Nataka kumsaliti mume wangu

Nataka kumsaliti mume wangu

Wengine wanataka kurevenge wengine wanatangaza usaliti live Ngoja tusubir hatma yake
 
Mumeo atakuwa na mawazo mengi, tafuta namna ya kumliwaza! Mfuate humo humo kwe move na ipekeche pini yake uone kama haitajibu, ukigoma muone Dr.
Utakuwa umemboa huna jipya, itakuwa kila siku kifo cha mende ww si ajabu!
 
hebu mkalishe huyo mr wako kitako umweleze kuhusu kupata haki yako ya msingi,then msikilize atakujibu vp
 
^^
Hiyo tofauti ya umri wenu 49-26= 23
Ilikuwa ndoa ya kulazimishwa? Au nini ulichoficha kabla ya kufikiria uamuzi huo?
^^

Hizo ndo zile za kuoa kwa kuangalia kipato cha mtu, amini usiamini mkuu huyo mbaba lazima atakuwa mambo safi, katika hali ya kawaida tena na binti anajisifia ni mzuri haiwezekani akawa amemkubali hivihivi, hao ndio wale wakuvizia wakijua mzee atakapo choka akachari basi wanavuta mali.
 
Sasa dada ongera sana kwa kuwaza hiyo kumsaliti mumeo,Mi ninachokushauri hasa mapema kutafuta kituo cha ushauri Nasaha (Hiv and Aids centre) na time table zuri ya kunywa ARV zako ok dada???maana hapo hiv nje nje hao jamaa wa3 wanavidemu vyao kibao na wigo wa hiv ni mkumbwa sana .Na huo mtandao mkumbwa sana .mi nakushauri kama mume hakufikishe tena katika yale mambo yetu matam .kwanza: jaribu kuzungumza naye kwa upole na taratibu kuhusu swala linalokusumbua .
Pili ;jaribu kufanya ibada kujiweka karibu sana muumba wako na kushika ibada .itakusaidia kuthamini ndoa yako na kumpenda mumeo.inawezekana kuna kitu kinamsumbua mmeo
Tatu ;jaribu kuwa mtundu ktk mambo ya kitandani.kama kuvaa nguo za uchokozi yaani zinazokufanya uonekane sexy mbele ya mumeo chumbani.kama kuvaa night dream inayoonyesha maumbile yako ya kike au kuvaa kanga moja iliyolowa vitu au kuvaa shanga na vitu kama hivyo
Nne; kama hivyo vyote vinashindikana ,mtafute mwanamke mtu mzima wa karibu na mumeo wako hasa shangazi yake au bibi yake mumeo au kama ni mkristo muone wazee wa kanisa wa kike pale kanisani kwenu au mchungaji .kama we ni muislam .fanya kuwaona watu muhimu washauri wa mambo ya ndoa pale msikitini.mi nafiri jaribu hiyo kama hakutakuwa na result yoyote basi tafuta dido (sex toys) zinaweza kukusaidia . Ila ckushauri kabisa kutoka nje ya ndoa dadangu.Utakuja juta
 
Una mkwanja mrefuuu???

Nilijua tu utani maana kwa mila zetu hatujafikia level ya kuandika wazi mke/mme anapo amua kungoneka nje ya ndoa!

Mada za kutunga na za uzushi kama za dada huyu davina tena kwenye issue nyeti kama hii ya ndoa ndiyo kunazidi ipotezea heshima MMU
 
Last edited by a moderator:
Hebu muulize kwanza mumeo kwamba anaonaje ukianza kumsaliti halafu usikie atakujibu nini.
 
...ukweli hudumu daima, ogopa kuingia kwenye mahusiano ukifuata fedha, sifa, au mkumbo, mabinti wengi husema wakiolewa na babu hawataumizwa vchwa aaah wapi! Mtu katumiíika afu ww bdo damu inachemka atakulizisha lini kimapenzi, hata kama ukaongea nae atabadilika na kujitahid mwez mmoja tu then atarud kwenye movie zake, tuolewe na age mate tuponde raha.
 
angalia asigundue maana ndio itakuwa mwisho wa ndoa yenu na ww utakula kichapo cha nguvu
 
Ushauri wangu ni kuwa, baada ya kurudi naye toka kazini na kumaliza kazi za nyumbani kuwa naye karibu, katka mazungumzo ya usiku, kuangalia movie zake nawe unaweza pendekeza zile unazopenda akutafutie halafu kesho mkatizama wote,pia jishirikishe katika shuhhulli zake nyingi zinazompendeza na kumchukulia muda mwingi, hiyo itasaidiia kuwaweka karibu tena na tena na siku zotee,,,
 
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

Nipe mimi toto zuri..
 
^^
Hiyo tofauti ya umri wenu 49-26= 23
Ilikuwa ndoa ya kulazimishwa? Au nini ulichoficha kabla ya kufikiria uamuzi huo?
^^
Ukiona hivyo ujue jamaa yuko vizuri kimkwanja ila yeye na wenzie watakwambia "age ain't. nothing but....!
 
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
Dawa ya moto ni moto mkubwa mama, hongera kwa mawazo mtambuka, yakishatukia uje utuambie mlivyogawana mali na watoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom