Ni sawa lakini kila jamii inataratibu zake na sheria zinazo eleweka, labda ni kwa sababu hatukumbuki mambo ama hatusomi vitu vya msingi kuhusu chuo. Katika hotuba ya VC Kitima wakati ule (2012) amewahi kusema kuwa chuo (SAUT) jina sheria zake lakini ambazo hazivunji sheria Wala katiba ya jamhuri...
Muda mwingine ndoto hujengeka kutokana na mawazo na matamanio. Kuhusu ndoto yako mi nadhani kuwa inaweza kuwa kweli kama huwa huwazi juu ya hao freemason na wala huwa husomi broshua zao. Ila kama una utamaduni wa kuungalia video ambazo hadhaniwa ni za freemason, kusoma vitabu vyao na mengine...
Kuhusu Christmas hata kwa upande wangu imekuwa changamoto kubwa ambayo nilikosa majibu kwa kipindi kirefu kutoka kwa viongozi wa dini kwani maelezo yao yanakosa ushahidi wa kimaandiko, na mkristo wa kweli anasimama katika misingi ya biblia na kama kitu hicho hakija andikwa basi ni batili. Biblia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.