Hapa si kufanya mapenzi bali ni ubakaji.
Kutumia mamlaka yake kujipatia penzi.
Kuzini na mtoto{if she is under 18yrs}
kama sheria itamtia hatiani adhabu ni kifungo miaka 30 jela.
Huyo Mwanafunzi ni kiherehere chake mwenyewe....sio maneno yangu haya ni ya Mkulu fulani hivi
Bila shaka ni mkuu wa kaya aliyetamka hivyo
Muziki bomba huo! Panya yupi akamfunge paka kengele?Mkuu wa kituo cha polisi cha Nyamboge kata ya Katoma wilayani Geita akutwa jana chumbani akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4.
Wananchi walimteka na kumpeleka kituo cha polisi,mkuu huyo wa kituo cha polisi anadaiwa kwamba siku 10 zilizopita alimuweka mahabusu mwanafunzi huyo kumtisha akubali kufanya nae mapenzi.
Tayari mkuu wa polisi wa wilaya ya Geita amekwenda jana kwenye eneo la tukio.
Endelea kufuatilia hapa JF.
Uhalisia uko wapi? Africa kusini kuua bila kukusudia ni miaka 15 leo mtu afungwe miaka 30 kisa kalala na mmama wa kidato cha nne????
hivi hawa poliCCM ni lini wataacha kuwabaka watoto wetu na kuwaambukiza mimba na UKIMWI? mitutusa mingine bhana!
Hapa si kufanya mapenzi bali ni ubakaji.
Kutumia mamlaka yake kujipatia penzi.
Kuzini na mtoto{if she is under 18yrs}
kama sheria itamtia hatiani adhabu ni kifungo miaka 30 jela.
huyo wange mla kiboga kwanza nyambaf.....maana unaweza skiaa wakamuhamisha mkoa shnz typ
Wananchi wale nao wapole sana kudadadeki!! Kwa nini hawajamkarabati? Walipaswa kumtembeza mtaani akiwa uchi kabisa!
Mkuu wa kituo cha polisi cha Nyamboge kata ya Katoma wilayani Geita akutwa jana chumbani akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4.
Wananchi walimteka na kumpeleka kituo cha polisi,mkuu huyo wa kituo cha polisi anadaiwa kwamba siku 10 zilizopita alimuweka mahabusu mwanafunzi huyo kumtisha akubali kufanya nae mapenzi.
Tayari mkuu wa polisi wa wilaya ya Geita amekwenda jana kwenye eneo la tukio.
Endelea kufuatilia hapa JF.
nipo hapa dear