Mali zifuatazo zinauzwa-Divorce settlement

Mali zifuatazo zinauzwa-Divorce settlement

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,370
Reaction score
4,643
  1. Meza za ofisi 4 zote shilingi 180,000
  2. Dining table na Viti 6 Vyote shilingi 380,000
  3. Stand ya Tv flat screen ya Chuma shilingi 60,000
  4. Viti vya darasani 10 vyote shilingi 280,000
  5. Meza za kawaida 4 by 2 na 6 by 2 inches ziko 5 zote shilingi 400,000
  6. Viti vya plastic vipya 6 vyote shilingi 80,000
  7. Friji used kubwa lenye freezer shilingi 350,000
  8. Kabati la vyombo 2.5 by 6 shilingi 180,000
  9. Sofa ya watu 3 shilingi 250,000
  10. Sofa ya watu 2 shiling 150,000
  11. Sofa ya mtu mmoja shiling 130,000
  12. Laptop Computers 6 zote shiling laki 1,200,000
  13. Television Chogo hitachi 1 shiling 110,000 inchi 20
  14. Kitanda 6 by 6 cha kurepair shiling 90,000
  15. Godoro 6 by 6 shilingi 110,000
  16. Kitanda cha chuma 5 by 6 shiling 135,000
  17. Kitanda 5 by 6 shiling 110,000
  18. Godoro 5 by 6 shiling 100,000
  19. Kitanda 3.5 by 6 shilingi 70,000
  20. Feni ya juu kubwa shiling 70,000
  21. Mita ya kupima umeme wako shiling 20,000
  22. Pagale la vyumba vitatu shilingi 4500,000
  23. Pagale mbili moja ya vyumba 3 na ingine vyumba 5 zote shiling 11000,000
  24. Gari ndogo aina Carina 1995 ED shilingi 2,500,000
  25. Engine 3s ya kurekebisha shilingi 350,000
  26. Gearbox ya screpa shilingi 150,000
Vitu hivi baadhi viko Dar es Salaam,Vingine Arusha na Vingine Moshi.Iwapo unahitaji chochote kati ya hivyo basi unacopy pamoja na bei yake unakuja PM tufanye Biashara
 
Duuh najua unauza, sio hapa kununua. Na comment tuu na kuondoka.

Yaonesha kuna hasira hasara nyingi sana kati ya wahusika. Mara nyingi hata mali zake huwa zinamigogoro isiyoisha ikiwemo chuki hata kwa mnunuzi mpya.

Kila la kheri.
 
Ko tusinunue
Duuh najua unauza, sio hapa kununua. Na comment tuu na kuondoka.

Yaonesha kuna hasira hasara nyingi sana kati ya wahusika. Mara nyingi hata mali zake huwa zinamigogoro isiyoisha ikiwemo chuki hata kwa mnunuzi mpya.

Kila la kheri.
 
Mita ya kupima umeme wako shiling 20,000 ,nahitaji pia
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CCM inawapenda wanyonge kama hawa ili watawale milele
 
Back
Top Bottom