza upuuzi wake.

Mathalani huyu Bwana Mathayo ana elimu ya Darasa la saba kama mtu akiongelea hilo sidhani kama anaongelea moja kwa moja CV ya chama bali ni CV binafsi ya Mathayo! hivyo ni wajibu wa wana-CCM na viongozi wao kuchua hiyo habari na taarifa kuangalia jinsi ya kuitumia kusafisha chama siyo kutetea, namna hiyo mnajichimbia kaburi wenyewe na wala msitafu mchawi! Alisema na kutangaza adharani sasa mna puuza na kutetea nini hapo? kama mnadhani yeye kufanya hivyo ni fedhea na aibu kwenu basi mvuteni kamba maana bado ni mbwa wenu na hivyo nadhani bado ana kamba yenu.

Kuhusu yeye kudai madawai nadhani anayo haki sawa, ila hii ni nzuri na tamu maana inaweza kusaidia kujenga hoja juu ya kesi ya Rushwa katika uchaguzi kama PCCB wataamua kusimama kidete huo ni ushahidi tosha kuwa alitoa Rushwa ya madawati ili apate kuchaguli na ndio maana anahitaji kurudishiwa baada ya kunyimwa kura.
 
Huyu jamaa,anatia aibu sana, yaani kweli atakuwa anamatatizo ya akili
 
Back
Top Bottom