Suala la kutoelewa kwa nini CCM wanakataa kura ya siri ni maajabu ya Dunia tena kubwa zaidi ni kama mwizi analia kabisa akiomba akuibie kwa hiari yako na akulazimishe uende polisi usimtaje ila useme nimeibiwa tu. Deo kaza buti, watanzania na wanaLudewa tunakuona
Hawa Watanzania ambao wanataka kuendesha nchi bila kodi mimi binafsi siwaelewi, anyway labda nao TRA wanapenda sana wizi wa viini macho kama mashine moja ya EFD inauzwa dolla 120 inakuwaje wawauzie wafanyabiashra laki nane? Wafanye utaratibu zuri wa kisayansi na kifedha kupata malipo ya mashine...
Kwa Mungu kila goti litapigwa. Fanya ufanyavyo malipo lazima, Huyu bwana ndio mwisho wake sala za wahanga na waliopatwa na majanga zimefika kwenye kiti chake MKUU.
kama haiwezekani haiwezekani tu, JK huna uwezo wa solve matatizo ya WaTz. Moto haufunikwi na viganja vya mikono, utaachia tu au la utateketea wewe na mikono yako.
Kama angekuwa mwanamke, watoto aliacha na nani? Lakini mwanaume kazi kuleta michuzi huwezi jua labda mama alikuwa na utaratibu wa kupata michuzi kwa serengeti boy wake. Hapa kusameheana ndio deal
wakati umefika CCM wajue wananchi wanahitaji nini na kwamba hawadanganyiki tena. Ninachowaomba watu woooote tuwaambie watoto ukweli wajue mapema wasijetekwa na watu wabaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.