Recent content by Mvina

  1. Mvina

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ni majibu mazuri timu haiwezi kutoruhusu magoli 100%.
  2. Mvina

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Afanye hivyo hata kwenye mazoa mengine kama ngano na shayiri maana wakulima wetu wanashindwa kuuza ngano kwasababu inaingizwa kiholela sana toka nje. Shayiri (Barley) inatoka South Africa wakati sisi kama nchi tunaweza kuzalisha na kuwanufaisha wakulima wetu.
  3. Mvina

    JamiiForums Tanzania Hii mbinu mpya ya Traffic kupokea rushwa barabarani ni hatari sana

    Naunga mkono hoja mia kwa mia
  4. Mvina

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya mafuta Haishuki Tanzania?

    Hii ndo Bongo danganyika zaidi ya unavyoijua, subiri siku wasikie mafuta yamepanda bei kwenye soko la dunia kama siyo siku ya pili bei juu, juu zaidi!
  5. Mvina

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na iwe hivyo ili waanze tena ligi baada ya ya hii game.
  6. Mvina

    JamiiForums Tanzania Nitasema kweli Daima, Unafiki kwangu ni Mwiko (MUUNGANO SIUTAKI)

    Sijawahi kuwa muumini wa muuungani na sitakuwa hata siku moja
  7. Mvina

    JamiiForums Tanzania Wahubiri kama vitu hamvijui bora kukaa kimya

    Paradiso au kuna tafsiri nyingine?
  8. Mvina

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tujipange mwakani, ilikuwa si rahisi sana kuwafunga hawa jamaa mara tatu mfululizo.
  9. Mvina

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wachinjaji wa Arusha Meat wanukia siku chache sana!

    Mkuu wale tunaokula kitimoto hasa ya kuchoma hapa tank la maji hatuna wasiwasi na huo wa ng'ombe wao. Na wagome tu maana tumechoka!
  10. Mvina

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na lazima leo wapigwe tena goli mingi tu.
  11. Mvina

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ni masaa tu yamebaki kuelekea kwenye big test kitu ushindi ndo muhimu kwetu.
  12. Mvina

    JamiiForums Tanzania Tabia ya mtu kumbaka binti yake je ni laana au matamanio kuzidi?

    Weka picha tuwaone then comments..
  13. Mvina

    JamiiForums Tanzania Mh waziri Juma S. Nkamia

    Kwi!kwi!kwi! magamba oyeeee!
  14. Mvina

    JamiiForums Tanzania Nataka kumsaliti mume wangu

    Nipe mimi toto zuri..
  15. Mvina

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Haitakuja kutokea hata siku moja, tupo pamoja na timu yetu kwenye vipindi vigumu na wakati wa raha.
Back
Top Bottom