mimi sipendi kelele za baa na misikiti( kwa kuwa wanaongea kiarabu), nyingine napenda.
Kenge nyiee kila mtu anauhuru kama unakaa kimya nyumbani kwako tulia na uboya wako, Wanao kesha baa waache wanywe nchi yetu inaendeshwa na pato la pombe, Waislamu waacheni ndo wanamwabudu Mungu HATA Wakristo muwaacheni wakeshe usiku haijari wanakaaje kanisani. Wekama hukeshi niliboya tuu hunalolote.
Mtaani kwetu wezi wanatumia fursa hiyo kufanya yao a kutogundulika kirahici kutokana na makelele ya bar na makanisan.
Ni vema kuwe na mikesha maalumu inayotambulika kitaifa na ulinzi uimarishwe na pia sheria ya kuanzisha makanisa ipitiwe upya coz kila mtu anataka kuanzisha ni wakati wa kuwaondolea misamaha ya kodi
Izi baar ziwe na kikiomo watu wafanye kazi ni aibu kwa taifa kukutana na walevi asubuh.
Ni hayo tu Mh.

Mi naishi karibu na msikiti taarifa ya habari ya saa 2 usiku nisipoangalia bar nyumbani siwezi kwani huwa ni makelele mwanzo mwisho hadi saa 3 usiku.Na jinsi ilivyo sasa hakuna eneo maalumu kwa ajili ya msikiti wala kanisa.Mtu akiwa na hela tu akanunua nyumba mjini anabadili kuwa msikiti ama kanisaNa hata miskiti wanapiga kelele usiku na mispika yao kwaani si kila mtu anajua muda wake wa kuswali au aweke alarm
Hata kwenye misiba,haiwezekani watu wakae msibani siku tatu,MTU akifariki asubuhi,sheria itungwe azikwe siku hiyo hiyo,wanajaza Friji za mochwari tu
Baar ndo kitu gani?
Kama ulimaanisha bar unapoteza muda wako kushauri ujinga. Hii nchi inaendeshwa na wanywaji. Pombe inaliingizia Taifa hela nyingi. Mtushukuru sana sisi wanywaji na mkome kutufuatilia kwenye mambo yetu.
Kwenye imani za kidini.... Serikali haina dini na wananchi wote wamepewa uhuru wa kuabudu. Mwisho wa siku utaleta migogoro ya kidini tu. Wengine watasema kengele za makanisani zipigwe marufuku... wengine watasema adhana zina waboa....et el. Hili pia umeshauri ujinga.