Mwalimu Tanzania
Member
- Jul 28, 2013
- 72
- 17
- Thread starter
- #21
Nakushukuru ndugu yangu, Mwalimu Tanzania kufurahia mafanikio yangu, nina imani unawivu wa maendeleo ndiyo maana unataka kushea mawazo na wanaJF. Mimi binafsi nakutakia kila la heri na karibu sana tujifunze pamoja maana elimu ni mawazo na mawazo ni watu na watu ni jamii!
Kweli mawazo ni watu na watu ni jamii. Asante kwa hilo