kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,035
- 326
[h=3]1.Kuna wanaotajwa katika miziki kama watu maarufu, matajiri sana kumbe hakuna kitu ni wao kutaka wasikike na wala si tajiri kihivyo wao huwakatia marapa na waimbaji wenye njaa wawataje hawa ni kama vile akina Fikiri Madinda, Ustaadh Juma Namusoma, Betty Malongo, n.k).[/h] [h=3]2.Wengine hutajwa kwa hakika kutokana na misaada yao kunyanyua tasnia ya muziki kutoka kidogo wanachokipata kwa halali mfano Asha Baraka, Mh. Amos Makala n.k [/h] [h=3]3. Lakini wapo kweli ambao wanatumia fedha wanazopata kwa njia zisizo halali (chafu) kuwekeza katika bendi, kuwahonga Wasanii, Media na hata baadhi ya watumishi wa vyombo vya serikali Polisi n.k ili waonekane kuwa watu wema lakini ni hatari sana maana wana mitandao nchi nzima ya nje ya nchi za kiuhalifu hawa ndio akina Paa Msofe, Chief Kiumbe, Muzamili Katunzi n.k .[/h] [h=3]Kamwe Serikali wala Mahakama haiwezi kushindwa na hawa watu wadogo sana! Ni suala la uzembe wa hali ya juu wa vyombo vya usalama. Hawa watu wanajulikana na walitakiwa kuwa katika list ya WANTED kwenye wavuti ya Polisi siku nyingi. Simple question to IGP ni; Je ni kweli hawa watu hawajulikani kwa utapeli na wizi wao?[/h] [h=3]Jamani, haki za binadamu lazima pia ziendane na haki za Mungu; wakati fulani ni ngumu kwa binadamu kuthibitisha pasipo shaka uovu maana unafanyika kifichoni tena wakati ambao wengi wetu tumelala lakini Polisi na Usalama wa Taifa (kama taasisi) kamwe hawalali, je hawajui hawa watu ambao kwa kawaida huwa wanafuatwa na convoy ya vijana wengi kuwa ni hatari na wana athari hasi kwa vijana wengine nchini kwetu? Mbona Mungu ashatoa ushahidi wake siku nyingi juu ya watu hawa na haki ya Mungu haieshimiwi; kweli afadhali ya China!! [/h]
predeshee AMOS MAKALA mbunge . baada ya kuiba sana ccm alipokuwa mhasibu wa ccm yeye kwa kushirikiana na ROSTAM AZIZ. ndio akawa naye anagawa pesa kwa wasanii ili wamuimbe aonekane mjanja kuficha USHAMBA WAKE . kweli huyu mtu hana akili . sasa hivi ndio naibu waziri huyu ndugu hata lugha ya english haipandi sasa sijui itakuwaje akienda nje au akipata mgeni . yetu macho.