Watanzania lioneni hili

Watanzania lioneni hili

Mandela ni sinema mpya iliyotoka hivi karibuni kuhusu maisha ya Mandela tangu alipoamua kujiingiza kwenye mambo ya siasa hadi anashinda katika uchaguzi wa Urais katika uchaguzi uliofanyika 1994 kama sikosei, title yake ni Long walk to freedom. Bila kupambana na mfumo dhalimu unaozidi kuota mizizi nchini udhalimu dhidi ya Watanzania walio wengi utazidi kuongezeka kwa kasi ya kutisha. Angalia operesheni Tokomeza jinsi watu walivyoteswa, kutiwa vilema na wengine kuuwawa na mali zao chungu nzima kuharibiwa. Haya yametokea pia kule Mtwara. Vyombo husika vya kuweza kupambana na hawa Wachina ili kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa vimeamua kuangalia pembeni na huku udhalimu ukizidi kupamba moto. Wanaweza kwenda pale wakakatiwa rushwa kidogo hao wanaondoka zao na udhalimu ukizidi kushamiri nchini. Watanzania kule China kamwe hawawezi kuwanyanyasa wachina kiasi hiki, kwanini sisi tukubali Watanzania wenzetu wanyanyaswe hadi wanaanza kufa kazini kutokana na unhealthy working conditions.

Ndugu yangu BAK haya mbona yanatendeka sana ukianzia huko kwa wahindi ndio usiombe bado migodini kuna mengi huko. Hebu njuze mandela nini hiyo mbona hapa umeniacha kwenye mataa.
 
Kweli hii dunia haina huruma...
Ukiwa kwao huna uhuru100%
Ukiwa home mambo ndo yale yale...
 
Kawaida sana kwa serikali inayoanguka kila mtu atatumia mabavu yake wanyonge ndio wahanga.
 
Angalia operesheni Tokomeza jinsi watu walivyoteswa, kutiwa vilema na wengine kuuwawa na mali za chungu nzima kuharibiwa. Haya yametokea pia kule Mtwara.
Aisee niliisoma ile report yote kwa kweli inaumiza sana kuona hayo yakitendeka kwenye kisiwa cha amani kama tz. Ile operation imefanya uovu mwingi sana sijui majeraha yale yatatibiwa na nini tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna Video iliwekwa hapa pia Ablessed lakini hapa mahali pameshaingia kirusi, hiyo video imeshaondolewa sijui hata sababu iliyofanya hiyo video iondolewe. Kisiwa cha amani hakipo tena.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/576422-sekunde-40-za-moja-ya-video-za-operesheni-tokomeza-new-post.html

Aisee niliisoma ile report yote kwa kweli inaumiza sana kuona hayo yakitendeka kwenye kisiwa cha amani kama tz. Ile operation imefanya uovu mwingi sana sijui majeraha yale yatatibiwa na nini tu.
 
BAK nimeona trailor long walk to freedom yaonyesha ni nzuri sana
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kaione ila ukweli andaa handkerchiefs za kutosha kuna baadhi ya scenes lazima utadondosha machozi. Niliiona juzi wengi walikuwa wanalia kama watoto katika baadhi ya scenes. Tafuta nafasi ukaione Ablessed.

BAK nimeona trailor long walk to freedom yaonyesha ni nzuri sana
 
Last edited by a moderator:
hapo ni raia kuungana na kufanya riots itawaokoa vinginevyo serikali itachukua hatua wakati wao wamekwisha kufa
 
Mandela ni sinema mpya iliyotoka hivi karibuni kuhusu maisha ya Mandela tangu alipoamua kujiingiza kwenye mambo ya siasa hadi anashinda katika uchaguzi wa Urais katika uchaguzi uliofanyika 1994 kama sikosei, title yake ni Long walk to freedom. Bila kupambana na mfumo dhalimu unaozidi kuota mizizi nchini udhalimu dhidi ya Watanzania walio wengi utazidi kuongezeka kwa kasi ya kutisha. Angalia operesheni Tokomeza jinsi watu walivyoteswa, kutiwa vilema na wengine kuuwawa na mali zao chungu nzima kuharibiwa. Haya yametokea pia kule Mtwara. Vyombo husika vya kuweza kupambana na hawa Wachina ili kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa vimeamua kuangalia pembeni na huku udhalimu ukizidi kupamba moto. Wanaweza kwenda pale wakakatiwa rushwa kidogo hao wanaondoka zao na udhalimu ukizidi kushamiri nchini. Watanzania kule China kamwe hawawezi kuwanyanyasa wachina kiasi hiki, kwanini sisi tukubali Watanzania wenzetu wanyanyaswe hadi wanaanza kufa kazini kutokana na unhealthy working conditions.

Inauma sana, cha msingi jambo hili sio la kunyamazia ni kuendelea kusema hata ikibidi kwa vyombo vya habari
 
Mimi kwangu ni karibu kabisa na hicho kiwanda mbona nilikuwa naonaga watu kibao wanakaa pale kwenye mti wa muarubaini wakigombea kazi kwamba wanalipa vizuri eti elfu 2000 ya chakula na elf 5 ya kazi? Nani kakata ule mti wa muarubaini?

Waulize vizuri watakupa story kamili
 
Back
Top Bottom