Recent content by mwalimumwema

  1. mwalimumwema

    Msaada wa namna ya kuhamisha ajira mwajiriwa serikalini

    HESHIMA KWENU WANA JF. Tafadhali naomba msaada wenu, nina ndugu yangu ameajiriwa serikalini kama mwalimu wa sekondari kwa miaka zaidi ya mitatu na sasa amepata nafasi ya kufundisha chuo kikuu cha serikali baada ya kujiendeleza. Changamoto ni kwamba hajajua anatakiwa afuate utaratibu upi ili...
  2. mwalimumwema

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    MKUU Njowepo; HAPO KWENYE RED ndio mbaya kabisa. Huyo hata kwenye wilaya yake walishamchoka kabisa, hakuna kinachoendelea achilia mbali mchango wake kwa taifa kwa ujumla hususani wizara alizoziongoza. Jimboni ameshatengeneza nyufa za udini acha kabisa.
  3. mwalimumwema

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    MKUU Ritz, unamaanisha nini hapo kwenye red. Ukitaja waislam unaongelea mjumuiko wa kundi la watu wa imani fulani (islam), ukisema 'mie' unaonesha umeshajitoa kwenye hilo kundi unalolitetea na unaangalia nafsi yako tu. WATU WA NAMNA YAKO Ritz NI WAKUOGOPWA KAMA UKOMA, UNACHONGANISHA UKIJIDAI...
  4. mwalimumwema

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    mkuu, hapo kwenye red hili si tamko la askofu dr. Martin shao peke yake, yeye amesoma tu kwavile ameongoza ibada ya kitaifa ya krismasi. Tamko hili ni la viongozi wa madhehebu yote ya kikristo, na linasomwa makanisa yote kuanzia leo na siku ya mwaka mpya.
  5. mwalimumwema

    Darasa la saba waliopata maksi 60 nao kubebwa kwenda sekondari - Agizo la Kikwete

    MKUU hapo kwenye red utalalamika sana wewe pamoja na baadhi ya watanzania wenye mawazo kama yako. Walimu wameshavunjika moyo, hawasomeshi tena kwa ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya unayoitaka wewe na magamba wenzio. Mgomo baridi unaendelea mashuleni kwa saana tu, tena walimu wenye digrii angalau...
  6. mwalimumwema

    Nataka kuachana na ualimu

    mimi ni mwalimu nakushauri acha ualimu. unaweza kuacha ualimu kwa busara ya kujiendeleza kwenye fani nyingine lakini uwe na uhakika unarefa ukimaliza masomo yako maana kwa tanzania kazi inayopatikana kwa kutopigiwa sound na marefa ni ualimu pekee, ndio maana wengi tuliosomea na tunaofundisha ni...
  7. mwalimumwema

    Nkrumah Hall Yesterday: One of my greatest moments in my life, I wish my father was alive....!

    HONGERA SANA KAKA MAGGID MJENGWA: <br>Umetoa hotuba nzuri kulingana na maandalizi yako. You have the right to be proud of yourself! WHY NOT? watanzania tupo wazuri kukosoa zaidi ya ku-Appreciate. kama ulivyoeleza malengo yako hayakuwa kwenye chama ama itikadi yoyote zaidi ya MSTAKABALI WA...
  8. mwalimumwema

    Mwongozo juu matumizi ya "Loud Speakers" kwenye Nyumba za Ibada katikati Makazi ya raia

    Tatizo ni UBINAFSI wa WATANZANIA. Watanzania tumekuwa wabinafsi sana, hatuheshimiani kwa misingi ya ukomo wa uhuru wa kila mmoja kufanya mambo yake. Nchi hii haina dini wala dhehebu hilo linasisitizwa kila siku na serikali LAKINI mtanzania akiwa muumini wa dini/dhehebu fulani anaona yeye ni...
  9. mwalimumwema

    Ni kweli serikali inapuuza madai ya walimu?

    Asanteni wana jamvi kwahiyo kulingana na michango yenu tatizo si serikali as such bali UDHAIFU wa CWT pamoja na WALIMU wenyewe inapelekea SERIKALI KUPUUZA MADAI YA WALIMU. Kwanini CWT inakuwa dhaifu hadi kushindwa kusimamia maslahi ya WALIMU? Kwanini WALIMU wanakuwa dhaifu/waoga hadi kushindwa...
  10. mwalimumwema

    Ni kweli serikali inapuuza madai ya walimu?

    Katika kongamano la kuadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Tanzania bara swala la walimu na elimu limegusiwa sana na wachokoza mada na wachangiaji waliowengi. Lakini jambo lililonishangaza ni tuhuma kwamba eti 'serikali ya Tanzania inapuuzia madai ya walimu' naamini tunao walimu hapa, je ni kweli...
  11. mwalimumwema

    Kama wewe ni mwalimu soma hapa ni muhimu.

    Sio maadui watatu tu Mwalimu: # 4 ni JAMII YA WATANZANIA. Watanzania hasa wa kipato cha chini ambao ndio waathirika wakuu wa elimu mbovu wamekuwa wakwanza kuwadharau walimu na taaluma nzima ya ualimu. Ni ajabu unamshauri mwalimu atafute namna ya kujikimu na ualimu uwe ziada then unategemea...
  12. mwalimumwema

    Moshi academy huu ni zaidi ya unyama

    MOSHI- ACADEMY M-ungu O-nesha S-ehemu H-ela I-po POLE SANA DADA HAPO NI MKWANJA TU, MASWALA YA MALEZI NA THAMANI YA MWANAO NI WEWE TU:confused2: Tafakari Chukua Hatua:closed_2:
  13. mwalimumwema

    DUCE Introduces a Postgraduate Diploma in Education (PGDE) Evening Programme

    PGDE Everning Progam! Good news: Naomba unijuze Dr. Hivi ile interview ya tarehe 11 sept, 2012 mliyosema majibu ni after 2 weeks iliishia wapi maana ni muda sasa na taarifa zisizo rasmi zinasema hamjaajiri.
  14. mwalimumwema

    Naomba ushauri shule zipi nipeleke job application- teaching

    unataka ushauri ama unataka ugomvi mwalimu wa Diploma mwenye uzoefu wa miaka sita? funguka. zaidi ya UKALI/UGOMVI sifa gani tena unayo mwalimu mwenzangu ili nikushauri upeleke CV yako
  15. mwalimumwema

    Nape: Huwezi kuwatumikia mabwana wawili

    Hana jipya huko magamba kuna-mababu wangapi? yeye mwenyewe babu tu kama chama lake la kijani+njano. Vijana wote ki-umri na kifikra wapo upinzani specifically M4C. Wamempa cheo gagari awe kivutio lakini badala yake anazidi kuwaharibia.
Back
Top Bottom