Dhana ya Wanawake Kuuza Miili Yao

Mpaka wa kinachotosha na kisichotosha ni upi?
(Mpaka wake ni ridhiko)
Ila
Sitachoka ku kusisitiza kujibu maswali kabla ya kuuliza swali.
Kama kuna njia nyingine kwa nini ni lazima nitumie hizo na si hii ya maswali?
Hapo sasa ndo swali la msingi lilipo ambapo unapaswa kujiuliza mwenyewe kwanini utumie hiyo ya maswali.

Kwa nini unasema hakuna mambo ya kujiuliza, wakati nishauliza maswali?
Elewa kwanza tofauti ya kujiuliza na kuuliza, ni kwamba unacho kifanya wewe sio kuuliza maswali ndo maana hakimfanyi mtu kujifikirisha.
 
(Mpaka wake ni ridhiko)
Ila
Sitachoka ku kusisitiza kujibu maswali kabla ya kuuliza swali.

Hapo sasa ndo swali la msingi lilipo ambapo unapaswa kujiuliza mwenyewe kwanini utumie hiyo ya maswali.

Elewa kwanza tofauti ya kujiuliza na kuuliza, ni kwamba unacho kifanya wewe sio kuuliza maswali ndo maana hakimfanyi mtu kujifikirisha.

Mpaka wa ridhiko haunishurutishi, kujiuliza mwenyewe hakunishurutishi.

Unajuaje kwamba nilichofanya si kuuliza maswali?
 
Zamani ndo ilikuwa hivyo lakini siku hizi midume kibao tu inaliwa 0713
 
Post #35 inajieleza.

Unaweza kuona unaenda mbele zaidi, lakini mbele zaidi kuelekea nyuma.
Leta ushahidi wa maneno niliyo sema mimi sio alicho kiandika mtu mwingine, huwezi jua kaandika hivyo kwa sababu zipo au alikuwa anawaza nini.
Huu ushahidi wako hauna nguvu ya kutetea unacho ni hukumu nacho mkuu.
 
hamnaga papuchi ya bure ata siku moja zote zipo for sale...wewe ushukuru tuu kuwa wao wamefikia hatua ya kutuuzia kama bidhaa....wangekuwa wanaziheshimu papuchi zao mwana mbona revola zisingetosha

Wewe kweli ni mzabzab
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom