Recent content by Mwalimu Tanzania

  1. Mwalimu Tanzania

    Aise kumbe Mwanza si ya Ukawa?

    Wataangamia kwa kukosa maarifa, waache kuwa waumini wa chama wawe wapiga kura
  2. Mwalimu Tanzania

    Aise kumbe Mwanza si ya Ukawa?

    absolutely true
  3. Mwalimu Tanzania

    Aise kumbe Mwanza si ya Ukawa?

    Kusema, ukweli Dr.Magufuri anafanya kazi, kampeni hasa hasa, tukiacha ushabiki
  4. Mwalimu Tanzania

    Aise kumbe Mwanza si ya Ukawa?

    apokelewa kama mfalume, asema watanzania wasipotoshwe na wanasiasa na kuiacha amani. Asema maisha kwanza siasa baadaye.
  5. Mwalimu Tanzania

    Kudanganywa wakati wa kampeni za uchaguzi!

    Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza sababu za msingi wa wapiga kura na wananchi wa kanzania kutopewa taarifa sahihi juu ya nchi yao na pia sera za maendeleo ya nchi yao. maswali yafuatayo, naombe majibu: 1. Kwanini watanzania hawapewi taarifa sahihi juu ya manedelo yao ya kisiasa na...
  6. Mwalimu Tanzania

    Usaili wa jeshi la polisi mkoa wa Mwanza 23-26/09/2014

    <br> Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linatangaza usaili kwa vijana waliomaliza form IV 2013 na Form six 2014 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2014 kuwa tarehe 23/09/2014 hadi tarehe 26/09/2014 litafanya usaili katika ukumbi wa polisi Mabatini kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa...
  7. Mwalimu Tanzania

    Usaili wa jeshi la polisi mkoa wa mwanza 23-26/09/2014

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linatangaza usaili kwa vijana waliomaliza form IV 2013 na Form six 2014 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2014 kuwa tarehe 23/09/2014 hadi tarehe 26/09/2014 litafanya usaili katika ukumbi wa polisi Mabatini kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa kumi...
  8. Mwalimu Tanzania

    Nataka Kushika Mimba...msaada

    Toa pia na umri wako na kazi yako ili tuweze kukusaidia, data ulizotoa bado hazitoshelezi kukusaidia.
  9. Mwalimu Tanzania

    Dhana ya Wanawake Kuuza Miili Yao

    nimekusoma ndugu yangu
  10. Mwalimu Tanzania

    SAIKOLOJIA: Faida ya Kuoa wanawake wa aina hii

    ni kweli kabisa, la msingi kuomba Mungu tu, upate mke au mume mwema
  11. Mwalimu Tanzania

    Kwa wasomi tu: Msomi huyu namwonea wivu

    Fuatilia kwa umakini, usitoe hoja bila kuwa na uelewa wa kutosha, kwanza jiulize kimefikaje huko Amazon, halafu ni kitabu cha namna gani na kwanini kinauzwa bei hiyo! Kisha basi utoe maoni yako, nasisi tutayaheshimu
  12. Mwalimu Tanzania

    Kwa wasomi tu: Msomi huyu namwonea wivu

    Loo! Kumbe Open kuna product bora namna hii
  13. Mwalimu Tanzania

    Kwa wasomi tu: Msomi huyu namwonea wivu

    Yote yanawezeka, kuwa wapo wanaoweza au hakuna, lakini chamsingi ni kuvisoma na kurejea kwa tafiti mbalimbali maana ni za kitanzania per se
  14. Mwalimu Tanzania

    Dhana ya Wanawake Kuuza Miili Yao

    Ni sahihi kabisa nakuunga mkono mkuu, maana hii si debate, ni kuelimishana
  15. Mwalimu Tanzania

    SAIKOLOJIA: Faida ya Kuoa wanawake wa aina hii

    haaaa! kumbe huamini, mimi najua ukifanya kautafiti kadogo tu, utagundua
Back
Top Bottom