Duh! Fastjet kiboko dk 45 kumbwani

Duh! Fastjet kiboko dk 45 kumbwani

Sijui. Ila washamba wa ndege ni wanyakyusa teh teh teh.

unajua hata wakisindikizana stendi wanaanza kuagana hadi basi linafika mbezi? Umponileee na babu, umponile nyau, uyaponile mahindiiiii na mchele! Mwenzio mtoa mada kilichomsikitisha kwa kupanda ndege ni kukosa kupewa salamu huku ndege inapaa kwi kwi kwi!!!
Kwani wote wanaokaa mbeya ni wanyakyusa?
 
Sijui. Ila washamba wa ndege ni wanyakyusa teh teh teh.

unajua hata wakisindikizana stendi wanaanza kuagana hadi basi linafika mbezi? Umponileee na babu, umponile nyau, uyaponile mahindiiiii na mchele! Mwenzio mtoa mada kilichomsikitisha kwa kupanda ndege ni kukosa kupewa salamu huku ndege inapaa kwi kwi kwi!!!

Dah usinivunje mbavu na mda huu mie njaa yaniuma hahahahahaha we binti wewe hahahaha
 
Unajua Mugabe aliulizwa achievements za africa akasima tutaenda kuchunguza jua (coz wazungu wanajidai wamefika mwezini). Ila waafrika tutaenda juani usiku kuepuka joto.

yeye ndo anakuwangia wewe, achana nae. Manake kwa akili yake nyumbani kwake kukiwa giza, dunia yote ni giza!
Aniambia nawanga as if kaniona, what a shame kunifuatia eti why nacomment usiku haaa
 
Hehehe acha uvivu! Pika msosi, no fast food utaharibu six packs za kinyakyusa lol. Chezeiya ndizi? Hazidanganyi atii.
Dah usinivunje mbavu na mda huu mie njaa yaniuma hahahahahaha we binti wewe hahahaha
 
Aniambia nawanga as if kaniona, what a shame kunifuatia eti why nacomment usiku haaa
Kaka na wewe kwetu kule ndege zitaenda lini kuwachukua ndugu tuliowaacha kijijini? Au ndio itabidi waende wakapandie Mbeya.
 
Mnyakyusa kapanda ndege, mweeh!
naloli naloliiii, Yesu ajobile!
Huko Santilia alikotoka ni Wandali kama sijakosea. Unaweza ingilia pale Mbalizi kulia au njia ya kuingia gereza la Songwe kisha unaenda ndani milimani!
 
Aniambia nawanga as if kaniona, what a shame kunifuatia eti why nacomment usiku haaa
Watu wengine huwa wanadhani wao wakilala basi na watu wengine kote duniani watakua wamelala! Mfano Mwambie aende pale sokoni kariakoo mida ya saa 10 alfajiri na apite bar maarufu za jirani. Atakuta meza zimejaa watu wakigonga 'vyombo'. Nilipouliza kumbe ni waleta mizigo,madereva,wabeba mizigo na baadhi ya wafanyabiashara ambao shughuri zao hufanya usiku. Wakimaliza wanajiburudisha kisha wanaenda nyumbani kupumzika!
 
hehe kapanda ndege saa 3 asubuhi hadi saa 7 usiku bado ana kimuhemuhe?

Hata wiki mbili wewe si umezoea kwa sisi watoto wa wakulima hata miezi una imagine dk 45 za safari wakati mwanzo kwa treni wiki mbili chezea Ndege Hongera kwako mtoto wa Tanganyika school.
 
Mwanafyale najua kwa ushamba wa watu wa Mbeya lazima ulivaa suti. hebu tupe picha.....
 
Hahaha kumbe eeh? Na kwao Highlander na Jerrymsigwa ni wapi? Mi najua mbeya ni mbeya tu. Wakarimu afu ukienda tukuyu wana majogoo makubwa kama mbuzi wa daslam!
Huko Santilia alikotoka ni Wandali kama sijakosea. Unaweza ingilia pale Mbalizi kulia au njia ya kuingia gereza la Songwe kisha unaenda ndani milimani!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom