Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

Mkuu ndo maana nikakwambia husomi aya ukaifahamu na tafsiri yake kama hufahamu muda mwengine basi uliza kwa wanaojua watakufahamisha aya hiyo ulotoa inaanza mbali kuzungumzia waarabu enzi hizo walivyokua hawawapendi watoto wa kike , halafu ukiendelea mbele quraan inakataza kuwafukia watoto wa kike kwasababu mungu anasema sisi ndo tunaowapa rizki na si nyinyi. Soma aya uzifahamu hapa ukija upande tutakuumiza
Hapana kabisa, hapa Allah anaonyesha jinsi gani yeye binafsi hapendi Wasichana.
 
Mkuu mbona unapenda kuuliza maswali tuu wakati mimi swali langu hata moja hujajibu unakimbia.

nikirudi katika aya inasema mimi ni alfa na omega asema bwana sema bwana asema bwana wapi usipofahamu ww.

Halafu unasema mungu kaongea na mitume wakati mungu mwenyewe ndo yesu kaongea na adam wapi niletee aya katika bibilia inasema kaongea na hao mitume usije kunambia mungu ndo kaongea najua kama kuna mungu lakini sio yesu.

swali langu wapi yesu mwenyewe kasema mimi mungu wakati yy anasema mimi mtu

Nilikujibu, lakini hukupemda jibu langu, maana alikukufuraisha.

YESU NDIE BWANA WA MABWANA.

In kitabu cha Ufunuo 19:16 Jesus is given the full title “KING OF KINGS AND LORD OF LORDS” (Revelation 17:14 switches it: “Lord of lords and King of kings”). The title indicates someone who has the power to exercise absolute dominion over all His realm. In the case of the Lord Jesus, the realm is all of creation. In John’s vision, Jesus is returning to judge the world and establish His earthly kingdom, as He predicted in Mark 13:26.

Now you know, Jesus is the Lord.

Mkuu naona tangu jana una claim yesu ni mungu. Jee yesu mungu ama katumwa maana aya karibu ya zote zinathibitisha kwamba yesu ametumwa
YESU ANAKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA YEYE NI MUNGU.

Ndiguzanguni, leo nawajibu Waislam kwa Mara nyingine tena kuwa, YESU NI MUNGU. Hii aya hapa chini katika kitabu cha Ufunuo ni ya Yesu mwenyewee akiongea na Yohana. Yesu anakiri kuwa yeye ni Mungu. Hebu tuisome kwanza:

Ufunuo 21: 6 Yesu Akaniambia, "Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Yeye aonaye kiu nitampa kunywa kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima bila gharama yo yote. 7 Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.

Mara nyingi kumekuwa na mtanashi kutoka Wasialm kuwa eti Yesu hakuwai sema yeye ni Mungu. Mara zote wamekuwa wakidai kuwa, tuwaletee aya ambayo Yesu anasema yeye ni Mungu. Ingawa, Biblia imewajibu kuwa Yesu ni Mungu kutoka sehemu mbalimbali, lakini wamekuwa wabishi na kung'ang'ania waletewe aya, ili wabatizwe na kuwa Wakristo. Kwasababu Biblia imekamilika na haina shaka ndani yake. Leo Biblia inawajibu tena kuwa Yesu ni Mungu.

Aya ya 7 inasema kuwa, NUKUU: [Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.]

Yesu amekiri kuwa mtu yeyote yule atakaye urithi ufalme wake, basi ifahamike kuwa. Moja: Yesu atakuwa Mungu wake
Pili: Wewe utakuwa Mwana wake.

Huu ni ushaidi mwingine kuwa Yesu ni Mungu. Waislam, ningependa mfahamu kuwa, Yesu ni Mungu kama ilivyo andikwa kwenye Ufunuo Sura 21 na aya ya 7.

Je, Upo tayari kumfuata Yesu ambaye ni Mungu? Kumbukeni kuwa, Yesu ndie Njia pekee ya kwenda Mbinguni. Dini haita wapeleka popote pale, lakini Yesu Kristo aliye hai ambaye sasa tunasoma kukiri kwake kuwa yeye ni Mungu, ndie njia pekee ya Uzima wa Milele.

Mpokee Yesu leo ili upate uzima wa milele.
 
Mkuu mbona unapenda kuuliza maswali tuu wakati mimi swali langu hata moja hujajibu unakimbia.

nikirudi katika aya inasema mimi ni alfa na omega asema bwana sema bwana asema bwana wapi usipofahamu ww.

Halafu unasema mungu kaongea na mitume wakati mungu mwenyewe ndo yesu kaongea na adam wapi niletee aya katika bibilia inasema kaongea na hao mitume usije kunambia mungu ndo kaongea najua kama kuna mungu lakini sio yesu.

swali langu wapi yesu mwenyewe kasema mimi mungu wakati yy anasema mimi mtu

[h=3]YESU ANAKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA YEYE NI MUNGU.[/h]Ndiguzanguni, leo nawajibu Waislam kwa Mara nyingine tena kuwa, YESU NI MUNGU. Hii aya hapa chini katika kitabu cha Ufunuo ni ya Yesu mwenyewee akiongea na Yohana. Yesu anakiri kuwa yeye ni Mungu. Hebu tuisome kwanza:

Ufunuo 21: 6 Yesu Akaniambia, “Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Yeye aonaye kiu nitampa kunywa kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima bila gharama yo yote. 7 Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.

Mara nyingi kumekuwa na mtanashi kutoka Wasialm kuwa eti Yesu hakuwai sema yeye ni Mungu. Mara zote wamekuwa wakidai kuwa, tuwaletee aya ambayo Yesu anasema yeye ni Mungu. Ingawa, Biblia imewajibu kuwa Yesu ni Mungu kutoka sehemu mbalimbali, lakini wamekuwa wabishi na kung'ang'ania waletewe aya, ili wabatizwe na kuwa Wakristo. Kwasababu Biblia imekamilika na haina shaka ndani yake. Leo Biblia inawajibu tena kuwa Yesu ni Mungu.

Aya ya 7 inasema kuwa, NUKUU: [Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.]

Yesu amekiri kuwa mtu yeyote yule atakaye urithi ufalme wake, basi ifahamike kuwa. Moja: Yesu atakuwa Mungu wake
Pili: Wewe utakuwa Mwana wake.

Huu ni ushaidi mwingine kuwa Yesu ni Mungu. Waislam, ningependa mfahamu kuwa, Yesu ni Mungu kama ilivyo andikwa kwenye Ufunuo Sura 21 na aya ya 7.

Je, Upo tayari kumfuata Yesu ambaye ni Mungu? Kumbukeni kuwa, Yesu ndie Njia pekee ya kwenda Mbinguni. Dini haita wapeleka popote pale, lakini Yesu Kristo aliye hai ambaye sasa tunasoma kukiri kwake kuwa yeye ni Mungu, ndie njia pekee ya Uzima wa Milele.

Mpokee Yesu leo ili upate uzima wa milele.
 
Nilikujibu, lakini hukupemda jibu langu, maana alikukufuraisha.

YESU NDIE BWANA WA MABWANA.

In kitabu cha Ufunuo 19:16 Jesus is given the full title “KING OF KINGS AND LORD OF LORDS” (Revelation 17:14 switches it: “Lord of lords and King of kings”). The title indicates someone who has the power to exercise absolute dominion over all His realm. In the case of the Lord Jesus, the realm is all of creation. In John’s vision, Jesus is returning to judge the world and establish His earthly kingdom, as He predicted in Mark 13:26.

Now you know, Jesus is the Lord.

Yesu jina lake ni EMANUELI.
sasa Toka lini Emanueli akawa King of the Kings?

Nipe andiko Yesu kasema MWENYEWE KUWA MIMI NI MUNGU NIABUDUNI.
Au Yesu kasema MIMI NI MFALME WA WAFALME.?
Ukinionyesha Na Mimi nakula Nyamafu km wewe kuanzia kesho.
 
ahsante kwa kukubali kuwa hayo sio maneno ya yesu , yeye hakuwa mgiriki bali myahudi kwa kabila na lugha hivyo huyu hakujua alfa wala beta wala gamma ni maneno yalowekwa na huko Niancea katika mpango mzima wa kutungua biblia mpya.
Kama Injil sio ya Yesu, basi Allah wako ni Mungo na hafai hata kumsogelea.

Jibu swali bana.

Nionyeshe ilipo Injil ya Yesu ambayo Allah aliiteremsha kabla ya Quran?
 
Ishmael,

nadhani katika maswala ya dini inabidi tufundishane maana kusema kweli mimi nimesoma Ufunuo na sikuelewa. Huyu anayesema haya ni nani kati ya wanafunzi wake? na aliposema aliona Jarusalem ikishuka chini kutoka mbinguni, kisha akasikia sauti kubwa kutoka kiti cha enzi alikuwa na maana gani?..Na hupo mji unaozungumzwa humu ni mji gani? naomba darasa tu.
 
Ishmael,

nadhani katika maswala ya dini inabidi tufundishane maana kusema kweli mimi nimesoma Ufunuo na sikuelewa. Huyu anayesema haya ni nani kati ya wanafunzi wake? na aliposema aliona Jarusalem ikishuka chini kutoka mbinguni, kisha akasikia sauti kubwa kutoka kiti cha enzi alikuwa na maana gani?.. naomba darasa tu.

Nategemea unazungumzia Ufunuo 21 aya ya 21.

1. Katika aya ya 2, ya Ufunuo huohuo utaona kuwa Msemaji wa maneno hayo ni Yohana.
2. Biblia haisemi ni sauti ya nani inasema kutoka katika throne. Most of us, Bible scholars tunasema labda ni Malaika since aliye kuwa anaongea mara nyingi na Yohana alikuwa Malaika, na wengine wanasema labda ni Mungu Baba kwasababu sauti ilitoka katika Throne, na wengine wanasema labda ni Yesu ambaye amekaa katika kiti cha enzi.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa njia ya maji taka haifanyi kazi tena....???
Nyakageni njia yake ya majitaka unaweza kupitisha bomba ya inch 12 bila wsws wowote. Na wala Hauhitaji Vaseline!
Teh teh teh.
Hata ukiona miondoko yake km anakuja hivi kumbe anakwenda.
Mtepesho wa nguvu.
Huyu jamaa alikuwa ni mboga kule Keko, wakati ule wa msako wa wauza pombe haramu za kienyeji.

Wanyapara wamepakua na kutafuna sana hii mboga.!
 
Last edited by a moderator:
Nategemea unazungumzia Ufunuo 21 aya ya 21.

1. Katika aya ya 2, ya Ufunuo huohuo utaona kuwa Msemaji wa maneno hayo ni Yohana.
2. Biblia haisemi ni sauti ya nani inasema kutoka katika throne. Most of us, Bible scholars tunasema labda ni Malaika since aliye kuwa anaongea mara nyingi na Yohana alikuwa Malaika, na wengine wanasema labda ni Mungu Baba kwasababu sauti ilitoka katika Throne, na wengine wanasema labda ni Yesu ambaye amekaa katika kiti cha enzi.
Ok sasa hii story kweli wewe inakuingia akilini? maana kawasema malaika pembeni na hiyo sauti toka kiti cha ufalme. Na sidhani kama Jarusalem ilishuka toka mbinguni. Na huo mji aloupamba kwa milango na madirisha na urefu ni mji gani? upo hapa duniani? au alikuwa anaota maana hakuna kilichoandikwa hapo kipo ama kimewahi kuonekana..Na hii wengine wanasema hivi, wengine vile huoni kama inapotosha zaidi..Najaribu kuielewa hii Aya nzima lakini inanipa sheedah
 
YESU ANAKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA YEYE NI MUNGU.

Ndiguzanguni, leo nawajibu Waislam kwa Mara nyingine tena kuwa, YESU NI MUNGU. Hii aya hapa chini katika kitabu cha Ufunuo ni ya Yesu mwenyewee akiongea na Yohana. Yesu anakiri kuwa yeye ni Mungu. Hebu tuisome kwanza:

Ufunuo 21: 6 Yesu Akaniambia, “Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Yeye aonaye kiu nitampa kunywa kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima bila gharama yo yote. 7 Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.

Mara nyingi kumekuwa na mtanashi kutoka Wasialm kuwa eti Yesu hakuwai sema yeye ni Mungu. Mara zote wamekuwa wakidai kuwa, tuwaletee aya ambayo Yesu anasema yeye ni Mungu. Ingawa, Biblia imewajibu kuwa Yesu ni Mungu kutoka sehemu mbalimbali, lakini wamekuwa wabishi na kung'ang'ania waletewe aya, ili wabatizwe na kuwa Wakristo. Kwasababu Biblia imekamilika na haina shaka ndani yake. Leo Biblia inawajibu tena kuwa Yesu ni Mungu.

Aya ya 7 inasema kuwa, NUKUU: [Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.]

Yesu amekiri kuwa mtu yeyote yule atakaye urithi ufalme wake, basi ifahamike kuwa. Moja: Yesu atakuwa Mungu wake
Pili: Wewe utakuwa Mwana wake.

Huu ni ushaidi mwingine kuwa Yesu ni Mungu. Waislam, ningependa mfahamu kuwa, Yesu ni Mungu kama ilivyo andikwa kwenye Ufunuo Sura 21 na aya ya 7.

Je, Upo tayari kumfuata Yesu ambaye ni Mungu? Kumbukeni kuwa, Yesu ndie Njia pekee ya kwenda Mbinguni. Dini haita wapeleka popote pale, lakini Yesu Kristo aliye hai ambaye sasa tunasoma kukiri kwake kuwa yeye ni Mungu, ndie njia pekee ya Uzima wa Milele.

Mpokee Yesu leo ili upate uzima wa milele.

Mkuu Ishmael,

Unasoma biblia gani wakati yesu anakataa hayo unayoyatolea ushahidi tukubaliane mawili basi aidha ww unadanganya ama biblia ama jesus mwenyewe kubali ww sasa hapo wakati biblia yenyewe inasema.

"ikiwa mtu yeyote ataongeza (au kufuta) neno lolote katika kitabu hiki, Mungu atamuongezea balaa zilizoandikwa katika kitabu hiki". (Ufunuo 22:18,19).

Hayo ni maneno ya Paulo hayawezi kuwa ya yesu mwenyewe hata siku moja msikilize tena ila hapa kakosea njia naona maneno ya vijana wanasema kakuingiza kingi anatambua kwamba yesu ni bwana lakini yupo mungu wa pekee

Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako: yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo. Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.Warumi 10.8-9

Na ukisoma aya zinazopingana kama hii

Lakini sasa mimi naenda zangu kwake yeye aliyenipeleka (Yohana 16:05) yesu mwenyewe anajijua kama yy kapelekwa na ndo maana nikakuuliza jee yesu alikua hajui kama yy ni mungu.

Msikilize mungu wako sijui anaomba kwa mungu gani tena uje halafu unambie hapa kwa ushahidi

Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema,Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Na baadhi yao waliohudhuria, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya. Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha. Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa. Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.Mathayo 27.45-50.

Msikilize Marcello Craveri anasema juu ya jambo hili hili katika kitabu chake The Life of Jesus (Maisha ya Yesu):
"Ikiwa tunaamini kuwa Yesu ni mwanaadamu, basi hichi Chakula cha Bwana (Misa au Ekaristi) kinakuwa na sifa ya ibada ya wala-watu; ikiwa tumfanye kuwa ni Mwana wa Mungu, ile fikra safi na tukufu ya Mwenyezi Mungu ambayo mwenyewe Yesu akiishika, inaporomoka chini na kuwa ni itikadi ya mungu dhaalimu asiye na huruma anayetaka daima dawamu Mwanawe mteule atolewe kikoa."

anaendelea kwa kusema

"Maandishi ya Injili yakajazwa kwa kuongezwa na Paulo, ambaye alibatilisha ukweli wote wa historia (taarikh) kwa ajili ya kufuata maelekeo ya imani yake, na huku akitangaza bila ya kuona haya wala aibu kuwa kila kitu amekipata moja kwa moja kutokana na Yesu mwenyewe. Ni yeye ndiye aliyemfanya Yesu aseme baada ya kukata mkate: Chukueni, kuleni; huu ni mwili wangu, uliovunjwa kwa ajili yenu. Na huku akiibariki mvinyo: 'Kikombe hichi ndio agano jipya katika damu yangu."

kama hukutosheka na hayo msikilize mwenyewe jesus anasemaje ndo maana nikasema mwanzo ama ww, biblia au jesus mnadanganya.
Aya hizi nazipenda sana tena sana yaani wakristo mungekua munasoma aya hizi musingeacha kufanya haraka ila kusilimu kujisalimisha kwa Allah kuanzia MARK 12:26 hadi 12:34 sitoziweka zote hapa kuepusha kuchosha wengine kusoma ataependa kufatilia reference ndo hapo juu ipo

12:26 Mark)
[FONT=Arial,Helvetica]Lakini kuhusu kufufuliwa kwa wafu, je, hamjasoma kitabu cha Mose katika sehemu inayohusu kile kichaka kilichokuwa kinawaka moto? Mungu alimwambia Mose, `Mimi ni Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo.`Jee hapa yesu hakujijua kama yy ni mungu hadi paulo aje amtangaze.

12:28 Mark)

Mmojawapo wa walimu wa Sheria alifika, akasikia mabishano yao. Alipoona kwamba Yesu aliwajibu vyema, akajitokeza akamwuliza, "Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza?"

29)
[FONT=Arial,Helvetica][FONT=Arial,Helvetica][/FONT][/FONT]Yesu akamjibu, "Ya kwanza ndiyo hii: `Sikiliza, Israeli! Bwana Mungu wetu ndiye peke yake Bwana
katumia expression ya wetu sio wenu wetu wetu.

32)
[FONT=Arial,Helvetica] Basi, yule mwalimu wa Sheria akamwambia, "Vyema Mwalimu! Umesema kweli kwamba Mungu ni mmoja tu wala hakuna mwingine ila yeye.
[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica][/FONT][FONT=Arial,Helvetica][FONT=Arial,Helvetica][/FONT][/FONT] itazame hii sentence halafu ifananishe na ile ya quraan katika suratul khalaq " Say: He is Allah, the one and only"

[FONT=Arial,Helvetica][FONT=Arial,Helvetica][/FONT][/FONT]For there is one God, and one mediator between God and men, the man Christ Jesus ( 1 timotheo 2:5) umeiona hiyo expression ilivyowekwa hapo the man chirist the man christ

Acha nikuache na aya ya mwisho ambayo inasema

Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu. (
Marko 7.9)

Njoo na aya inasema mimi yesu mungu sitaki maando ya Paulo wala waraka wake.

[/FONT]
 
Yesu jina lake ni EMANUELI.
sasa Toka lini Emanueli akawa King of the Kings?

Nipe andiko Yesu kasema MWENYEWE KUWA MIMI NI MUNGU NIABUDUNI.
Au Yesu kasema MIMI NI MFALME WA WAFALME.?
Ukinionyesha Na Mimi nakula Nyamafu km wewe kuanzia kesho.

Kahtaan Al Akhy

Ni bora unisaidie manake hawa jamaa ile damu na ule mkate hauwafai kabisa maana kitu kiko wazi bado hawataki kukubali kwamba njia hiyo sio.
 
Sikio lililokufa hilo akhy halisikii hata kwa Spika.
Binaadamu na akili Timamu Naabudu mwanasesere mpaka leo hii 21st century. Hali akijua kuwa sanamu hilo LIMECHONGWA NA MTU.
Yaani Jahanamu itawapata wengi mno.
 
Tujitahid lakini insha Allah watafahamu tu
 
Mkuu Ishmael,

Unasoma biblia gani wakati yesu anakataa hayo unayoyatolea ushahidi tukubaliane mawili basi aidha ww unadanganya ama biblia ama jesus mwenyewe kubali ww sasa hapo wakati biblia yenyewe inasema.

"ikiwa mtu yeyote ataongeza (au kufuta) neno lolote katika kitabu hiki, Mungu atamuongezea balaa zilizoandikwa katika kitabu hiki". (Ufunuo 22:18,19).

Hayo ni maneno ya Paulo hayawezi kuwa ya yesu mwenyewe hata siku moja msikilize tena ila hapa kakosea njia naona maneno ya vijana wanasema kakuingiza kingi anatambua kwamba yesu ni bwana lakini yupo mungu wa pekee

Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako: yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo. Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.Warumi 10.8-9

Na ukisoma aya zinazopingana kama hii

Lakini sasa mimi naenda zangu kwake yeye aliyenipeleka (Yohana 16:05) yesu mwenyewe anajijua kama yy kapelekwa na ndo maana nikakuuliza jee yesu alikua hajui kama yy ni mungu.

Msikilize mungu wako sijui anaomba kwa mungu gani tena uje halafu unambie hapa kwa ushahidi

Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema,Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Na baadhi yao waliohudhuria, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya. Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha. Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa. Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.Mathayo 27.45-50.

Msikilize Marcello Craveri anasema juu ya jambo hili hili katika kitabu chake The Life of Jesus (Maisha ya Yesu):
"Ikiwa tunaamini kuwa Yesu ni mwanaadamu, basi hichi Chakula cha Bwana (Misa au Ekaristi) kinakuwa na sifa ya ibada ya wala-watu; ikiwa tumfanye kuwa ni Mwana wa Mungu, ile fikra safi na tukufu ya Mwenyezi Mungu ambayo mwenyewe Yesu akiishika, inaporomoka chini na kuwa ni itikadi ya mungu dhaalimu asiye na huruma anayetaka daima dawamu Mwanawe mteule atolewe kikoa."

anaendelea kwa kusema

"Maandishi ya Injili yakajazwa kwa kuongezwa na Paulo, ambaye alibatilisha ukweli wote wa historia (taarikh) kwa ajili ya kufuata maelekeo ya imani yake, na huku akitangaza bila ya kuona haya wala aibu kuwa kila kitu amekipata moja kwa moja kutokana na Yesu mwenyewe. Ni yeye ndiye aliyemfanya Yesu aseme baada ya kukata mkate: Chukueni, kuleni; huu ni mwili wangu, uliovunjwa kwa ajili yenu. Na huku akiibariki mvinyo: 'Kikombe hichi ndio agano jipya katika damu yangu."

kama hukutosheka na hayo msikilize mwenyewe jesus anasemaje ndo maana nikasema mwanzo ama ww, biblia au jesus mnadanganya.
Aya hizi nazipenda sana tena sana yaani wakristo mungekua munasoma aya hizi musingeacha kufanya haraka ila kusilimu kujisalimisha kwa Allah kuanzia MARK 12:26 hadi 12:34 sitoziweka zote hapa kuepusha kuchosha wengine kusoma ataependa kufatilia reference ndo hapo juu ipo

12:26 Mark)
[FONT=Arial,Helvetica]Lakini kuhusu kufufuliwa kwa wafu, je, hamjasoma kitabu cha Mose katika sehemu inayohusu kile kichaka kilichokuwa kinawaka moto? Mungu alimwambia Mose, `Mimi ni Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo.`Jee hapa yesu hakujijua kama yy ni mungu hadi paulo aje amtangaze.

12:28 Mark)

Mmojawapo wa walimu wa Sheria alifika, akasikia mabishano yao. Alipoona kwamba Yesu aliwajibu vyema, akajitokeza akamwuliza, "Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza?"

29)
[FONT=Arial,Helvetica][FONT=Arial,Helvetica][/FONT][/FONT]Yesu akamjibu, "Ya kwanza ndiyo hii: `Sikiliza, Israeli! Bwana Mungu wetu ndiye peke yake Bwana
katumia expression ya wetu sio wenu wetu wetu.

32)
[FONT=Arial,Helvetica] Basi, yule mwalimu wa Sheria akamwambia, "Vyema Mwalimu! Umesema kweli kwamba Mungu ni mmoja tu wala hakuna mwingine ila yeye.
[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica][/FONT][FONT=Arial,Helvetica][FONT=Arial,Helvetica][/FONT][/FONT] itazame hii sentence halafu ifananishe na ile ya quraan katika suratul khalaq " Say: He is Allah, the one and only"

[FONT=Arial,Helvetica][FONT=Arial,Helvetica][/FONT][/FONT]For there is one God, and one mediator between God and men, the man Christ Jesus ( 1 timotheo 2:5) umeiona hiyo expression ilivyowekwa hapo the man chirist the man christ

Acha nikuache na aya ya mwisho ambayo inasema

Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu. (
Marko 7.9)

Njoo na aya inasema mimi yesu mungu sitaki maando ya Paulo wala waraka wake.

[/FONT]

Mkuu huyo Ishmael ni ktk wale MAKAFIRI WAKUBWA WALIOLAANIWA NA MUNGU.

Maisha yake yote hajawahi kufanya kazi za halali km mimi na wewe.
Anaishi maisha ya Kitapeli kila siku na kula Rizki za HARAMU. Na Kwake yeye Kusema UONGO JUU YA MUNGU ndiko kunakompatia CHOO.
Akiacha kazi hii anadhani Atakufa na Njaa ndio maana Anaishi Km Mkimbizi ktk nchi ya Kikafiri Huku akijidai Kutangaza Injili kumbe Jamaa hawajui kuwa ni Mchumia Tumbo.

Ukweli anaujua Lkn mchumia Tumbo hawezi badilika Ispokuwa Kw Rehma Za Mungu peke yake.

Laana ya Mungu iwe juu yake na Watu wake wa karibu wanaomfuata ktk KUMTUKANISHA YESU MWANA WA MARIA.
 
Last edited by a moderator:

Nilikujibu, lakini hukupemda jibu langu, maana alikukufuraisha.

YESU NDIE BWANA WA MABWANA.

In kitabu cha Ufunuo 19:16 Jesus is given the full title “KING OF KINGS AND LORD OF LORDS” (Revelation 17:14 switches it: “Lord of lords and King of kings”). The title indicates someone who has the power to exercise absolute dominion over all His realm. In the case of the Lord Jesus, the realm is all of creation. In John’s vision, Jesus is returning to judge the world and establish His earthly kingdom, as He predicted in Mark 13:26.

Now you know, Jesus is the Lord.

Given??? by whom
 
Mkuu huyo Ishmael ni ktk wale MAKAFIRI WAKUBWA WALIOLAANIWA NA MUNGU.

Maisha yake yote hajawahi kufanya kazi za halali km mimi na wewe.
Anaishi maisha ya Kitapeli kila siku na kula Rizki za HARAMU. Na Kwake yeye Kusema UONGO JUU YA MUNGU ndiko kunakompatia CHOO.
Akiacha kazi hii anadhani Atakufa na Njaa ndio maana Anaishi Km Mkimbizi ktk nchi ya Kikafiri Huku akijidai Kutangaza Injili kumbe Jamaa hawajui kuwa ni Mchumia Tumbo.

Ukweli anaujua Lkn mchumia Tumbo hawezi badilika Ispokuwa Kw Rehma Za Mungu peke yake.

Laana ya Mungu iwe juu yake na Watu wake wa karibu wanaomfuata ktk KUMTUKANISHA YESU MWANA WA MARIA.

Heheheh Al alkhy utamuuwa twende nae tartyybu atafahamu tuu walikuwepo ambao walikua wakorofi lakini sasa ni ndugu zetu na insha Allah atakuja tuu huku kwa daawa. Kama wanavyosema waswahili maneno mazuri humtoa nyoka pangoni
 
Back
Top Bottom