GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,155
- 3,399
Limeibuka kundi kubwa sana la makamanda kuonesha nia zao za dhati za kutaka Benard Membe apeperushe bendera ya makamanda hapo 2020 katika uchaguzi mkuu.
Makamanda wanasahau kwamba kuna mwanasheria msomi(Lisu) ambaye alinusulika kifo akiwa katika harakati za kulikomboa taifa hili lilipotezwa na maharamia wakuu ambao ni CCM.
Sasa makamanda wamemsahau kabisa Lisu na mchango wake katika chama na sasa wote wameamisha mawazo yao kwa Benard Membe. Eti wanaamini Membe ndiye mtu pekee atakaye weza kumng'oa Magufuli madarakani.
Hii inajidhihilisha wazi kabisa kwamba makamanda huwa hawana maandalizi ya muda mrefu ya kumuandaa mgombea wa urais. Makamanda huwa wanaongozwa na nadharia ya " kubadili gia angani" haijalishi nani ataumia au nini kitatokea.
Mwaka 2015 makamanda walimpoteza kamanda mkuu ambaye alitumia juhudi zake binafsi na hata uwezo wake binafsi katika kukijenga na kukiimalisha chama. Waligeuza gia angani wakamkabizi nafasi ya kugombea urais ndugu Lowasa kitendo ambacho kilipelekea kamanda huyo (Dr. Slaa) kuachana na siasa. Cha Dr. Slaa aliposema ukweli makamanda walishirikiana kwa pamoja kumkashifu na ikafikia hatua wakamwita "mzee wa miogo"
Sasa 2020 ni zamu ya kamanda mwingine ( Lisu) kukashifiwa na makamanda wenzake, hii itatokea pale Lisu atakapopinga Membe kuwa mgombea wa urais kupitia chadema.
Makamanda kama kawaida yao watamshambulia sana Lisu na watasahau mchango wake wote kwenye chama. Kitendo hicho kitamfanya Lisu akae pembeni katika
Siasa kama alivyofanya Dr. Slaa.
Makamanda kipindi mnabadili gia angani wakumbukeni na watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya ujenzi wa chama. Achane tamaa ya fedha tu.