Ariel Sharon is dead!

Ariel Sharon is dead!

Status
Not open for further replies.
He pioneered Jewish settlements in the Palestinian territories na ndio imekuwa kikwazo kikubwa cha Peace negotiations in the Middle East.
 
Aliyekuwa waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 85.

Afya yake imeanza kuzorota tangu mwaka 2006, akiwa katika madaraka ya uwaziri mkuu wa Israel. Miaka minane tangu kuwa mgonjwa.

sharon.jpg
 
Israel ipo sababu marekani ipo.wapi hitler

1)Israel ipo na itakuwepo kwa kusudi la Mungu.Taifa hili la wateule wa Mungu lilikuwepo toka Abrahamu',Isaka,Yakobo;Musa.
2)Tushughulikie matatizo yetu huko Centrsl Afrika;Sudan;Mauritania nk.Wafrika wanakufa kutokana na silaha kutoka afrca kaskazini na Mauritani utumwa mtindo mmoja
 
Watu weweeeeeeeeeeeeee leo bonge moja la siku,hili li guruwe limekufa safi sana...sasaivi anachezea mboko tu huku alipo
 
Kwa mujibu wa ukurasa wa fb wa Bbc Swahili, wametoa taarifa ya kifo cha bwana Sharon. My take hakika huyu ndie Legend wa dunia kwani ameweza kulinda nchi iliyobarikiwa thdi ya maadui wa wayahudi,R.I.P
 
8 years being in a comma ts too long and the war continues. arabs and jews will never reconcile these are bounded with historical events .
 
Kweli dua la kuku halimpati mwewe. Mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu Alshabaab. Boko haram wakiua ni jihad ila Sharon kuua ni ukatili teh hawa watu bana. R.I.P Sharon!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom