UDOM wapanga kugoma

UDOM wapanga kugoma

Nawaona wanachuo wa vyuo vyote ni washamba tu. Si wamwambie fisadi papa na jambazi sugu lowasa awape Hizo pesa yeye atazirudisha kwa namna nyingine akiwa rais. Usikute madai ya wanafunzi hayafiki hata bilioni moja kitu ambacho ki kidogo sn kwa huyu mbwa mnunuzi wa uongozi.
 
Hivi wabunge wa JMT nao hawajapa posho zao za vikao?Kwa nini wanafunzi hawa?CCM Mmechoka kama alivyosema Lusinde?
 
Poleni sana maana huku SAUT tulisha sahau kuwa BOOM lilitoka lini tuna lisubilia lile la fungua mwaka.
 
Hivi kushawahi tokea mgomo udom? Mkuu tunaongelea udom na sio udsm

Siyo kwamba unashawishi mgomo isipokuwa mnakuwa makini na imara kutetea haki zenu! Sisi tulipigana sana kutetea field kwa kozi ambazo hazikuwa na field mpaka wengine wakafukuzwa chuo ila sasa hivi mnafurahia matunda yetu.
 
Migomo ilikuwa UDSM enzi hizo. Siku hizi pamekuwa pachovu sana.
Mwaka huu msipopewa kile mnachotaka basi sahauni kukipata
 
udhalilishaji tu huu

Hapana hii ni njia tu ya kufikisha ujumbe! Kwa kawaida mwanamke ni sign ya uogo kwa ulinganisho kwa mwanaume sikuhizi jamaa wamesinzia tunasikia tu wakitoa matamko kuunga mambo ya serikalo kana kwamba nao ni politicians.
 
Na ningekuwa waziri wa elimu mkopo mngesikia tu kwenye TBC TAIFA...Nyie si ndo mlisema PESA za ESCROW ni za CCM...Bure kabisa
 
Udom hawana uwezo wala msimamo Wa kugoma huo mgomo utaishia kwenye mitandao
 
migomo iliyowahi kutikisa udom ni ile ya mwaka 2010/2011 ambapo wanachuo ( CoED) waliteka magar 5 ya msafara wa pinda na kutoa upepo matair ya gar la dc. tangu pale hamna mgomo tena udom
 
AAAh!! UDOM hamna ki2, selikali ya wanafunzi haina meno kabisa

Wagome tu maana hamna namna nyingine sasa,,, Tukiwaambia wanafunzi wanapata tabu,shida nyinyi hamuoni watagoma tu eeeh maana lazima tukubaliane kuwa watu wameomba mikopo kwakuwa hawana ela,sasa unapowacheleweshea ukajifanya wewe Ni imara zaidi,unajua zaidi Watagoma tu eeeh Maana hamna namna nyingine sasa,,,, Maana tumechoka sasa kila siku ESCROW,EPA,RICHMOND (vijisenti na ela za mboga wanasema)
 
Kesho kutakuwa na maandamano kuelekea bungeni ya wanafunzi wa udom collage ya education,lengo ni kuomba wabunge wawasaidie ili wapate stahki zao kutoka bodi ya mikopo,

Nyie si viherehere wa kuwaiga Ccm mkono?? Sasa maandano ya nini? Onjeni ladha ya wezi wenu Ccm. Angalieni ripoti ya CAG, kumbukeni Escrow,Epa, Meremeta, ubinafsishaji wa ajabu bado vijana na akili zenu mnawashabikia Ccm??? Mtakula jeuri yenu
 
Tatizo wana vyuo wa siku hizi eti wanajifanya kushabikia upinzani.. Wakachukuee kadi za ccm wapate mikopo.

Moja ya mawazo ambayo hata ukimwambia mwanao ataudharau pamoja na kuwa na umbo kubwa unafikiri kitoto mno tena yaezekana ubongo una tatizo
 
Sio kosa kudai Pesa zenu, ni haki yenu kuzipata hizo pesa . Tatizo linakuja pale mnapotumia njia zisizo sahihi kufikisha ujumbe wenu...Leo nimepata taarifa RUCO kuna mgomo wanafunzi wamefunga barabara ...mnafunga barabara ili iweje?? mtambueni kwanza adui yenu then mtafute namna ya kufikisha ujumbe wenu kwake na sio kufanya vitu vya ajabuajabu...
 
Sio kosa kudai Pesa zenu, ni haki yenu kuzipata hizo pesa . Tatizo linakuja pale mnapotumia njia zisizo sahihi kufikisha ujumbe wenu...Leo nimepata taarifa RUCO kuna mgomo wanafunzi wamefunga barabara ...mnafunga barabara ili iweje?? mtambueni kwanza adui yenu then mtafute namna ya kufikisha ujumbe wenu kwake na sio kufanya vitu vya ajabuajabu...
Hawa
wamechoka kusoma subiri wafukuzwe ndio watajua umuhimu wakuto tumia njia za kijinga!
 
Hawa hawa UDOM sio wale walioitisha komferensi na kudai tuhuma dhidi ya Prof. Muhongo na escrow sio za kweli, baadae wakatoka na single ya kumshawishi Mh. Edward atie nia? Maskini naona njaa imewahamisha kwenye mada.
 
Back
Top Bottom