Napinga ujengaji flyover Dar

Napinga ujengaji flyover Dar

Mkuu, tofauti yake ni nini? Mi nilidhani ni kitu hicho hicho tu. Moja ni American English na Nyingine British English.

Angali umbali unaokuwa - covered, nchi za zilizoendelea ingeanzia Gongo la Mboto mpaka Posta, hiyo yenu inaanzia Tazara na kuishia Tazara, hata sio Upper passage bali ni "Daraja" ingawa hakuna maji hapo.
 
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!

Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.

Acha siasa
 
Unajua ni fedha kiasi gani kinapotea kusafirisha Mzigo wa Biashara kutoka Mbeya kwenda Tabora kwa wiki mbili?

Nakubaliana na wewe 100 %. Actually sikuwa najua kuwa Mbeya na Tabora zinapaka .............. I had to google. Imagine mtu anayetoka Mbeya inabidi aje Iringa, Dodoma au Morogoro, Singida then Tabora (over 1500 km)............. wakati wangeza kukatiza moja kwa moja na kupunguza distance ingekuwa may be 300 to 400 km. Au aende Rukwa kwanza!!

Tatizo letu bado tu tunafuata barabara za mkoloni badala ya kuja na mpya.

tanzania-political-map.jpg
 
Unajua Uchumi unasimama kwa kiasi gani kwa watu Mikoa kwa mikoa kutokuwa na mawasiliano? Unajua Mkulima wa Ifakara anaathirika kwa kiasi gani au angefaidika vipi kama angeweza kusafirisha mazao yake mpaka Tanga au Arusha bila shida? Unaelewa hilo lingechangia ukuaji wa Uchumi kwa kiasi gani?

Mkuu, tofauti yake ni nini? Mi nilidhani ni kitu hicho hicho tu. Moja ni American English na Nyingine British English.

Ziko ktk ranking,flyover ni so complicated ina involve multiple highways cross point while upper passage ni njia mbili moja juu ya nyingine!
 
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!

Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.

Una mawazo ya kupinga kila kitu!
 
Huyu mtowa mada naona kachanganyikiwa
Siokosalake ndivyo walivyo bavichaa
niyonee huruma nimetoka kariakoo saa 4 dak 30 asubui
Nikielekeya nssf mliman city
Nimetoka mliman kurudi kariakoo saa5 dk 15 hadi sasa sijafika kriakoo masaa mawili ni foleni tumekwama magomeni
Sijuwi kariako nitafika saa ngpi
Bado unakuja na mada ya kukataa barabara za juu ww mzima kweli
 
Huna maana wewe. Tulia unywe uji nyumbani. ACHA watu wazima wafanye kazi. Subiri serikali yako utayoikataza kujenga barabara za juu, kwa sasa umekwama
 
ni suala la umaskini ndo linalozua vipaumbele, wala huna haja ya kupinga kama uwezo ungekuwa unaruhusu.
Nilishawahi kusikia pia kuna misaada ambayo huwa imeeleza matumizi ya hizo pesa.
vipi kama kuna msaada wa aina hiyo unashauri usipokelewe?
 
Huyu mtowa mada naona kachanganyikiwa
Siokosalake ndivyo walivyo bavichaa
niyonee huruma nimetoka kariakoo saa 4 dak 30 asubui
Nikielekeya nssf mliman city
Nimetoka mliman kurudi kariakoo saa5 dk 15 hadi sasa sijafika kriakoo masaa mawili ni foleni tumekwama magomeni
Sijuwi kariako nitafika saa ngpi
Bado unakuja na mada ya kukataa barabara za juu ww mzima kweli

Samahan ndugu, uliishia darasa la ngapi vile? uandikaj wako mh!
 
Flyover ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi ili kupunguza traffic jam. Unajua ni sh ngap zinapotea kwa siku kwa sababu ya foleni Dar? Pesa itakayookolewa itasaidia kurekebisha huko kwengine.

Kwa mtazamo wangu hizo "flyover" hazitosaidia kivile. Tatizo la foleni Dar kweli ni sababu ya magari mengi na barabara chache, ila lazima tukubali MIPANGO ya kupunguza foleni imekuwa mibovu. Hivyo namuunga mkono mtoa thread. Pia kuna vibarabara "vidogo" vya nje kidogo ya Dar ila ni vya muhimu kweli, vingeboreshwa kwa kiwango cha lami. Mfano: barabara ya mlimani (chuoni) inayotokea Kimara Baruti, Kinyerezi road ingetakiwa ipanuliwe na itengenezwe lami mpaka Mbezi, kisha nyingine toka Kinyerezi ipite mpaka huko Pugu, chanika, mpaka mbagala, kongowe kisha Kigamboni. Yaani hizi ziwe barabara kubwa. Wenye magari wangekuwa na machaguo kadhaa ya kupita wanapoenda au kurudi makwao/ maofisini. Pia ingependeza kama mji mpya wa kisasa (maofisi), ungejengwa huko nje ya Dar mjini, yaani Kisarawe. Foleni zingepungua.
 
Wewe pinga sisi tuko tunajenga! Hizo barabara ulizozitaja mbona ziko kwenye mipango! Tabora-Mbeya inajumuisha ile ya kutokea Manyoni-Itigi-Nyahua-Igalula-Tabora-Sikonge-Chunya-Mbeya, Ruvuma-Mtwara ndo hiyo JK kazindua ujenzi wake kutokea Songea-Tunduru. Kwa hiyo Mkuu wacha waweke flyover ili jiji likimbie! Foleni zinachelewesha sana watu Mkuu!
 
Una mawazo mazuri ila hayo yote uliyoyasema yaani kujenga barabara za kuunganisha mikoa na mikoa mingine na ujenzi wa barabara za mitaani ndani ya jiji la Dar yanaweza kwenda sambamba na ujenzi wa fly-over. Siyo lazima kimoja kisimame ndio vingine vijengwe. Lakini kumbuka pia kuwa mchango wa Da res salaam kwenye mapato ya kodi ya nchi ni zaidi ya asilimia 70 na hata kama ukijenga hizo za mikoani kama kitendawili cha foleni za Dar hujakitegua bado hayo maendeleo ya kiuchumi yatakuwa ndoto za alinacha. Lazima tuboreshe mazingira ya chanzo cha asilimia 70 za mapato ili pesa zitakazopatikana zisaidie kujenga huko kunakozalisha asilimia 30 ya mapato ya nchi.
 
Kwa mtazamo wangu hizo "flyover" hazitosaidia kivile. Tatizo la foleni Dar kweli ni sababu ya magari mengi na barabara chache, ila lazima tukubali MIPANGO ya kupunguza foleni imekuwa mibovu. Hivyo namuunga mkono mtoa thread. Pia kuna vibarabara "vidogo" vya nje kidogo ya Dar ila ni vya muhimu kweli, vingeboreshwa kwa kiwango cha lami. Mfano: barabara ya mlimani (chuoni) inayotokea Kimara Baruti, Kinyerezi road ingetakiwa ipanuliwe na itengenezwe lami mpaka Mbezi, kisha nyingine toka Kinyerezi ipite mpaka huko Pugu, chanika, mpaka mbagala, kongowe kisha Kigamboni. Yaani hizi ziwe barabara kubwa. Wenye magari wangekuwa na machaguo kadhaa ya kupita wanapoenda au kurudi makwao/ maofisini. Pia ingependeza kama mji mpya wa kisasa (maofisi), ungejengwa huko nje ya Dar mjini, yaani Kisarawe. Foleni zingepungua.
Hayo yote yao kwenye mipango ya serikali likiwemo na hili la fly overs. Hivyo kinachotakiwa ni subira tu yote yanawezekana.
 
Nakubaliana na wewe 100 %. Actually sikuwa najua kuwa Mbeya na Tabora zinapaka .............. I had to google. Imagine mtu anayetoka Mbeya inabidi aje Iringa, Dodoma au Morogoro, Singida then Tabora (over 1500 km)............. wakati wangeza kukatiza moja kwa moja na kupunguza distance ingekuwa may be 300 to 400 km. Au aende Rukwa kwanza!!

Tatizo letu bado tu tunafuata barabara za mkoloni badala ya kuja na mpya.

tanzania-political-map.jpg

E,e,e,e,e,e,e,e,e,eeeehe, wewe una njama na JB, yaani ziwa Tanganyika kwa upande wa Mozambique wamegawana nusu nusu, huko Bongo ziwa lote umetoa kwa Wamalawi. Hamia huko huko, huna machungu na nchi wewe !!! Halafu mboa ramani hii ni mwaka 2012, umeichorea wapi hii. Tanzania Geographical Society wanaiju kweli ?
 
Utafiti umefanyika ya kutosha na ukakidhi haja ya kuwa na hizo barabara za juu. Huko kwingine kutapiga hatua kama Dar itasonga mbele vilevile.

Foleni mijini haimalizwi na flyovers bali kwa kuimarishwa usafiri wa umma, kudhibiti magari madogo yenye abiria mmoja mmoja kuingia katikati ya mji na kutawanya sehemu zinazotolea huduma (masoko, ofisi, magereji, shule, vyuo, viwanda) kwenye mitaa, wilaya na mikoa tofauti Vinginevyo foleni itahamia hukohuko juu ya flyovers
 
Back
Top Bottom