Recent content by mwakalindile

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

    Sio kweli, binafsi nime date na mabinti wengi tu ila wala hawakumbushii suala la kinga. Ila saiz nimeacha maana daa kupima kulinifanya niwe mpole Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Habari gani watu wa nguvu imani yangu kuwa wote wazima acha niende kwenye maada, jamani mwenzenu huku natafuta kazi yeyote ili mradi tu kuna malipo. Hadi nimeamua kuja jf, ujue hali ni mbaya suala la kuajiriwa serikalini nilishaliondoa kichwani mwangu yaani laiti nikipata hata kazi yeyote ile...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kufundisha kwa masomo ya Geography na Economics

    Habarini watu wangu, na imani ni wazima kabisa. Ndugu zangu nimekuja kuwasilisha ombi langu la kufundisha economics, geography na commerce. Nina bachelor degree ya uchumi, na geography. Matusi na comments ajabu sipendi kama hujisikii kuchangia unaweza ukapita tuu .
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaoa ili iweje ? Mimi na-date na KE sita kwa raha zangu.

    Una nyota ya ukimwi ww, tz ya viwanda tunasafari ndefu sana
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti Kapandisha Mapepo Gheto

    Kweli boss, yaani umefanya uzinz hlf baadae unakemea kutumia jina gani? Ebu mwogope mungu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha akaolewa lakini sasa anataka mazoea

    Soma vizuri topic
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha akaolewa lakini sasa anataka mazoea

    Kwa nn mkuu
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha akaolewa lakini sasa anataka mazoea

    Nashkr sana kwa kutoandika matusi maana sipendi kbs
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha akaolewa lakini sasa anataka mazoea

    Mkuu suala la ndoa miaka hii ni cmplex issue,haya yalikuwa ni maoni tu. Mwanaume kamili ni yule anayefanya maamuzi yaliyo bora. Good decisions unaweza ukapata kwa watu pia
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha akaolewa lakini sasa anataka mazoea

    Ndo point hiyo mkuu,nataka nimwambie direct
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha akaolewa lakini sasa anataka mazoea

    Daa mkuu umenitukana, ungezengumza kifupi tu ningeelewa. Mm binafsi mke watu sijawahi, sifikirii ku date nae hata siku moja. Huyu dada sipo nae karibu ila kaonesha interest ya kuwa karibu na mm
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha akaolewa lakini sasa anataka mazoea

    Habari gani wana jf. Imani yangu wote ni wazima na ni jambo la kumshukuru Mungu. Ndugu zangu niende kwenye maada moja kwa moja: Kuna binti mmoja nilikuwa na mahusiano nae takribani miaka 4 hivi, lengo letu lilikuwa kuishi kama mume na mke. Kiukweli huyu binti binafsi nilimpenda toka moyoni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Existing member

    Inategemeana mkuu, kama upo serious kutafuta mchumba, jf unaweza kupata mchumba. Suala la kukopi na kupest ni ujinga wa hali ya juu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Existing member

    Hakuna kilichoniondoa jf, nilikuwepo ila siku jisajiri kama member wa hii familia zaidi ya kusoma comments mbali mbali za watu. Swala la uwezo wangu wa kufikiri ni mkubwa tu ndo maana nipo jamii forum. Kati ya majukwaa ninayo appreciate, mojawapo ni jf. Ko ondoa shaka mkuu juu hilo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Existing member

    Habari gani ndugu zangu? nimerejea tena kwenye hii platform inayojenga, fundisha, kufurahisha n. k. Matumaini yangu mtanipokea tena kwenye hii familia japo nilipotea muda kidogo kutokana na sababu za hapa na pale. Rai yangu kwa wana member ni kuendeleza umoja, upendo na mshikamano na...
Back
Top Bottom