Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,439
- 826
Kwa hiyo kila anaesomea mambo ya dini automatic anakuwa mchungaji?
Hebu tuwe wakweli hapa. unataka kutuambia wanafunzi wote waliopita seminari ni mapadre?
Uchungaji wa Msigwa ni wa kujibambikiza tu, sijawahi kuona mchungaji akichochea vurugu siku ya kumuabudu Mungu
Nakumbuka jumapili moja mchungaji alikacha kwenda kanisani akaenda pale barabara mbili kuchochea vurugu kwa wamachinga,. matokeo yake polisi wakapiga mbata kichogo na kumsweka rumande
Kama kweli unalala sebuleni kwa dada yako, kaa kimya kwasababu umepoteza sifa ya kuitwa mwanaume.