Recent content by mwakatobepeter5

  1. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa na Tundu Lissu pia ajiandae

    Aaaaaahaaaa ngoma nzito
  2. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Kama wanasahau kirahisi namna hii, hawafai kuongoza nchi yetu.

    Si umeona ngoma wanzocheza ccm na wewe mwenyewe unaicheza
  3. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Kama wanasahau kirahisi namna hii, hawafai kuongoza nchi yetu.

    Bado hujajua mchezo unaochezwa na Chadema. Unaitwa conflict them kwa manufaa yako
  4. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

    Aaaaahaaaa mbona idadi kubwa za picha nawaona wazungu na sio waarabu
  5. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kipigo nilichopata hivi karbuni ni kheli hata kununua Noah
  6. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Laana ya mzazi ni dhana halisi na je mzazi ambaye hajakulea hata kidogo anaweza kukulaani?

    Aaaaahaaaaa laana ipo, hata Okonkwo katika kitabu cha Things Fall Apart aliambiwa hasimuue nadhani Ikemufuna kwa sababu alikuwa anamuita Baba Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Bunge likiamua kufanya kazi kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu linayo nafasi kubwa ya kuisaidia Serikali

    Shida ya Bunge letu limekuwa wasemaji na sio wasimamizi na washauri wa serikali Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Shemeji/Wifi yenu kaondoka!

    Aaaaahaaaaa mapenzi hayalazimishwi. Shika zako tano Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Angela Kairuki: Zaidi ya walimu 5000 waingia mitini

    Una vyeti vya wanyama?[emoji12]
  10. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Je kuna aliyechaguliwa chuo kupitia NACTE mwaka hakuripoti chuo na mwaka amekubaliwa kuapply upya?

    Nilimuuliza mwanazuoni mmoja aliniambia hakuna shida yoyote. Labda shida ingekuwa umejidhihirisha kuwa unakwenda
  11. mwakatobepeter5

    JamiiForums Tanzania Je kuna aliyechaguliwa chuo kupitia NACTE mwaka hakuripoti chuo na mwaka amekubaliwa kuapply upya?

    Aaaaahaaaaa nadhani shida hamna, nadhani chuo ulichoomba hukusajiliwa. Kwa hiyo waweza omba upya.
Back
Top Bottom