Recent content by Mwajavi

  1. M

    Lowassa: Sikuhitajika na Wakubwa!

    Waliokuwa wanamsifia lowassa na kujitapa kuwa "hakatwi mtu hapa" mbona siwaoni tena?
  2. M

    Kwanini Serikali inawajengea nyumba walimu?

    sijui kala maharage ya wapi huyu....
  3. M

    UDOM wapanga kugoma

    migomo iliyowahi kutikisa udom ni ile ya mwaka 2010/2011 ambapo wanachuo ( CoED) waliteka magar 5 ya msafara wa pinda na kutoa upepo matair ya gar la dc. tangu pale hamna mgomo tena udom
  4. M

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    leta aya hizo kama zipo na sio kutoa hukumu
  5. M

    OCS afumaniwa na mwanafunzi wa Kidato cha Nne

    Bila shaka ni mkuu wa kaya aliyetamka hivyo
  6. M

    Wasukuma, Wahaya, Wachaga, Wasipewe nchi: Mwalimu Nyerere aliwaza nini?

    Kweli mkuu bila kusahau kabila la wakinga
  7. M

    Napinga ujengaji flyover Dar

    Samahan ndugu, uliishia darasa la ngapi vile? uandikaj wako mh!
  8. M

    Nimesikitishwa na Rais Kikwete

    Critical thinkers hav best reply like this of you Idawa, I liked it!
  9. M

    Waziri mkuu azira kuzindua kituo cha afya

    Nami nasema apigwe tu, maana tumechoka
  10. M

    Salome Mwambu achafua hali ya hewa mbele ya katibu mkuu wa CCM

    Hata mie nimeshangaa kusikia jina hili for the first time
  11. M

    Ndugai anusurika kupigwa na wananchi

    Wana kongwa msiwe wapole jibuni mapigo
  12. M

    Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Naye kapoteza, aropoke tena tuone kwisha habar yake
  13. M

    Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Ndo yeye katika mahubir yake aligusia suala la mauaji ya sheikh Roggo (mombasa) pamoja na suala la sensa 2012
  14. M

    Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

    Daaa! kwa hali hii nimgejiuzulu kama ningekuwa rais
Back
Top Bottom