Natafuta nafasi ya kufundisha kwa masomo ya Geography na Economics

mwakalindile

Member
Mar 12, 2017
16
13
Habarini watu wangu, na imani ni wazima kabisa.

Ndugu zangu nimekuja kuwasilisha ombi langu la kufundisha economics, geography na commerce.

Nina bachelor degree ya uchumi, na geography.
Matusi na comments ajabu sipendi kama hujisikii kuchangia unaweza ukapita tuu .
 
Subiri watakujibu mkuu.
Alafu samahani kwa kwenda nje ya mada.
Hivi ni shule gani binafsi ya A level hapa dar yenye ghalama nafuu??
Iwe ya bweni ama day.
Naomba kujuzwa.
 
Subiri watakujibu mkuu.
Alafu samahani kwa kwenda nje ya mada.
Hivi ni shule gani binafsi ya A level hapa dar yenye ghalama nafuu??
Iwe ya bweni ama day.
Naomba kujuzwa.
Nenda alharamain pale karbu na Benjamin mkapa high school
 
Back
Top Bottom