Nyie watu ndio maana hamuendelei.kazi kunywa gahawa tu
Una maendeleo gani we mgalatia unaenuka vinyesi!?
We huko kutolewa mapepo na hao wachungaji umeona maendeleo!?
Kelb wahed!
Allah Amsamehe makosa yake na amuweke katika bustani za peponi.
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga
Ndo yeye katika mahubir yake aligusia suala la mauaji ya sheikh Roggo (mombasa) pamoja na suala la sensa 2012
Kwa uchochezi ule sijui kama anaweza kusamehewa!
Duh Kahtaan punguza hasiraa....
Ndo yeye katika mahubir yake aligusia suala la mauaji ya sheikh Roggo (mombasa) pamoja na suala la sensa 2012
He was Radical Cleric, evil and devil advocate!
Muulize Faiza atapewa nn teh tehHili swali nami najiuliza, ngoja tukamzike Ilunga kwanza, nitarudi kulianzishia thread hilo
Ndo huyo huyo kiboko yenu,haya sema jingine.
Haa! Makamu wa rais kahudhuria? Kweli msiba hauna ubaguzi.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kwa uchochezi ule sijui kama anaweza kusamehewa!