Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

laptop kumi .......ningekuwa kwa babu namtengezeza.....akijamba utokee mlio kama ule wa ndiiiiii kitu kikigoma.....ningemuambia babu afanye huyo mtu awashe sana makarioni yaani awe anatembea anajikuna huko kila atapoenda na atapokaa.... Yaani ulokole ungenitoka

jf bwana nacheka kwa sauti ya juu,dah
 
Ooyooo huyu jamaa naona ni chotara wa kihindi kwa baba na kwa mama ni mwafirika
 
Heeee hii thread aifungwi aka closed mpaka akamatwe ndio itafungwa
 
Huyu ndie kama yule Muhindi mmoja aliekuwa anaingia kwenye nyumba za wahindi wenzake kisha anapiga dili na majambazi wanaingia,siku ilipofika akatiwa mbaroni kwenye mtego

Matapeli kama hawa huwa na tabia ya kuwa na madem wakali sana.
 
milioni tano hiyooo imesepa!

tuendelee kuisaka kokote iliko! pole lakini mkuu

avatar74709_3.gif
 
Back
Top Bottom