Dhana ya Wanawake Kuuza Miili Yao

Dhana ya Wanawake Kuuza Miili Yao

Hamjui 'mwanaume ameubwa mateso kuhangaika??na atakula kwa jasho lake ?mie nitazaa kwa uchungu??
Wanaume jmn ur naturally providers,and tunafurahi mkitujali kwa kutupa hela,sio kwamba tunajiuza,hata km nikiiomba js out of mapenzi tusaidiane,(ila of course natambua kuna sm women ni pasua kichwa,poleh yenu mnaogeuzwa Mpesa)
 
Nikizungumzia kwa upande wa Waafrika, Wanawake wengi, makabila mengi wanafundishwa, wanalelewa kumtegemea Mwanaume, tena through kwa kuprovide sex kwa huyo Mwanaume, eg. Mafiga Matatu, hata ukimpata Mchumba lazima kwenu wakuulize kwamba anafanya kazi gani, tena wapi, maana ukisema ni Manager, hata Bar kuna Manager, unatakiwa uweke bayana, mf. Manager wa TRA, Wazazi hawataki wakwe mafukara, kuna wengine wanawalengesha kabisa watoto wao kwa watu wenye pesa kwa namna yoyote,hata awe Mume wa mtu, hawaogopi, wengine wanajaribu mpaka kwa waganga, na Wanaume wengi wenye kipato kidogo kuliko Wake zao, wanadharauliwa na wakwe zao mpaka mashemejii, kuna nyumba nyingine ukishachumbia, utakoma, utamalizia kusomesha wote ambao bado hawajamaliza shule, hata kama hukujiandaa kwa hilo, ilimradi una kipato cha juu, Mke unamtaka, inabidi kubembeleza wakwe na Mkeo, kila mwisho wa mwezi matatizo hayaishi,unakuwa ATM Machine yao, hasa ukute Mwanamke asiye mstaarabu hata hatougusa mshahara wake kuchangia na mshahara wako kwa ajili ya ada za ndugu zake tena, ni Wewe tu, utakiona cha moto, na ukija kuingia kwenye ndoa, mahusiano yanayofahamika kisheria, usipotekeleza majukumu ya kuitunza familia yako,utakiona!
 
So from mwanzo, kwenye jamii nyingi Mwanamke anafundishwa, analelewa kumtegemea Mwanaume, kwa hiyo kama anahitaji, ana matumizi ya juu zaidi ambayo hawezi kuyafikia, au yatamtia shoti sana kwenye kipato chake, anatafuta mteremko, atawapanga, wa kuninunulia range, wa kunijazia mafuta, wa kunikodishia nyumba Masaki, wa Kunijengea nyumba kwenye kiwanja changu Mbezi n.k
 
Sasa ngoja usikie Pedezyee wake Mkubwa, anayempa jeuri mjini, kakamatwa China au Uarabuni na Unga au kama ni Kiongozi Mkubwa, kafukuzwa au kasimamishwa kazi ghafla, uone atakavyohaha na kupagawa!
 
Hamjui 'mwanaume ameubwa mateso kuhangaika??na atakula kwa jasho lake ?mie nitazaa kwa uchungu??
Wanaume jmn ur naturally providers,and tunafurahi mkitujali kwa kutupa hela,sio kwamba tunajiuza,hata km nikiiomba js out of mapenzi tusaidiane,(ila of course natambua kuna sm women ni pasua kichwa,poleh yenu mnaogeuzwa Mpesa)

Dhana ya mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu inazidi kufifia.

Nowadayz ht wanawake wenye kujitambua hutafuta kwa jasho lao na kuzaa kwa kusaidiwa(operesheni) bila hata uchungu.
 
naturally wanawake wameumbwa kumtegemea mwanaume..ukitaka kuoa unatoa mahari,bado kumentain relationship na mambo kibao lazima ugharamie either direct or indirect.
 
naturally wanawake wameumbwa kumtegemea mwanaume..ukitaka kuoa unatoa mahari,bado kumentain relationship na mambo kibao lazima ugharamie either direct or indirect.

Unamaanisha nini by "naturally"?

India huko wahindu mwanamke anatoa mahari kwa mwanamme, na wao pia "naturally" wameumbwa kumtegemea mwanamme?
 
Unamaanisha nini by "naturally"?

India huko wahindu mwanamke anatoa mahari kwa mwanamme, na wao pia "naturally" wameumbwa kumtegemea mwanamme?

Ninamna tu walivyo amua kubadili uhalisia lakina baado haibadilishi ukweli wa nature ya mwanamke kumtegemea mwanaume.
Je na wanaume nao utasema wameumbwa naturally kuliwa 0712(tiGO)?
 
Ninamna tu walivyo amua kubadili uhalisia lakina baado haibadilishi ukweli wa nature ya mwanamke kumtegemea mwanaume.
Je na wanaume nao utasema wameumbwa naturally kuliwa 0712(tiGO)?

Umefanya uchunguzi wa kuwashirikisha wanawake wangapi? Na wa kutoka jamii gani? Zenye uchumi gani? Elimu gani? Umetumia vigezo vipi? Ulikuwa na "control group"? Methodology yako ilikuwaje?

Nauliza haya kwa sababu isije kuwa wanawake wa mtaani kwenu wote wanavaa vibwaya, ukafikiri "wanawake wote wanavaa vibwaya".
 
Mfumo mzuri wa kujenga majadiliano ni kujibu hoja kisha unauliza na wewe ulipaswa kunijibu nilicho kuuliza kisha ndo uje na maswali yako haya.
 
Mfumo mzuri wa kujenga majadiliano ni kujibu hoja kisha unauliza na wewe ulipaswa kunijibu nilicho kuuliza kisha ndo uje na maswali yako haya.

Swali lako liko completely out of topic hata sikukumbuka kama kuna swali, jinsi lilivyokuwa out of topic.

Habari ya kujamiiana inahusiana vipi na utegemezi?

Ndipo hapo ninapohoji sample space yako, inawezekana unakaa mtaa wa machangudoa, ambapo kujamiiana kunahusika moja kwa moja na utegemezi (wanajiuza, wamewekwa nyumba ndogo etc) ukafanya conclusion kwamba lazima mara zote kujamiiana kuende na utegemezi.

Hapo ndipo nilipoona sababu ya kukuuliza maswali hayo ya hapo juu ambayo hujayajibu.

Kwa sababu isije kuwa unachukulia mambo ya kwenu unayoyaona katika jamii iliyokuzunguka wewe ukayafanya kama ni ukweli universal kwa wanawake wote.

Ukisikia tu "wanawake hivi na hivi" "Wahaya vile na hivi" "Wamakonde hivi na vile" "Wanaume hivi na hivi" ni lazima uchunguze sana hiyo sweeping statement.

Wanawake gani wanaongelewa?

Mwanamke changudoa wa Kinondoni asiye elimu wala ajira ya kueleweka huwezi kumfananisha na mwanamke mkurugenzi wa IMF, mhadhiri wa chuo etc. Wanatofautiana kwa mengi kutokana na mazingira yao.

Sasa mnaposema "wanawake hivi" lazima m qualify wanawake gani mnaongelea, kwa sababu vinginevyo mtaeleweka kwamba mnaongelea wanawake wote.

Mkisema wanawake wote ndo hapo tunawauliza, je mmetembea dunia nzima na kufanya a credible research?
 
Umefanya uchunguzi wa kuwashirikisha wanawake wangapi?
Huo ni utamaduni ulioko wazi na haujaanzia hapa kwenye hii mada iko wazi hata kwako unaweza kuithibitisha kwa kujiuliza ni marangapi ambazo umekuwa ukitumika kuwa gharamia akina dada au mkeo
Na wa kutoka jamii gani?
Hili liko kwa jamii nyingi ukitoa hiyo ulio itaja wewe na sio kwamba ni kwa wote wanaotoa mahari wanapotaka kuolewa ina kuwa ni kupenda kwa mwanamke na kama anauwezo wa kufanya hivyo
Zenye uchumi gani? Elimu gani?
Elimu na uchumi zinatofautiana kulingana na maeneo husika lakini bado swala linakuwa pale pale ni utegemezi
Umetumia vigezo vipi?
Vigezo vinavyo tumika hapa ni kutazama uwezo wa mwanamke kumhudumia mwanaume ni kiasi gani haijalishi awe na kipato cha kiasi gani
Nauwezo wa mwanaume kuhudumia mwanamke bila kuangalia uwezo wake katika kipato hapo utagudua ni upande kani unakuwa tegemezi kwa kiasi kikubwa.
 
Huo ni utamaduni ulioko wazi na haujaanzia hapa kwenye hii mada iko wazi hata kwako unaweza kuidhibisha kwa kujiuliza ni marangapi ambazo umekuwa ukitumika kuwa gharamia akina dada au mkeo Hili liko kwa jamii nyingi ukitoa hiyo ulio itaja wewe na sio kwamba ni kwa wote wanaotoa mahari wanapotaka kuolewa ina kuwa ni kupenda kwa mwanamke na kama anauwezo wa kufanya hivyoElimu na uchumi zinatofautiana kulingana na maeneo husika lakini bado swala linakuwa pale pale ni utegemeziVigezo vinavyo tumika hapa ni kutazama uwezo wa mwanamke kumhudumia mwanaume ni kiasi gani haijalishi awe na kipato cha kiasi gani
Nauwezo wa mwanaume kuhudumia mwanamke bila kuangalia uwezo wake katika kipato hapo utagudua ni upande kani unakuwa tegemezi kwa kiasi kikubwa.

Unreasonable speculation panning localized experiences to universal conditions.
 
Ni sahihi kabisa nakuunga mkono mkuu, maana hii si debate, ni kuelimishana

Hata Socrates alielimisha kwa maswali.

There is such a thing as "the Socratic method".

A Mwalimu should know, unless one is Mwalimu only in name.
 
Ni sahihi kabisa nakuunga mkono mkuu, maana hii si debate, ni kuelimishana

Asante mkuu.
Make kuna watu humu ni mabingwa wa kuja na maswali badala ya majibu, yani ukimuuliza swali yeye anakuja na swali jingine sasa sijui maana yake ni nini anakulazimisha uamini mawazo yake kwa kukujazia maswali ukiacha kumjibu anajiona kaweza sana yeye ndo bigwa.
 
Hata Socrates alielimisha kwa maswali.
Hiyo inatosha wewe kuhalalisha kutumia utaratibu huo? lakini pia kumbuka nje ya mfumo wa kutumia maswali kunanjia zilizo tangulia hapo mkapa zikapelekea kuwepo maswali.
Ila sio kama unavyo fanya wewe hakuna mambo ya kujiuliza katika maswali yake ili mtu atafute majibu.
 
Mpaka wa kinachotosha na kisichotosha ni upi?

Kama kuna njia nyingine kwa nini ni lazima nitumie hizo na si hii ya maswali?

Kwa nini unasema hakuna mambo ya kujiuliza, wakati nishauliza maswali?
 
Back
Top Bottom