Lowassa na Mulugo, si lazima muongee kiingereza!

Lowassa na Mulugo, si lazima muongee kiingereza!

Mkuu KIM tupia jamvini yoyote ya Mhe Makinda na/au Mhe Hawa Ghasia wakitafuna ung'eng'e, zikipatikana ambazo wanabwabwaja bila kusoma karatasi itakuwa burudani zaidi. Nina mashaka sana na ngeli zao.
 
Mkuu KIM tupia jamvini yoyote ya Mhe Makinda na/au Mhe Hawa Ghasia wakitafuna ung'eng'e, zikipatikana ambazo wanabwabwaja bila kusoma karatasi itakuwa burudani zaidi. Nina mashaka sana na ngeli zao.

pendekeza hivi, bunge la Novemba lipigwe kwa kidhungu mwanzo mwisho ndio watu wataacha kukimbilia ubunge. hata walio zoea kukaa kimya walazimishwe kuwasalimia wapiga kura wao kwa kidhungu, hapo itakuwa balaa itakuwa mwisho wa viti maalumu wenyewe watavikataa.
 
Mlugo hakuifanyia rehearsal ya kutosha speech yake - na huenda usiku wa kuamkia utoaji speech alikuwa na muungano na mZimbabwe ambao uliendelea kumkaa hadi anatoa speech. Speech ya kuandikiwa inahitaji rehearsal ya nguvu kwa baadhi ya watu.
 
Grammar tatizo..sio to show transparent Bali ni to show transparency,,,

Ni Hoja; Ukiangalia Unaongeza na kupunguza Maneno unaishia kuwa na hiyo ERROR unayoiita... lakini haukuelewa? Nia yangu>

Kama ni kusubiri hoja za watu Grammar zao zikoje Hii haitakuwa Jamii Forums ILA JAMII ya MAREKEBISHO ya LUGHA za WATU
 
Wengi wa wanaong'ang'ania Kingereza wako kwenye ngazi ya maamuzi na wanateswa na ugonjwa wa kasumba ya kuabudu lugha ya Kingereza. Ndiyo hao waonao fahari watoto wao wakiwaita Dad badala ya Baba. Kingereza kitumike tu kama lugha ya kawaida na mkazo utiliwe kwenye lugha yetu ya taifa. Atakayejimudu kwa Kingereza akitumie. Asiyekimudu atumie lugha yetu adhimu na isiwe NONGWA.
 
nawewe ulitaka kuandika hunger au?wale wale tu

Heshima kwako mkuu,usipende kukosoa vitu hovyo hovyo bila kufikiria au kuona hio clip,hayo maneno kayaongea lowasa,neno anger au hunger alivyokua anatamka hauwezi jua anazungumzia nini ndio maana nikauliza......Hunger For More
 
Hata ukianza darasa la kwanza kama walimu wenyewe hawajui unataraji matokeo gani? angalia sera yetu wanaanza kiingereza darasa la 3. baada ya miaka yote wanafika darasa la 7 hawawezi kutunga sentensi ya kiingereza. je, kuna muujiza gani unaotokea darasa la kwanza utakaotatua tatizo hili?

QUOTE=Mkwawa;4909323]Sio kwamba hawajui Kiingereza hawana matumizi nacho kwa asilimia zaidi ya tisini kwa muda wote wa maisha yao, lugha inakuwa, na inakufa, kama huitumii lazima huwezi kuwa na misamiati ya kutosha, lafudhi sio hoja sana kwani hata waingereza wana lafudhi tofauti kati ya sehemu na sehemu au na wamarekani nk.

Ama tuanze kujifunza kiingereza kuanzia darasa la kwanza na kiwe ni kwa masomo yote ili tuwe na misamiati ya kutosha la sivyo tutaonekana vituko siku zote tukizidi kkuking'ang'ania . Wapo wengine kichwa ni patupu hata wakiongea kimatumbi na wako ambao wana make sense ila lugha ndio inawachanganya.[/QUOTE]
 
Dr wa ukweli huyu!!! Msikilize



Nilikua sijawahi kumsikia slaa akiongea kiingereza,nimejiidhish kwamba anakiweza angalau kuliko lowassa na mwenzie..tisking'ang'anie kama tuna udhaifu nacho jamani,kiswahili tuna bahati nayo ni lugha inayoongewa na watu wengi tu,tukitumie
 
Last edited by a moderator:
Edo anasema priority number one, two and three ni education! Hivi si ndio vipaumbele vitatu vya CHADEMA au .....!!!
 
To be frank wala sina chakusema maana yeye cha kwake kizuri kuliko cha kwangu..Nadhani mm nikianza kuongea basi hata hicho cha kwake cha weza kuwa karibu sawa na cha malkia e the quin....

Hongera waziri mkuu aliye staafishwa kwa manufaa ya umma ung'eng'e wako si haba mi naweza shindana na labda naibu waziri wa elmu na akikazana ku-crame anaweza nishinda kabisa!...Hapo mi sina ugomvi na ww! Ila inapokuja ufisadi duu hapo nakuogapa kuliko UKIMWI...
 
to be frank wala sina chakusema maana yeye cha kwake kizuri kuliko cha kwangu..nadhani mm nikianza kuongea basi hata hicho cha kwake cha weza kuwa karibu sawa na cha malkia e the quin....

Hongera waziri mkuu aliye staafishwa kwa manufaa ya umma ung'eng'e wako si haba mi naweza shindana na labda naibu waziri wa elmu na akikazana ku-crame anaweza nishinda kabisa!...hapo mi sina ugomvi na ww! Ila inapokuja ufisadi duu hapo nakuogapa kuliko ukimwi...

na wewe umeona ee! Watu wanabisha tu, huyu fisadi kwa kweli kamzidi mulugo kwenye kizungu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame


Jamani tusiwadhihaki sana hawa watu, I believe hata sisi tunaoongea kwa maandishi hapa kama tukiwekwa kuongea mbele ya halaiki hata kwa kiswahili most of us tutaongea vitu vya ajabu

English is about grammer and confidence, kwa lowasa sioni tatizo lolote kiasi cha kumbeza, anaongea vizuri regardless of pronounciation in some few words, which is not an issue

Kwa mzee wa zimbabwe, was really terrible mistake. Sina utetezi naomba niishie hapo
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Lowasa anataka 'improvement ya poverty'????!!!!!!
 
Back
Top Bottom