mwakabhuta
Member
- Oct 4, 2010
- 17
- 9
hebu mwanaume ambaye hajawahi kutamani beki3 hata siku moja abonyeze LIKE kwa hii comment kabla sijaendelea
hapo kwenye RED paliwahi kunicost big time, sitarudia tena. either utasuka kwa hela yako au kata nywele.
kuna binti nilikuwa namfanyia hivyo, cha ajabu, leo ataniambia anaenda kusuka, sh. 10,000 atakaa na nywele siku 3 anafumua, wakati mimi mtoaji wa hela nikisuka nakaa nazo wiki 2. nilijaribu kuongea naye ilishindikana, nikaamua kumwongeza 10,000 kwenye mshahara wake kwa ajili ya salon. baada ya miezi mitatu akarudi kanyoa
hilo ni pepo tu, kwa jina la yesu lishindweeeeeeeeeeeeeeee.... na tamaa katika mind set yako............yaan unamtamani mschan wa kazi? ww c babab mzuri wa familia aisee.....!
Hujastukia tu kuwa huyo ni mumeo na atakae tupiwa virago ni wewe?
Si ndo Nashanga why wananishambulia ilhal mie nimeamua kuwa wazisijajua mnashambulia Mkusa kwanini,amehisi kuna tatizo na ameonyesha nia ya kulitatua ,wengi huwa tunajikuta kwenye vishawishi vya aina hii na bado hatusemi tunabaki kimya mpaka hali inakuwa out of hand . Mkusa hebu ongea na wife tumia akili ya kiume lakini usimwambie kama unamtamani huyo binti tengeneza zengwe lolote huyo msichana aondoke hapo home!
Speaker , Mie Mkristo, ila Biblia imetuasa kukimbia Vishawishi,Unafunga na kuomba,STILL unataka umfanyie ZENGWE ili arudi kwao?
Nielewavyo mimi,hilo ZENGWE ni kama kumsingizia kosa hivi.
Kwa IMANI yako hiyo inayo kufanya UFUNGE NA KUSALI huoni utatenda
dhambi kwa kumuumiza mtoto wa watu utakapo MPA kosa ambalo HAJAFANYA?
We dini gani kwanza???
sasa jaman mlitaka mie ndo nikimbie kwangu?Corinthians 10:13. It says, "But remember that the temptations that come into your life are no different from what others experience. And God is faithful. He will keep the temptation from becoming so strong that you can't stand up against it. When you are tempted, he will show you a way out so that you will not give in to it
Nimekusoma Mkuu, ahsante kwa input yako, wengi wamenishambulia badala ya kunisaidiaMkuu wala ucipate shida ya kufikiria zengwe la kutengeneza.. Asubuhi ukishavaa kabla ya kwenda kazini muume sikio tu wife hapo.. Muambie beki tatu anapendeza na kutia hamu.. Kisha nenda zako kazini.. Ninakuhakikishia utakaporudi jioni hutommkuta ndani huyo beki tatu..! Chezea wife wewe anaelinda huzband wake..
I have had nice an beautiful House Girls in my House, na nimekuwa very fair Kwao; I just imagine that hawakupata tu opportunity Ambayo Mimi nimepata, hii Mungu Kanipa na Si mbaya tukishare nao.
Kwanza nawalipa hela Ambayo najua wanaweza kusave, nina mke na mtoto mmoja, Si Nyumba complex, namlipa Dada 70,000 hii najua anasaidia Kwao na kusave, gharama nyingine Kama saloon, etc anamwambia mke wangu anapata.
Jambo lingine Sasa ambalo Ni kujibu hoja yako, Jamani kuweni na adabu; why would you think of her Kimapenzi, assume tu Ni Kama mdogo wako na umepewa dhamana ya kumlea, it is more into a mindset than udhaifu.
Kama anafanya Kazi vizuri na katulia, do the following;
- assume Ni mdogo wako unaishi naye.
- assume Huyu mdogo wako Hana maisha bila Wewe kumlea na kumsaidia afanikiwe.
- assume Naye kuna Siku anataka aolewe awe na Nyumba Yake Aishi kwa Amani.
- you have to know that when involved into sex, there are valid feelings of love created, utamsaidiaje?
If you think well of the above you will be fine,
House gals Ni wadogo zetu, Hemu tutafautishe Akili zetu na za Punda Jamani.
Hivi ni nini kinafanya Beki 3 awe 'haramu'?:A S 39:Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao....
Kwa nn unamsemea baba jack nafsi yake?mpango huo wala hana kabisa!wewe wala usijesemeshe hapa jf,kamwambie mkeo ukweli kwamba unamtamani bk3 wenu.
Nimekusoma Mkuu, ahsante kwa input yako, wengi wamenishambulia badala ya kunisaidia