Sababu ya NCCR kufa na Kupona kwa chadema

CDM kina wafia chama, au waganga njaa ambae hata mbowe akiwatia kidole cha ....cha ....macho watakaa kimya tu
 
Wapenzi Wanabodi.

Inawezekana mnajuwa mengi kuhusu kilichoisibu NCCR ambacho kilikuwa chama kikuu cha upinzani kilichotikisa Tanzania miaka hiyo hakika makosa machache yalikuwa km ifuatavyo

1. kukosa watafiti wazalendo ndani ya chama na ukosefu wa wanausalama wa chama wazalendo
2. kukosekana kwa mihimili ya chama hivyo lilikuwa kama genge tu la watu wenye malengo tena yasiyofanana
3. kuchelewa kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria kwa kila hatua ya matatizo iliyojitokeza matokeo wakaingia kwenye political circle ambayo hata zitto alitaka kuitengeneza na isiyoisha ili kudemoralize wafuasi wa chama

Na hizo ndio nguzo za chadema
1. Chama kina wafia chama yaani die hard ambao walishachora mstari wake na pia inteligentsia inafanya kazi sio kidogo
2. kina watafiti na washauri mahiri na hiki kitu watu wanaweza kudharau lakini ndio nguzo kuu ya chama
3. kina vinara wa chama au nguzo km baba vile unajua niseme mkiti wa chama lazima uwe sawa na baba ktk familia ili chama kisimame na lazima aaminike ndani ya nyumba na aogopwe na mahasimu wake km ili yo kwa mbowe slaa nk ambao ccm so far iko very scared inatamani wafe ili wafurahi maana baba atakuwa amekufa na kucheza na wajane
4. kinachukua hatua haraka palipo tatizo baada ya kupata utafiti wa kutosha kutoka kwa watalaam wake (ingawa hili kidogo walitaka kuchelewa na ingetengeneza political circle yaani usugu ambapo sasa zito angeonekana hawezekani tena)

hivyo niseme chadema itadumu na baada ya mzizi mkuu huu wa usaliti kuondoka sasa chadema inaenda kuchukua dola maana sasa ni mchakamchaka sio chadema msingi, sio M4C

Siri iliyopo
Mnajua juhudi za mwanzo ilikuwa ccm inatafuta namna ya kuwagombanisha mbowe na slaa ikashindikana wakatafuta weak point. Mbaya walipopaegemea pako weak kweli kweli na sasa watalia na kujuta maana anayenunulika hayupo tena

2015 chadema itashinda na kuchukua nchi hata wakitumia katiba na daftari la sasa la kupigia kura sijui wakiyarekebisha itakuwa balaa zaidi, trust nasema kwa kuzingatia utafiti mwingi tu ambao upo unaosababisa hata ccm kuhaha sana na kuwatumia mamluki na wapenda dezo akina mwampamba na juliana maana going forward ccm hawana namna ya kubadilisha upepo sasa wa maisha ya wananchi na madudu ya viongozi na wameingia zaidi ktk circle ya katiba by any means itakula kwao big time hata iweje kwa wajuvi mmeshaelewa maana hata watumie bunge la katiba haisaidii hata kidogo wakibadilisha wananchi katiba wakaikataa ndio kaa la moto litawawakia maana watakuwa hawaaminiki tena. Heri ya mwaka mpya

Kwa msingi wa uhuru wa kutoa maoni,mkuu upo sahihi kitu ambacho ndani ya chama unacho amini ni thabiti na timilifu hakuna uhuru huu wa kutoa maoni kinzani
 
Rohombaya, Usaliti. Unakaa kwenye vikao hutoi dukuduku zako zifanyiwe kazi lakini ukitoka nje unaziongeleankm vile hukuwa na leadership. Unaanda mkakati wa kimapinduzi ndani ya chama. Kutoshiriki kiumoja su timu kutekeleza mikakati ya chama. M zitto alikuwanna malaka kumwamrisha mkurugenzi wa fedha ili zikaguliwenna angewezankuweka kalenda ya compliance ktk hilo na ilikuwa rahisi kabisa kuwashirikisha kuanziantu pale hela imengia ktk chama lakini tatizo miaka na miaka alikuwa hakai ofisini akaigeuza ipad iwe ofisi eti digital office kisa anachagua tanzania dhidi ya chadema nakubali sasa amechagua aiache chadema aende tanzania mbona hata mimi niko tanzania sina tatizo?
 
Last edited by a moderator:
chadema haina mwelekeo na haiwezi kuchukua nchi hii, kama wanashindwa kuongozana wakiwa wachache na kusuluhisha migogoro hii midogo katika chama kwa kutumia njia ya majadiliano unafikiria tanzania ni rahisi kiasi cha kuweza kuongozwa na MBOWE, LEMA hata wewe fikiria kwa busara hv hawa watu tuwape nchi maadili yao yanafanana na TZ tuitakayo bora hata ZIITO kuliko hao tajwa juu
 
Kwa msingi wa uhuru wa kutoa maoni,mkuu upo sahihi kitu ambacho ndani ya chama unacho amini ni thabiti na timilifu hakuna uhuru huu wa kutoa maoni kinzani

Malinyingi unapokuwa na ofisi lazima uwe na dira na dira haitakiwi kurudishwa nyuma kwa sababu ya mawazo kinzani. Mawazo kinzani iwe ni kwa ajili ya kuboresha tu dira iko palepale
 
Big up mkuu.Zito ataondoka na Chama kitabaki kuwa imara.Hatutaki ufuasi wa mtu,bali chama ndo kinatakiwa kuwa na nguvu kuliko mtu mmoja mmoja.
 
Big up kamanda,wakitaka kujua kuwa ccm inakufa wawaulize gaidi mwigulu au tyson sura mbaya wassira hawa watu wako chumbani ndio wanajua siri ya ccm,wengine hawa hawana jipya km akina habar ya mujini na wajinga wenzie
 
Angalieni upande wa pili! Hamko salama Kama wengi mnavyoamini! Yangu macho tutayaona na kuyasikia mengi na mkimalizana na ZZK mtaanza lingine tena linakuja!

Tusubiri
hatuna hofu ya kuzuka lingine. Kwenye taasisi kubwa km CHADEMA migogoro ni kitu cha afya. Km kanisani na misikitini kwenyewe kuna migogoro,kwa nini unashangaa CDM..!? Chadema ni chama makini kuliko wewe unavyodhani.
 
Mapambano bado yanaendelea niko mtandaoni sijalala natetea CDM bila malipo kwani nisipofanya hivi ntakuwa naandaa mazingira ya mwanangu kuja kuuzwa kwa wachina

Kumbe tuko wengi wa kujitolea mkuu ,ambao hatutegemei mshahara wala cheo isipokuwa ukombozi wa wananchi dhidi ya wadhalimu.
 
Wapenzi Wanabodi.

Inawezekana mnajuwa mengi kuhusu kilichoisibu NCCR ambacho kilikuwa chama kikuu cha upinzani kilichotikisa Tanzania miaka hiyo hakika makosa machache yalikuwa km ifuatavyo

1. kukosa watafiti wazalendo ndani ya chama na ukosefu wa wanausalama wa chama wazalendo
2. kukosekana kwa mihimili ya chama hivyo lilikuwa kama genge tu la watu wenye malengo tena yasiyofanana
3. kuchelewa kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria kwa kila hatua ya matatizo iliyojitokeza matokeo wakaingia kwenye political circle ambayo hata zitto alitaka kuitengeneza na isiyoisha ili kudemoralize wafuasi wa chama

Na hizo ndio nguzo za chadema
1. Chama kina wafia chama yaani die hard ambao walishachora mstari wake na pia inteligentsia inafanya kazi sio kidogo
2. kina watafiti na washauri mahiri na hiki kitu watu wanaweza kudharau lakini ndio nguzo kuu ya chama
3. kina vinara wa chama au nguzo km baba vile unajua niseme mkiti wa chama lazima uwe sawa na baba ktk familia ili chama kisimame na lazima aaminike ndani ya nyumba na aogopwe na mahasimu wake km ili yo kwa mbowe slaa nk ambao ccm so far iko very scared inatamani wafe ili wafurahi maana baba atakuwa amekufa na kucheza na wajane
4. kinachukua hatua haraka palipo tatizo baada ya kupata utafiti wa kutosha kutoka kwa watalaam wake (ingawa hili kidogo walitaka kuchelewa na ingetengeneza political circle yaani usugu ambapo sasa zito angeonekana hawezekani tena)

hivyo niseme chadema itadumu na baada ya mzizi mkuu huu wa usaliti kuondoka sasa chadema inaenda kuchukua dola maana sasa ni mchakamchaka sio chadema msingi, sio M4C

Siri iliyopo
Mnajua juhudi za mwanzo ilikuwa ccm inatafuta namna ya kuwagombanisha mbowe na slaa ikashindikana wakatafuta weak point. Mbaya walipopaegemea pako weak kweli kweli na sasa watalia na kujuta maana anayenunulika hayupo tena

2015 chadema itashinda na kuchukua nchi hata wakitumia katiba na daftari la sasa la kupigia kura sijui wakiyarekebisha itakuwa balaa zaidi, trust nasema kwa kuzingatia utafiti mwingi tu ambao upo unaosababisa hata ccm kuhaha sana na kuwatumia mamluki na wapenda dezo akina mwampamba na juliana maana going forward ccm hawana namna ya kubadilisha upepo sasa wa maisha ya wananchi na madudu ya viongozi na wameingia zaidi ktk circle ya katiba by any means itakula kwao big time hata iweje kwa wajuvi mmeshaelewa maana hata watumie bunge la katiba haisaidii hata kidogo wakibadilisha wananchi katiba wakaikataa ndio kaa la moto litawawakia maana watakuwa hawaaminiki tena. Heri ya mwaka mpya
pole sana kwa ndoto hizi ulizonazo, tutakuja hapa soon kuanalyse kifo cha chadema kabla ya 2015
 
Good analysis, CCM hawana njia nyingine zaidi ya kusubiri kuchinjwa, tumeshawaelekeza shingo Kibla.. Kisu kimenolewa Mnjinjaji yupo tayari anasubiri amri tu.

atachinjwa kwa kisu laiini hakuna mtu anaweza shindana na taasisi
 
pole sana kwa ndoto hizi ulizonazo, tutakuja hapa soon kuanalyse kifo cha chadema kabla ya 2015

jk alisema ccm wajiandae kisaikologia.....yeye anajuwa na anaona mikutano yake inavyojaa watoto na wale wa maofisini wanao lazimika kwenda
 
chadema haina mwelekeo na haiwezi kuchukua nchi hii, kama wanashindwa kuongozana wakiwa wachache na kusuluhisha migogoro hii midogo katika chama kwa kutumia njia ya majadiliano unafikiria tanzania ni rahisi kiasi cha kuweza kuongozwa na MBOWE, LEMA hata wewe fikiria kwa busara hv hawa watu tuwape nchi maadili yao yanafanana na TZ tuitakayo bora hata ZIITO kuliko hao tajwa juu
Kama Kikwete ameweza ambaye ni dhaifu itakuwaje kwa hawa wengine wasiweze? Kwa taarifa yako hakuna shule ya kusomea kuwa rais usiwe na mawazo finyu.Kwako wewe hutaweza kwa vile huna hiyo karama hata ya kuwa monitor wa shule ya msingi imekushinda.Juu hata uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ndiyo maana unaona viongozi wa chadema hawataweza kuongoza nchi.
 
Well said toothpick. Asilimia 70 ya watz wsna mitindio ya ubongo hivyo si ajabu ndio walewale
 
Chama kitasonga bila kuwa na majina ya watu CDM ni taasisi imara
 
najutia muda wangu niliopoteza kusoma utumbo huu.

Wapenzi Wanabodi.

Inawezekana mnajuwa mengi kuhusu kilichoisibu NCCR ambacho kilikuwa chama kikuu cha upinzani kilichotikisa Tanzania miaka hiyo hakika makosa machache yalikuwa km ifuatavyo

1. kukosa watafiti wazalendo ndani ya chama na ukosefu wa wanausalama wa chama wazalendo
2. kukosekana kwa mihimili ya chama hivyo lilikuwa kama genge tu la watu wenye malengo tena yasiyofanana
3. kuchelewa kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria kwa kila hatua ya matatizo iliyojitokeza matokeo wakaingia kwenye political circle ambayo hata zitto alitaka kuitengeneza na isiyoisha ili kudemoralize wafuasi wa chama

Na hizo ndio nguzo za chadema
1. Chama kina wafia chama yaani die hard ambao walishachora mstari wake na pia inteligentsia inafanya kazi sio kidogo
2. kina watafiti na washauri mahiri na hiki kitu watu wanaweza kudharau lakini ndio nguzo kuu ya chama
3. kina vinara wa chama au nguzo km baba vile unajua niseme mkiti wa chama lazima uwe sawa na baba ktk familia ili chama kisimame na lazima aaminike ndani ya nyumba na aogopwe na mahasimu wake km ili yo kwa mbowe slaa nk ambao ccm so far iko very scared inatamani wafe ili wafurahi maana baba atakuwa amekufa na kucheza na wajane
4. kinachukua hatua haraka palipo tatizo baada ya kupata utafiti wa kutosha kutoka kwa watalaam wake (ingawa hili kidogo walitaka kuchelewa na ingetengeneza political circle yaani usugu ambapo sasa zito angeonekana hawezekani tena)

hivyo niseme chadema itadumu na baada ya mzizi mkuu huu wa usaliti kuondoka sasa chadema inaenda kuchukua dola maana sasa ni mchakamchaka sio chadema msingi, sio M4C

Siri iliyopo
Mnajua juhudi za mwanzo ilikuwa ccm inatafuta namna ya kuwagombanisha mbowe na slaa ikashindikana wakatafuta weak point. Mbaya walipopaegemea pako weak kweli kweli na sasa watalia na kujuta maana anayenunulika hayupo tena

2015 chadema itashinda na kuchukua nchi hata wakitumia katiba na daftari la sasa la kupigia kura sijui wakiyarekebisha itakuwa balaa zaidi, trust nasema kwa kuzingatia utafiti mwingi tu ambao upo unaosababisa hata ccm kuhaha sana na kuwatumia mamluki na wapenda dezo akina mwampamba na juliana maana going forward ccm hawana namna ya kubadilisha upepo sasa wa maisha ya wananchi na madudu ya viongozi na wameingia zaidi ktk circle ya katiba by any means itakula kwao big time hata iweje kwa wajuvi mmeshaelewa maana hata watumie bunge la katiba haisaidii hata kidogo wakibadilisha wananchi katiba wakaikataa ndio kaa la moto litawawakia maana watakuwa hawaaminiki tena. Heri ya mwaka mpya
 
Hata mie niongeze hapa NCCR hakikuwa kimeanzishwa kama chama cha upinzani ila ilikuwa ni harakati za kupigania katiba mpya sasa wote hawakuwa na malengo ya kisiasa ila uroho kilikiwa hivi National Constitution Comitee Reform baada ya madililo ya kisiasa ikaitwa National Cosntruction Convetion Reform sasa hapa hawakuwa wamejiandaa kuwa wapinzani ikapelekea kifo chao. CHADEMA tiari kina misingi imara na hakiwezi kufa hivi hivi angalia kina wanasheria wazuri washauri wake ni wasomi wa vyuo vikuu hapa nchini na nje ya nchi wanafanya utafiti wa kutosha na wasisi wake ni watu makini na wasomi kumbuka chama hiki kilikuwa kama chama cha wastaafu kitu ambacho kimebadilishwa na Mbowe na sasa chama kimejiandaa na si kama chama chochote kile. Pia tukumbuke mazingira yaliyo kifanya NCCR kife ni tofauti na sasa hiki kizazi kingine chenye wasomi wengi na tiari tunaijua nchi yetu na sasa tunataka mabadiliko tukiunge mkono CHADEMA hata kama changamoto nyingi sana hata kwa famialia zenu kuna sitofaamu nchi yetu inalika jaman
 
Back
Top Bottom