Existing member

mwakalindile

Member
Mar 12, 2017
16
13
Habari gani ndugu zangu? nimerejea tena kwenye hii platform inayojenga, fundisha, kufurahisha n. k.
Matumaini yangu mtanipokea tena kwenye hii familia japo nilipotea muda kidogo kutokana na sababu za hapa na pale.
Rai yangu kwa wana member ni kuendeleza umoja, upendo na mshikamano na kusadiana kimawazo ili hii familia ya jamii forum izidi kukua zaidi na zaidi. Ahsanteni sana
 
Sawa Karibu tena lakini tunataka kujua kipi kilikuondoa na kipi kimekurudisha JF.

Ukijibu vzr hapo juu jibu na hili.
Je ? Unazani unauwezo mzr wa kufikilia kama jukwaa hili linavyotaka
 
Hakuna kilichoniondoa jf, nilikuwepo ila siku jisajiri kama member wa hii familia zaidi ya kusoma comments mbali mbali za watu.

Swala la uwezo wangu wa kufikiri ni mkubwa tu ndo maana nipo jamii forum. Kati ya majukwaa ninayo appreciate, mojawapo ni jf. Ko ondoa shaka mkuu juu hilo, nitatumia uwezo wangu kuhoji, kutoa ushauri na kuomba msaada
 
Yan sijaamini kama ni kweli salamu imechukua nafasi kubwa kuliko mada...shikamoooo bashite
 
Hakuna kilichoniondoa jf, nilikuwepo ila siku jisajiri kama member wa hii familia zaidi ya kusoma comments mbali mbali za watu.

Swala la uwezo wangu wa kufikiri ni mkubwa tu ndo maana nipo jamii forum. Kati ya majukwaa ninayo appreciate, mojawapo ni jf. Ko ondoa shaka mkuu juu hilo, nitatumia uwezo wangu kuhoji, kutoa ushauri na kuomba msaada
Sawa tunakucheki, Usije na habari za kutafuta wachumba humu au kukopi kopi tu hovyo hovyo
 
Inategemeana mkuu, kama upo serious kutafuta mchumba, jf unaweza kupata mchumba. Suala la kukopi na kupest ni ujinga wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom