Recent content by mwakitundilo

  1. M

    fikiri madinda yuko wapi?

    miaka michache kuna huyu mtu anaitwa fikiri madinda alikuwa akitajwa sana na karibu bendi zote za dansi nchini. siku hizi simsikii akitajwa tena, yuko wapi? kafariki? kafulia?
  2. M

    Lowassa na Mulugo, si lazima muongee kiingereza!

    Mkuu KIM tupia jamvini yoyote ya Mhe Makinda na/au Mhe Hawa Ghasia wakitafuna ung'eng'e, zikipatikana ambazo wanabwabwaja bila kusoma karatasi itakuwa burudani zaidi. Nina mashaka sana na ngeli zao.
  3. M

    Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    anueni matanga huyo gaidi wenu Farid hamumuoni tena. Obama katufundisha kitu kizuri sana, kuwa gaidi akiuawa ni kutupa baharini hakuna kuonyesha maiti yake kama ilivyokuwa kwa Osama. Samaki wameshakula macho ya gaidi Farid
  4. M

    Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    Big up sana vyombo vya usalama, kumbe kazi yenu mnaijua mkiamua. hawa wapuuzi dawa yao ni hiyohiyo ya kupotea bila taarifa. Ponda naye apewe dhamana halafu apotee style ya Farid.
  5. M

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    1. Acheni wivu wa kike - Pius Msekwa 2. Ukitaka biashara yako ikunyookee njoo CCM- Sumaye. 3. Huyu si mwanasheria mkuu wa serikali ni mwanasheria mkuu wa CCM- Dr Masumbuko Lamwai. 4. Mnaoona usafiri wa reli mbaya You can go to hell-John Malecela 5. Kila mtu abebe msalaba wake- Cleopa Msuya 6...
  6. M

    Mkuu wa wilaya Mbeya awatusi waalimu

    Mkuu hapo kwenye red, namjua huyu kanjanja vizuri sana hana phd ya kweli ni hizi za magumashi za kufanyia siasa ambazo ziliibuka kwa wingi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2005. Ni msanii tu, mkewe kweli ana shule ni mwanasheria hajachonga vyeti kama huyu kimburu. Mkewe ni Pindi Chana ambaye nasikia...
  7. M

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Hapo kwenye red, unasema tafiti mlizofanya bila kusema umefanya wewe na nani na mmefanyia wapi. Acha kutuletea jamvini tafiti ulizofanyia kwenye masaburi yako!
  8. M

    Waraka wa Tambwe Hizza kwa watanzania

    This country bwana! yaani hata kilaza Tambwe anaweza kutoa waraka na great thinkers wakaujadili? Tambwe hana la kuweza kujadiliwa humu jamvini ni kapuku mzungu wa reli tu hana lolote wala jipya zaidi ya kuchumia tumbo tu.
  9. M

    TENDWA atatendwa tu...

    Huyu mtu aliwahi kuwa private secretary wa Samwel Sitta unategemea vipi awe objective?
  10. M

    Nauliza tu: Kwanini Zitto hashiriki kwenye M4C? Kwanini yupo karibu sana na CCM?

    kumbe zitto ni jembe? "JEMBE KWA KAWAIDA LINA TUNDU AMBAPO MPINI UNAPITA KATIKA TUNDU, JE KWELI NA ZITTO YUKO HIVYO NA ANA SIFA NA TABIA KAMA YA JEMBE YAANI HAFANYI KAZI BILA KUTIWA MPINI? SAWA KAENI NA JEMBE LENU ZITTO"
  11. M

    Ushauri wa bure kwa chadema/makamanda

    si useme tu umetumwa na zzk
  12. M

    Chadema badilikeni!

    umenichekesha sana hapo kwenye red, mwezi mchanga huu machizi wote tutawajua!
  13. M

    Hapa CHADEMA mmeingia kichwakichwa, hii inaitwa force king!

    Well said Mkuu Nicholas! umedadavua vizuri sana, I feel pity for our colleague Mtendahaki. Anajiita mtendahaki lakini anashindwa kujitendea haki hata yeye mwenyewe itakuwa vipi kwetu aliotuandikia utumbo wake. It is a very myopic analysis that can cause squemish stomach to any expectant mother...
Back
Top Bottom