Recent content by Mwadada

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Mmmmh ! Kazi kweli kweli. Tusubili wakati utaongea .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Wakati utaongea wakubwa hamna haja ya kurumbana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Ktk kampeni za kugombea uspika wa bunge maalum la katiba alisikika akijinadi kuwa kuchaguliwa kwake ni 'sawa na kumrudisha chura kwenye maji sehemu ambayo ameizoea' hata hivyo kuna kibonzo kimoja toka ktk gazeti mahiri hapa nchi kili hadhalisha kuwa inaweza kuwa ni chura kuingizwa / kurudishwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa Ya Mwenyekiti Mtendaji Wa IPP Limited, DKT REGINALD MENGI, Kwa Umma

    Umeongea vema Dr Mengi. Nakubaliana na hoja yako kimsingi ina mashiko. Siku zote ukweli utasimama. pamoja.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Duh! Fastjet kiboko dk 45 kumbwani

    Duh kumbwani! umenikumbusha mbali. hongera ni hatua nzuri.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Nakubaliana nawe mkuu. Mawazo yenye busara.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri: Ni nini kinamsibu RAIS?

    Duh! Umeyapanga majembe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

    Duh! Vipando umenikumbusha mbali. Tafadhali anayefahamu beti za wimbo wa Tanganyika atuwekee humu kwani naona nao unakuja tena kwa kasi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mnapotuita TBCCM, POLISICCM nk,, Mmekata tamaa? Mkshika dola mtakuja na polis wenu?

    Nazani ingependeza sana kujadili hoja iliyotolewa na siyo kutukana. Kama huna la kuchangia ni vema ukapita kimya kimya.
  10. M

    JamiiForums Tanzania African renaissance

    Nikweli twahitaji kutazama upya tamaduni zetu ambazo tumeacha zikiporomoka kwasababu ya kuiga na kufuata kalibu kila kitu cha ulaya,america na nje ya africa kwa ujumla. Kwamfano, watoto siku hizi badala ya kusimuliwa au kusimuliana adithi watoto kuangalia katuni tu,kwamtindo huu hatujengi uwezo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ariel Sharon is dead!

    R.i.p - A.Sharon
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    ahaaaa! Sifongo usifanye hivyo, utahatarisha maisha yako na watumiaji wengine wa barabara. Ukiwa nimfuasi wa chama chenye kiu ya kuleta mabadiliko ktk mfumo wetu. Nadhani ni vizuri kuonyesha mfano wa kufuata sheria.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wenye akili CHADEMA wapo kimya

    Hii yote ni mitazamo tu. Kama ni kweli kuna usaliti amekuwa akifanya kwa chama chake awajibike,mengine yote ni mbwembwe tu. Kwasababu kimsingi hakuna jamii au jumuia inayokubali wasaliti. Cha msingi ni kuwa zzk apewe haki ya kusikilizwa na kujitetea na hatua zingine zifuate.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Jamani hii ni kali, siku zote ukiona mtu anahama kwenye mada na kushambulia mtu uje mambo ni mazito kwake. Mambo mengi mh zzk ameongea, ni vema akitupasha kuhusu kifo cha marehemu Wangwe naona kama anakitu vile! Tutayapata mengi sijui ndo mfa maji au vp... Tusubiri tutafahamu punde.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya NCCR kufa na Kupona kwa chadema

    Ahahaaaa usinichekeshe. Asante nimekupata.
Back
Top Bottom