Kuna ushahidi wa kutosha kwamba waziri mkuu alibadilishiwa hotuba yake ya awali...

nadhani jana Spika aliposema wanaoafiki hoja ya kuarisha bunge, pale bunge CCM waliwazidi wapinzani , lakini aliposema wasioafiki waseme sio... wapinzaini kwa uchache wao walisaidiwa na watu wote tuliokuwa njee ya bunge na kusema sio....



Kuna ukweli wa wazi kabisa jamani je kwani amkumuona MKE WAKE NA WATOTO WAKE WOTE PALE BUNGENI kabadilishiwa hotuba huyooooooooooooooooooo
 
Nilijua kitu ambacho Pinda alikuwa anataka kufanya, hamjui Bunge la Tanzania ni Comedy lenye akina joti, masanja, mpoke nk? Aibu Kuu na Kubwa kwa watanzania ni kuongozwa na CCM. Watanzania mtakula ushabiki wenu kwa CCM; mnaoishabikia CCM mtueleze mabilioni yaliyotumika vibaya ni uongo, utapewa mgao au kushangilia jasho lako kutumika vibaya? Ama kweli JK ni kiazi nambari One
 
Taaarifa ya kuwawajibisha Mawaziri wake ilikatwa pale alipoipongeza Timu ya Simba kama ulisiliza vizuri ilirejewa mara 2 wananchi hatukuwa tumekaa tayari kusikiliza habari ya simba kwani kipindi cha michezo kilikuwa na muda wake na pinda naye ndio hao hao.Wtz tunavuna tulichopanda.Mujwahuzia
 
Mimi nilichonote ni kama kile cha Lowassa kabla ya kuingia bungeni, alikuja na mkewe na familia yake!.

Jana Pinda alitinga na mana Tunu na familia yake!.

Inapotokea wengi wetu tulikuwa na great expectations kuwa Pinda atazungumzia kuwajibika kwa mawaziri, kitendo cha kutozungumza lolote kuhusu hilo, then kwetu Pinda hajazungumza kitu.

Ila tukubali piga ua, Pinda hana makuu, is down to earth, humble na mtoto wa mkulima kweli!.



mimi sikubali pinda si mtoto wa mkulima ingekuwa kweli angejua kuwawajibisha watu wezi katika system yake na kama mtoto wa mkulima angekuwa na uchungu wa mali za watanzania.
pinda MUOGA
sifa moja wapo kubwa ya kiongozi ni kuwa jasiri na uwe tayari kuwapigania watu wako na uweze kufanya maamuzi na kulinda maslai ya watu wako pinda sio jasiri hajiamini hafai kuwa kiongozi kwani kakosa sifa za kiongozi bora.
 
Tuvute subira kwani naamini muda si mrefu tutaona 'Hatua' zikichukuliwa, kwa kuzingatia zaidi maslahi ya chama chao na taifa Lakini kamwe hatua hizo hazitalenga kutukuza interest za wapinzani wao. Na mbinu km hizo si ngeni kokote duniani...hata ingekuwa CDM madarakani na madudu km hayo yakatendeka..wasingekubali kufanya marekebisho kichwa-kichwa; kwani kufanya hivyo ni kujidharirisha mbele ya umma jambo ambalo chama chochote cha siasa hakiwezi kuruhusu hali km hiyo.
 
Napata shida sana kujua hawa viongozi wetu hivi wana uoni au fikra?au huwa wanatuonaje sisi kama ni vikaragosi au vp?
 
Ni muda sasa tuamke wa tz, tuendelee ku push for change, time will tel!l. Uozo unaoendelea serekalini hauwezi kuvumilika kokote! PP
 
anayemlipa mpiga zumari ndiye huchagua wimbo.

SISI TUMEMCHAGUA KIKWETE NA SISI NDIO TUTAMWONDOA,YYEYE KAMWEKA PINDA PALE NA YEYE NDIYE ANAMPANGIA NINI CHA KUONGEA.

tusubiri 2015 tuuondoe huu udhalimu.

Mkuu kama Watanzania tumeshindwa kufanya kitu chochote sasa kwa haya yaliyotokea sidhani kama 2015 kuna jipya. Ni wazi JK anatambua alipata uraisi si kwa kura halali na bado anatawala mpaka sasa, mbaya zaidi anafanya anachotaka yeye na si wananchi wanavyotaka (rejea swala la Jairo, mgomo wa madaktari, kashfa za mawaziri, mauaji ya Polisi etc). Kama vyote hivi vimefanyika na hajaona hasira za wananchi kwa vitendo, sidhani kama 2015 kuna jipya. Nakuhakikishia Jk & Co wamejipanga for 2015, hawawezi kukubali mpinzani awe raisi ili wao washtakiwe. Na vilevile hawawezi kukubali wabunge wengi watoke upinzani maana itakuwa ngumu kwa mtu wanayemtaka awe raisi (ambaye most likely atakuwa fisadi au loyal for them) kufanya kazi na wapinzani. Naamini 2015 uchaguzi utakuwa mgumu mno tena inawezekana damu ikamwagika kuliko tunavyotegemea. Kwakweli aliyetoa wazo la nchi nzima kugoma ni zuri (kama muoga wa kuandaman ukae ndani kwako). Ni lazima tuanze kuwashinikiza now, tuwabane washindwe kupumua (kuanzia mawaziri wanaotuhumiwa, wabunge wasaliti etc. Otherwise sijui kama hiyo 2015 tutafika. Tusilaumu wabunge wameshindwa kufanya maamuzi magumu wakati watanzania tunasuasua kuyafanya hayo maamuzi. Let us do it now (kinashowezekana sasa kisingoje 2015 kwani na mafisadi hawajalala nao wanajipanga vilevile. Zaidi ya hapo tuombeane heri!
 
Haki ya nani kama U-pm ndo hivi kila mtu anaweza kuwa PM! Huyu sura ya uduvi hana anachokifanya wakuu! MUNGU alivyo na huruma mijitu mibovu anailinda siyo kawaida, Ki.wete hapaswi kuendelea kuwapo! ANATUBURUZA!
 
kama haiwezekani haiwezekani tu, JK huna uwezo wa solve matatizo ya WaTz. Moto haufunikwi na viganja vya mikono, utaachia tu au la utateketea wewe na mikono yako.
 
Huu ndio ukweli wenyewe, japo tunafahamu Pinda ni mwongo, aliwadanganya wanahabari kama alivyosema uwongo kuhusu mauaji ya Arusha
 
And then what? I dont buy this, kwani inahitaji hat aya moja wazembe au kuwajibika mwenyewe. Na unajua kinachonishangaza mimi? Bado tunakimbilia haya mambo mepesi badala ya kuamua maamuzi magumu kama Taifa, hasa baada ya kuona muitikio wa serikali na Speaker......It's because of us the best patriotic leaders are wondering out there huku nchi ikiongozwa na majambaz. Ooh my God, where are they taking us??

Mkuu umesema vizuri sana sidhani kama kunachakuongezea hapo. Tumeshaonyeshwa kila dalili kwamba tunakoenda siko; kila kitu tumeshawekewa wazi kabisa ni sisi Watanzania kuchagua lakini bado tuko kwenye denial. Sikubaliani kabisa na watu wanaosema 2015 ndio mwisho wa huu upuuzi kama tunanguvu zakukataa huu ujinga why not now??? Ni nini kitabadilika sana hiyo 2015 wakati watanzania ni wale wale, jeshi lilelile, NEC ndio hiyo etc. Lets us be realistic. Mimi sioni kama kuna haja yakujua alibadilishiwa hotuba or not. Tukishajua then what? The key to winning any battle is to identify the enemy- Tunajua tatizo letu ni JK let us discuss how to hold the man accountable or get rid of him completely (I hate to say it lakini huu ndio ukweli). The discussion now should focus on ways to outmaneuver this enemy. :A S angry:
:A S angry:
 
anayemlipa mpiga zumari ndiye huchagua wimbo.

SISI TUMEMCHAGUA KIKWETE NA SISI NDIO TUTAMWONDOA,YYEYE KAMWEKA PINDA PALE NA YEYE NDIYE ANAMPANGIA NINI CHA KUONGEA.

tusubiri 2015 tuuondoe huu udhalimu.

kwa upuuzi na ufakaranyuku huu 2015 ni mbali,tangazen maandamano cdm,nitajilipua mbele ya geti la ikulu,nimechoka nimechoka am ready to die..usipoleta maandamano nitakusanya vijana wenzangu not more than ten..tutajilipua!why?nchi ya kipuuz viongoz wapuuz!
 
Kiukweli me aliniboa tu anaishi kama kivuli vile daah! Anazingua ngoja tusubiri bunge lijalo labda kitaeleweka bunge lijalo.......
 
Tatizo nyinyi mnafuata ushabiki tu, kwani hamuwezi kuelewa kuwa jana agenda ilikuwa ni kuahirisha bunge na hayo mambo mengine ataita press conferece, jamani wakati mwingine pamoja na mapenzi mengi na ushabiki wa chadema, istufanye tushindwe kuwa na fikra. Hivi kati yenu kuna mtu anajua vzr historia Mbowe pamoja na kaka yake aliyekuwa Jeshini mambo waliyoyafanya?. Chini ya uongozi wa Mbowe tutaendelea kulalamika tu.

its History!
 
Lakini tujiulize kwa nini hasa pinda kakubali kuibadilisha hotuba yake ya awali?...je kuna maslahi binafsi? Ametusaliti watanzania wote
 
Back
Top Bottom