Ni aibu kushangaa basi kuwa na choo mwaka 2023. Mwaka 1974 kampuni ya mabasi ya CORETCO ( Coastal Regional Transport Company) ilikuwa na basi lenye choo ndani ikifanya route kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo. Eti maajabu kuna watu wanashangaa hilo miaka 49 baadaye
Ndege yenyewe hiyo moja kweli itafanikisha hizo safari za mbali?. Pia hii issue ya Boeing nayo ni majanga watu wanaanza kuziogopa with preferences kwa AirBus
Nani kakwambia huku hakuna vitengo maalum kama hivyo vya tiba ya afya ya akili?. Hii ni Tanzania mpya kama unabeba box umeachwa mbali na maisha halisi ya huku nyumbani.............. samahani sana mkuu ila hakuna namna ila kujibu kwa lugha hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.