Nyerere alikuwa na mapungufu yake ndiyo kama hayo uliyoyasema lakini kwa kiasi kikubwa alifanikiwa katika mambo mengine mengi na akang'atuka. Shida kubwa ya taifa letu, kama ilivyo Kwa mataifa mengine mengi Afrika, ni mfumo wa umasikinishaji jamii. Uongozi hauko radhi kuachia wananchi wake...
Kwani huyo bidada ye hana wazazi? Kwa nini kesi iende kwa wazazi wa mwanaume pekee.
Kama bidada ameamua kuacha ndoa kwa sababu hataki kutoa tigo sasa si imeshaisha hiyo!?
Usifikirie sana kuwa mzazi wa huyo bodaboda ila fikiria wewe ndiyo mzazi wa huyo binti.
Utakubali mwanao akaliwe tigo?
Nahitaji mtu wa kuingia ubia katika biashara nzuri sana inayohusu bidhaa maridadi kutoka Marekani. Mtaji anaotakiwa kuwa nao "m-bia" huyu ni kama 800,000/- (au zaidi) na awe tayari kujifunza, mwenye mawazo chanya na anaweza kushindana na vikwazo.
Biashara hii itaweza kukuzalishia 3,000,000/-...
Naona katika AFYA ya mwili umegusia zaidi mazoezi na kuuweka mwili fit. Pia wadau msisahau suala la chakula bora hasa hasa protein na aina kadhaa za vitamins. Ndio maana kienyeji mnasikia ukitumia supu ya pweza, karanga etc inasaidia kufanya uwe vizuri kitandani.
Chakula bora na mzunguko mzuri...
Ndugu zanguni, ili kufanikisha furaha ya chumbani ni lazima chakula bora kiwe kinahusika.
Kuzingatia matatizo ya lishe tuliyonayo hasahasa kutokana na vyakula vyetu kuwa na upungufu mkubwa wa lishe nimeamua kuwasambazia virutubisho (supplements) zenye manufaa kibao yahusuyo ndani na nje ya...
Chakula bora pia ni kitu muhimu. Hasa hasa protein katika chakula. Kwa hiyo sio mbaya kutumia nutritional supplements kwa sababu vyakula vyetu siku hizi hasa mjini havina virutubisho sahihi. Kuna virutubisho vizuri sana kutokana na mizizi ya mmea wa Maca ambao toka zama za kale unajulikana...
Mbona umeishia hapo tu? labda upeo mdogo, au una shortsightedness flani inakusumbua? unachosema kinaweza kikawa kweli lakini stori kama hizo ziko nyingi zinazohusu waTz wenzetu ngozi nyeusi ambao
1. wangeweza na wao kuuwa tembo halaf wapige hela, wawekeze kwenye usafiri au kuuza sembe na maji ya...
naona utakuwa umem-boa tayari. yaani kazini mko wote, kwenda- kurudi, wote. hunywi pombe so huna hata washkaji nyie mmegandana tu. hata hakumisi hata mara moja! you need to take a bird's view eye at your "game" man. you might have changed to a boring-lazy-a**-boy. u r not interesting.
Wanajamii, kuna mtu anafahamu wapi hapa Dar naweza kununua coal au makaa ya mawe. ningependa kujua bei na kiasi cha mzigo wa kuanzia ambao unafika sokoni.
nahitaji coal kwa ajili ya chanzo cha moto.
If you all did not know, it is one quality of good leadership character. As a leader he is not supposed to be know more than all others, he just has to know all those who know the important things and to employ them to his advantage.
Yaani hadesi ila anatumia watu wake kupata taarifa muhimu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.