Mwalimu Tanzania
Member
- Jul 28, 2013
- 72
- 17
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza sababu za msingi wa wapiga kura na wananchi wa kanzania kutopewa taarifa sahihi juu ya nchi yao na pia sera za maendeleo ya nchi yao.
maswali yafuatayo, naombe majibu:
1. Kwanini watanzania hawapewi taarifa sahihi juu ya manedelo yao ya kisiasa na kiuchumi. Watanzania wengi hawajui nini nchi yao imefanya na nini haijafanya na kwa sababu gani
2. Akina nani hasa wadau wakubwa wa kudanganya au kutosema ukweli kwa wananchi
3. Ni mbinu zipi zinazotumika katika kuwadanganya wapiga kura wetu
4. Nini kifanyike kwa wapigara kura wetu, kama ni elimu imetolewa sana, tatizo ni nini
Naombeni mnisaidia