Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

Wadau me nimemsikiliza japo ameongea mambo mengine ya kujirudia ila nimeipenda hii
'miaka 100 Toka sasa Tanzania itakua nchi iliyoendelea zaid ya zile zilizoendelea'.
Nilivyofikiria mimi ni kwamba Tanzania itaendelea zaid ya US,UK,CANADA(Mfano wa nchi zilizoendele)
 
Ni kweli uyasemayo,sababu hana uzalendo kabisa na ninadhani anafikiri usipokuwa CCM na ukawa na mawazo tofauti na CCM basi si RAIA mwema tena na wala si Mwananchi wake nadhani angekuwa na uwezo angewafukuza watanzania wote wanaosupport upinzani.Labda huwa namuelewa au ninamuhukumu vibaya, sijui.

lazima awe hivo anajua fika na kwa dhati ya moyo kile kilichotokea ktk uchaguzi 2010....msishangae sana..hizo ndo tabia za mtu aliyepata "USHINDI" wa mbeleko.......haya ndio maajabu ya Afrika....ndio maana baada ya miaka 50 ya muungano tunasheherekea na kujivunia uchumi wa BODABODA (Bodaboda economy), bajaji, baiskeli na mikokoteni.....Katika hayo ni moja tunalofanya wenyewe ni kutengeneza mikokoteni tu basi

huwezi kuwa na fikra za wizi wa kura alafu tukategemea kuna la maana utalifanyia taifa kama kiongozi.....nafasi ya fikra za namna hii ni lazima ifikie mwisho ili taifa liweze kusonga mbele.

badala ya kusheherekea miaka 50 muungano kwa kuzindua safari ya wanasayansi wetu na wahandisi kutengeneza japo baiskeli yetu kama Tanzania, tunahutubia taifa kuwaeleza watanzania habari za kughushi sahihi, mipasho ya taarabu za CCM idumu, na mazonge ya ukosefu wa fikra pevu na endelevu kwa ustawi wa nchi na watu wake..

nasikia tumeandaa maandamano ya ya bodaboda na baiskeli leo pale uwanja wa taifa,,huu ni uthibitisho mwingine wa aina ya maisha ambayo viongozi wetu wangependa watanzania waendelee kuishi.....furaha ya watawala wetu ni kuona tulio wengi wengi tunaishi kwa kutegemea uchumi wa bodaboda, bajaji, baiskeli na mikokoteni..huo ndio ukomo wa maino yao kwa taifa letu.

watambue wakati wowote kuanzia sasa kama wananchi tutatoa adhabu kali kwa watawala hawa..
 
bodaboda economy ndo naiona leo hii
 
Halo nilikuwa kwa mchungaji mmoja, alipo anza jk alizima redio mara moja na hii ilinishangaza sana
 
Pole kaka ,umeongea kwa uchungu wa Taifa lako.Imenishangaza zaidi pale anaposema baada ya miaka 100 ndiyo Tanzania itaendelea,hivi kwa nini iswe leo au kesho?Nikajiuliza tutaendelea baada ya Raslimali,wanyama na maliasili zetu kuvunwa na wazungu na wachache (Viongozi) kuneemeka na hiyo na wanauhakika watukuu zao ndiyo watakaokuwa owners wa makampuni na vitukuu vyetu vitakuwa vitumwa kwenye makampuni yao.

At the same time vijana wengi watakuwa wameteketea kwenye madawa ya kulevya na hivyo kufanya watoto wetu kukosa maisha mazuri kuishia kunyongwa,kufa au kudhoofika kiafya wakati tabaka kuu la viongozi wakineemeka kwa kuuza madawa ya kulevya.

I wish vijana waelimishwe kuwa madawa haya wanayoyatumia si faida kwao bali faida kwa vizazi vya walionacho leo.
 
Pumba tu hiyo humereta kikwete Jembe wenye fanyeni mnatakacho mkihone cha moto -------- nyie ,msione selika mbili hinaherea ,himehundwaaaaaaaaaaaaa .Chama cha mapinduzi kidumu
 
Umeandika nini hapa? Hizi simu za makamba zinapoteza ladha ya jamii forum,umeandika as if you are a class one pupil.take your time before yapping junk.
 
Wengine tulikwa kwenye maonesho ya syria mwanza.hizo pumba zake kama huna nguruwe utazipeleka wapi !!
 
mi nlikua bar moja nakunywa kinywaji baada ya hotuba kuanza watu wakasema toa hiyo,sisi wachache tuliokua tunapenda kusikiliza hotuba ya rais wetu tukabaki na mshangao,kumbe hata wasukuma nao wamemchoka rais wetu.
 
Pumba tu hiyo humereta kikwete Jembe wenye fanyeni mnatakacho mkihone cha moto -------- nyie ,msione selika mbili hinaherea ,himehundwaaaaaaaaaaaaa .Chama cha mapinduzi kidumu

duh, hii aibu,nini maana ya humereta?mnatakacho?mkihone,selika,,?hinaherea na himehundwaaaaa
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.

mbona umechelewa sana kulijua hili mjomba ?
 
Pumba tu hiyo humereta kikwete Jembe wenye fanyeni mnatakacho mkihone cha moto -------- nyie ,msione selika mbili hinaherea ,himehundwaaaaaaaaaaaaa .Chama cha mapinduzi kidumu

Ha! Ha! Ha! Haaaa !!! Chalinze oyeee ! Umetisha kiongozi !
 
Back
Top Bottom