Mke wangu wa NDOA ananilazimisha nitoke nje ya Ndoa

pole rafiki yangu na ndugu yangu
Kwanza nikuulize huyo mkeo ana umri gani? halafu kama wewe huna wasiwasi na lolote hebu tulia angalia kiwanja inaweza kuwa yeye amesikia kuwa wewe unaruka viwanja sasa na yeye anataka kujuwa pia kama kweli,
Mimi niliwahi kwenda mpaka miezi miwili kwani mwezi wa mwanzo alikataa nami nikadindisha nikasema siombi ka kukosa tukose sote baada ya miezi miwili nilishasahau yeye ndio aliomba mchezo nami nilikuwa mgumu kutowa kumbe yeye alikuwa anahesabu siku zote zile
Kaka tulia wala usiwe na wasiwasi ikiwa mkeo ni umri wa 45 na kwendea juu basi ni maumbile yake yanabadilika usiwe na hasira
 
He?umeoa?kwa staili hii ndoa zitavunjwa kila assubuhi we mwomba ushauri akili zako +.....

Kuna mazingira ndoa ikifika hakuna jinsi.Wewe unadhani kama mtu ana tatizo kubwa kama hili halafu hataki kuzungumza unamlazimishaje aendelee?
 
Pole sana,Jarubu kuvuta subra na angalia mwenendo wake kwa kipindi hiki,tafuta mda mzuri mtoke dinner au sehemu yoyote tulivu muonge inawezekana kuna jambo linamkera,wanasema watu dogo maliza kubwa peleka kwa wazee,na hilo nadhani
ukiwa kama mwamme unaweza kulimaliza na kama unampenda kweli basi hutokosa mbinu...
 
jf ndio mpango mzima unamwaga mambo hapa ili kujielemisha na kuelemisha na wengine.mficha ungonjwa mauti itamuumbua.

sawa jf ndo mpango mzima lakini hujaoana na jf kakangu,talk to ur wife!hivi ulivo muwazi kwetu jifunue hivyo kwa mkeo,mwonyeshe unaumia kiasi gani,mweleze anavokuweka kwenye wakati mgumu,mwambi jinsi anavyoprove kuwa hawajibiki kwenye ndoa yake,thibitisha vile ndoa yenu inayokosa amani,dhihirisha kwake jinsi ulivyo tayari kumsaidia kama ana tatizo,onyesha ushirikiano wako katika kulitatua hili!jf tunakupa mawazo tu lakini hiyo ni ndoa yako na wewe na yeye ndiye mnaamua ndoa yenu muiishi vipi!kumbuka si wote kwenye jf wameoa/kuolewa lakini hata tuliooa nakuolewa bado hakutupi naasi ya kujua hasa kwanini ndoa yenu imefika hapo!wala hatujui hasa unaumia kiasi gani wala kwa kweli hatutakupa suluhhisho 100%maana kila ushauri humu unabase mtu anayatazama vipi maisha yake na mahusiano yake,ndo mana kila mtu anashauri kwa mtazamo wake!SO FACE UR WIFE ZUNGUMZA NAE KUOKOA NDOA YENU!
unaweza ukaamini suluhisho ni kutafuta mwanamke mwingine lakini kumbe ukawa unaongeza matatizo tu,since hujui chanzo cha huyo mke kukunyima unyumba karibu mwezi though mimi simuungi mkono KABISAAAAAAAAAAAA lakini kila mwanadamu ana utashi wake katika kuyatatua matatizo
 
fanya uchunguzi juu yake bhana,,,,,au anatumia uzazi gani wa mpango? mana nackia nyingine zinapunguza ham!
 
The oil skin of the house is not for rubbing into the skin of strangers,she is your wife and you know her very well in and out so talk to her slowly to know what the problem is,remember a small house will spoil your family and your marriage.
 
Bi dada kama hajaamua kiroho safi atampa kwa shingo upande ilimradi tu amridhishe ila utamu utakosekana bila ya mashirikiano

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
jf ndio mpango mzima unamwaga mambo hapa ili kujielemisha na kuelemisha na wengine.mficha ungonjwa mauti itamuumbua.

Well...but sisi hatujui chanzo cha tatizo ni nini tupo tu kwa ajili ya kushauri....wakikaa na kuliweka wazi ufumbuzi utapatikana

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Mi njomba nakwambia, nkeo nkeo tu, mwananke mwingine photocopy. Mlee nkeo njomba, ntunze nkeo bwana wewe. Washauri wako wtakupoteza, furaha yao wewe kuachana na nkeo nao waokoteze hapo. Anadengua ili umbembeleze, chi wajua mabwana huko nje wananchifia wakati bwana wewe hunchifii? Nchifie na wewe bhaaaaaa! Chindimba huandaliwa.
 
naona utakuwa umem-boa tayari. yaani kazini mko wote, kwenda- kurudi, wote. hunywi pombe so huna hata washkaji nyie mmegandana tu. hata hakumisi hata mara moja! you need to take a bird's view eye at your "game" man. you might have changed to a boring-lazy-a**-boy. u r not interesting.
 
Ama kweli dunia duara wengine wanatamani hayo na wengine wanakataa, duh! Pole sana ila anahatari kubwa maana siku atakayo hitaji na wewe utakua umeshapata pa kupumulia hapo sasa ! Mm simoooooooo
 
Wakuu nashukuru sana kwa ushauri nilioupata hapa michongo ni mingi ila nimeifanyia kazi na mabadiliko nimeyaona na mzg sasa napiga kama kawa.
 
Hapa kuna tatizo kubwa sana. Let’s be honest, hakuanza hii tabia leo wala jana. Inawezekana alianza zamani ila recently it has gotten worse. Inaonekana mama ana hasira sana sasa hatujui ni hasira na wewe or kuna kitu kina mletea hasira. Mimi kama mwanamke siwezi mwambia mwanaume wangu akalale nje. Mama amekuchoka to the point ukimshikika tu hasira, ukimpa zawadi she is so ungrateful. Kaa chini jiulize ulimkosea nini siku za nyumba ( it might be even 5 yrs ago). Wanawake wa Kiafrika tuna tabia ya kuweka vitu moyono for a long time(Suppressing issues instead of facing them).Ongea nae omba msamaha tena. Mpeleke Zanzibar for a weekend gataway. Kama siku zote uko perfect and this has nothing to do with you then, anamatatizo yake. Mwambie unataka ongea nae, mpeleke as I suggested Zanziber or even kunduchi or somewhere close but romantic. Mwelezi kwamba umechoka na unampa mda (may be another month) akae chini and decide if she wants to be married or not. Binadamu tunamatatizo sana!
 
hahahaahaha
Imenikumbusha mbali sana hii mada..mimi ilinitokea na zaidi mwenzangu kila nilikuomba ananinyima na ananiambia kwani wengine huko nje huwaoni?,mi sitaki na sikupi,Nilivumilia sana na siku moja nilijikuta natoa machozi kwani niliona uzalendo unanishinda...
Nilipo pata inshu ya nje,hakuna rangi aliacha kuona,siku alipojua...nilimwambia simtaki tena maana sioni maana ya kuishi nae,heshima ilirudi na mpaka sasa anajua akizingua tu,kama kawa..AKILI KICHWANI MWAKO.Pombe umeacha,Kazi mnafanya pamoja,Hapo ni full dharau...POLE SANA...
 
mi wanawake hapa ndo uwA napochokea, jamaa kaacha pombe, kaacha marafiki, kajitutumua amnunulie mama watoto kiwalo bado mwanamke anabana...

sababu ya 90 hii nimepata kwanini bado nipo nipo sana, sioi leo wala mtondogoo
 
Back
Top Bottom